wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Da Vinci XV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake wetu wasomi, bado hatuelewi nini wanataka

    Wasaalam Wakuu, Leo asubuhi nilidamka mapema , wakati huu nilikuwa natoka kibaruani wakati najongea mdogo mdogo nyumbani nikapanda hewani nikampigia Mama, naam mama daVinci XV ,Nilimpgia asubuhi kwa sababu Mosi , ni Mila na Desturi zangu kumtaka hali kila uchao lakini pili nlitaka kuchota...
  2. mama D

    JamiiForums Tanzania Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

    Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo! Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania India: Akamatwa kwa kuoa wanawake 18 akijifanya daktari

    Polisi katika Jimbo la Bhubaneshwar nchini India wanamshikiria mwanaume anayedaiwa kuoa wanawake 18 kwa kuwalaghai kwa kujifanya daktari na wakati mwingine hata afisa mkuu wa afya. Mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Ramesh Chandra Swain mwenye umri wa miaka 66, alikamatwa Jumapili usiku katika...
  4. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanaishi maisha marefu kwenye ndoa

    Za asubuhi, Jumapili njema. Kuna kasumba ya wanaume wengi wa bongo kutangulia kufa na kuwaacha wake zao wakitanua. Najua kuna kitu unawaza ila nikuhakikishie tu kuwa hicho unachokiwaza ndio ukweli wa kasumba hii. Ila unajaribu kupingana na moyo wako. Usijali, upo sahihi. Vifo vingi vya...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikosa upendo Kwa Mumewe, huutafuta Upendo Kwa watoto

    MWANAMKE AKIKOSA UPENDO KWA MUMEWE, HUUTAFUTA UPENDO KWA WATOTO. Anaandika Robert Heriel. Yule Mtibeli. Je uliwahi kusikia maneno Kama hayo hapo chini? Mama Mkwe kichomi! Mama Mkwe anaingilia ndoa yangu! Mawifi wanakera balaa! Mawifi hawanipendi! Bila Shaka wengi wetu tangu tungali wadogo...
  6. Raymanu KE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hawana kitu kingine cha kuwapa wanaume tofauti na ngono

    To be honest, wanawake hawanaga lolote la kutufaa sisi wanaume kwenye mahusiano apart from sex.Yaani kutwa kucha tupo kuwahangaikia Wanawake eti kisa utelezi tu.Unajikuta umevutiwa na mwanamke unafall in love naye ukidhani utakusaidia kwenye Mambo mengi kando na kukupa mbunye tu kumbe...
  7. Kifaru86

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kitu gani huwafanya wanawake wengi walio katika ndoa kuendeleza mahusiano na ma-ex wao?

    Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani. Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha...
  8. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi siku hizi hawaolewi?

    Wanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini; hata wakiolewa baada ya muda fulani wanaachana na kuwa singo maza. Najaribu kufanya utafiti angalau nijue sababu inayowafanya wabaki walivyo, lakini bado kupata majibu. Unaweza pia kuthibitisha hili ninalolisema, kwa kuangalia kwa...
  9. my name is my name

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanaume si lolote mbele ya wanawake?

    Nımeona quote moja huko twitter ambayo imekuwa popular na watu wengi wanaisapoti. Hiyo quote inaonekana inatoka kwenye movie inayoitwa love tactics huko netflix. Quote inasema " Wanaume wana control dunia, Wanawake wanawa control wanaume alafu wanawake wanakua controlled na hormones" Ivi ni...
  10. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu Ukweli usiosemwa na Wanawake kuhusu Kupenda?

    Ipo nadharia au msemo au ukweli unaofichwa kusudi na wanawake. Ukweli huo au nadharia hio ni kwamba wanawake hupenda kwa dhati Mwanaume mmoja tu kati ya wengi anaokuwa nao. Wengine wote anakuwa nao kwa (Sababu) tu na sababu hizo huwa ni kwa faida zake binafsi na malengo yake iwe ni upenzi...
  11. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Duniani raha ya kweli wanayo Wanawake

    Hii ipo kimtazamo, pamoja na hofu ya u single mother, umri kwenda, hofu kukosa ndoa au kuolewa, wanawake wanabaki kutawala dunia ya raha na furaha, wengi waume za watu wanaenjoy na masingle baby na masingle mother na ufariji waupatao huzidi wake wa ndoa, wanawake wamejaliwa kufurahi kucheka...
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume huwa awaanguki katika maombi ni wanawake tu

    Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume...
  13. babukijana

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana siri nyingi sana

    Tuingie front Mwaka kenda nilikutana na binti flani maarufu tu bongo movie. Kaumbika km malaika,binti wa kimarangu yule nadhani Mungu siku hiyo anamuumba alikua kaamka asubuhi kabisa hajachoka. Nilimkuta mahali kajikalia analia,nikapita narudi analia nikaona isiwe tabu nikawakumbuka mababu...
  14. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari ni matatizo matupu

    Kama wengi mlivyo mezeshana na kukaririshana kuwa ukiwa na gari Basi mambo Safi. Uzi huu utaenda na kinyume na hizo fikra. 1: Watu mmekaririshana kwamba ukiwa na gari Basi mambo yote yameisha Kama maisha ndio umesha yapatia. Lakini kiuhalisia hakuna kitu chenye stress Kama gari. Kama unasafari...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Februari 11: Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi

    Katika miongo kadhaa iliyopita, Mataifa na Jumuiya za Kimataifa zimefanya jitihada nyingi katika kuwatia moyo na kuwashirikisha Wanawake na Wasichana katika Sayansi. Wakati ulimwengu unaendelea kukabiliana na COVID-19 na janga la Mabadiliko ya TabiaNchi, ushiriki kamili wa Wanawake na Wasichana...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kuwashirikisha wanawake wa Afrika kifedha na kiuchumi waonesha matumaini

    Na Pili Mwinyi Mkutano wa 35 wa Umoja wa Afrika (AU) wa wakuu wa nchi na serikali ulifanyika hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja huo yaliyopo Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo uligusia masuala mbalimbali yakiwemo COVID-19 pamoja na wimbi la mapinduzi na majaribio ya mapinduzi lililoibuka...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu: Wanawake, Wasichana waendelea kuwa walengwa wakubwa

    Kila mwaka, maelfu ya Wanawake, Wanaume na Watoto hujikuta mikononi mwa wanaojihusisha na Biashara hii haramu katika Mataifa yao na Nje. Karibu kila Nchi duniani inaathiriwa na Biashara haramu ya usafirishaji binadamu Kwa mujibu wa UN, Mwaka 2018 takriban wahanga 50,000 walibainika na...
  18. Extrovert

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

    Uzuri mwanamke akiwa uninterested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi! Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke unaweza ku twist akili yake sababu nae anahisi atanufaika na hela zako. Ni kweli utamlainisha kwa noti...
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi sio "Watu"

    Nkikumbuka walivyofanyiwa PJ Washington, Mason Greenwood, Reginald Mengi, etc mwanamke ni mnyama hatari sana kuishi naye, especially kama hana hisia na wewe. Na yuko kwako sababu ya hela, mwanamke ukiwa unamtongoza halafu akawa hana hisia na wewe, anaweza hata akakuua huku anakuangalia usoni...
  20. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake siku hizi wana hips na wowowo za kutisha, inasababishwa na nini?

    Kwa utafiti tu kutazama ktk pirika pirika na mihangaiko ya hapa na pale hapa jijini Dar es Salaam. Katika maeneo tofauti tofauti kwenye mkusanyiko mfano katika vituo vya mwendokasi, ferry Kigamboni, nimegundua wanawake wa siku hizi wengi sanaaa wana hips za kuvutia, rangi za ngozi wengi ni...
Back
Top Bottom