Feminists wote duniani ni wanawake wanaotumika kisiasa

Feminists wote duniani ni wanawake wanaotumika kisiasa

dormant accont

Senior Member
Joined
Jan 4, 2022
Posts
154
Reaction score
162
Nasema hivi baada ya kuona nafasi za wanawake zinapokonywa na USA na nafasi hizo wanakabidhiwa wanaume waliokata uume huku feminists wanaokuwaga mstari wa mbele kwenye kila nchi kupigania usawa wa kijinsia wakiwa kimya.

Mwaka huu 2022, gazeti la USA today lilimtaja mwanaume aliyekatwa uume bwana Richard Levine na kujipa jina la kike (Rachel Levine) kama mwanamke bora wa mwaka (woman of the year).

Yani wanawake wamenyimwa haki zote hadi ushawishi na kuwa mfano bora kwenye jamii hadi mwanaume akatwe uume ndo awe malkia wa nguvu. Bora hili la bwana Richard Levine, kuna hii nyingine ya mhuni mmoja mjanja mjanja bwana Will Thomas ambaye ameona mbinu rahisi ya kuchukua medali za wanawake ni kufanyanyiwa surgery ya kukatwa mboo na kujiita Lia Thomas. Na kweli akafanikiwa kushinda kwenye mashindano ya kuogelea ya vyuo NCAA Division I.

Muda huo huo wanawake wa Afrika kama Semenya wamezuiliwa mazima kushiriki mashindano ya mbio ya wanawake kwa kisingizio kwamba wana hormone nyingi za kiume. Yani, wanaume wanakatwa mboo mwanaruhisiwa kushiriki mashindano ya wanawake lakini wanawake wa kiafrika wanazuiliwa kushiriki mashindano ya wanawake.

Inasikitisha sana feminists mnavyotumika na USA, yaani kila kitu mtakachoambiwa na marekani mnakishikia bango. Matokeo yake hata zile nafasi ambazo wanawake wamepewa zinakandamizwa na USA na wanapewa wanaume waliokatwa mboo.

Feminists muache unafiki na muache kumuogopa USA😡

Kwenye picha, Lia Thomas ni wa kwanza kushoto

mada.jpg
 
Back
Top Bottom