wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

    Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote KAZI IENDELEE
  2. Nimeamini wanawake wengi ni malaya

    Habari za muda huu Kuna demu moja hivi nilikutana nae tukafahamiana akawa mteja wangu,nikamtongoza akakubali .Ila kutoa mzigo akawa anaringa na kuzungusha nikamuuliza au unataka uniuzie?? Akasema yeye hafanyi biashara Kwakuwa nilishajua vingi toka kwakee nikampandia Fb kwa account ambayo jina...
  3. Wanawake wa hivi ni wa kula tu, usioe

    Hapa hakuna chuki, tunatoa maelekezo kwa vijana wanaotafuta wake. Wanawake wa namna hii ishia kula tu, usidhubutu kuoa. 1. Wanaovaa vikuku. Kama unabisha mpeleke kwa mama yako akiwa na kikuku. 2. Waliotoboa pua. 3. Wanaovaa suruali za kubana na vimini. Kama unabisha mpeleke kwa baba yako...
  4. M

    Mnaobambikiwa watoto na kuwakubali wakizaliwa kwakuwa tu wamefanana nanyi hizi ndizo mbinu kuu za wanawake wenu

    Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya. 1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha. 2. Atakulazimisha muende...
  5. Sababu kuu zinazofanya wanawake kuwanyima wanaume Unyumba

    SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!. Na, Robert Heriel. Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio yakujitungia, ni matokeo ya uchunguzi huru nilioufanya. Aidha uchunguzi huu usichukuliwe kuwa Rasmi Kwa...
  6. Ushauri: Rais Samia teua wanawake kuwa watendaji wakuu wa TRA na Bandari ili kuleta ufanisi

    TRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana. Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa. Wizara ya ujenzi weka watu kama Stella Manyanya na wenzake...
  7. Idadi ya wanaume inazidi kupita ya wanawake katika saloon zetu

    Ukienda saloon foleni ya wanaume wanaosuka corn row, extension, na weaving ni kubwa kuliko wanawake. Wengine hushinda hapo wakifanyiwa manicure na pedicure. Wanaume hawa wamekua washauri wetu wazuri wa nywele za kutumia kwa style mbali mbali. Tunashukuru mchango wa makaka hawa katika mzunguko...
  8. Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli. She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015. In September, she became just the fifth-ever female...
  9. Wafariji wa wanawake waliotendwa tunafanya kazi ya Mungu

    Ni wiki sasa Maryam ananipigia simu kila siku kila mara akidai anafarijika sana kuongea na mimi baada ya mpenzi wake wa muda mrefu kumtenda. Amekuwa akidai sauti yangu na maneno yangu yaliyojaa hekima na busara yanamtia faraja sana, yaani yanampunguzia machungu ya kutendwa. Basi kwa siku...
  10. Mama Maria Nyerere anawakumbuka wanawake wavaa mabaibui waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    Miaka 60 ya uhuru:Kinamama wengine hawakujua kusoma -Mama Maria Nyerere 6 Disemba 2021 'Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, ambayo sasa ni Tanzania, BBC imefanya mahojiano na watu mbalimbali, na miongoni mwao ni Mama Maria Nyerere ambaye ni mjane wa baba wa Taifa hilo Mwalimu...
  11. Kwanini wanawake wa kiarabu (machotara) wa Tabora, Shinyanga hawachangamani na jamii?

    Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k Yani wao ni ndani tu mda wote...
  12. Ripoti ya CAG: Ufanisi katika uendeshaji wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

    Katika ukaguzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, CAG amebaini Mapungufu kadhaa yakiwemo; 1) 65% ya Mikopo iliyotolewa kwenye Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu haikurejeshwa. Kwa mwaka 2019/20, CAG alionesha Mamlaka za Serikali za Mitaa 130...
  13. Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

    Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha. Kweli yesu ni jibu. USSR
  14. Wanawake tunaweza. Tanzania ninakupenda nchi yangu

  15. Aina nne za Wanawake Michepuko

    1. ๐— ๐—–๐—›๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—Ÿ๐—”๐— ๐—œ: ๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ถ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ, ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฝ๐—ฒ, ๐˜‚๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—ฎ๐˜‚ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜๐˜‚. 2. ๐— ๐—–๐—›๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—ฉ๐—จ๐— ๐—•๐—œ: ๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—บ๐˜‚! ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ผ๐—ผ๐—ผ๐—ต๐—ต๐—ต ๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ, ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ, ๐˜€๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ, ๐—ผ๐—ผ๐—ผ๐—ต ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐˜๐—ต๐—ถ๐—ป, ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—น๐—ถ ๐—ป.๐—ธ! ๐—ก๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ผ...
  16. Sifa za wanawake wanene au wafupi

    Hawa wana sifa za kipekee zinazowavutia wanaume wengi, nazo ni:- Wavumilivu katika mahusiano Wana wivu sana kwa waume zao Wanapenda sana tendo la ndoa Wana hisia kali; ukiwa nao kwenye zoezi wanajua kung'ang'ania Hawavutiwi na pesa kwenye mahusiano Wanavutiwa sana na shoo za kibabe Kwako...
  17. Wanawake wa miaka hii kwa mnafahamu kuwa wanaume wamepunguza kuwatongoza?

    Miaka ya 2000 kwenda mbele wimbi la wanaume wamepunguza kuwatongoza na tena kipindi hiki cha mama ndio kabisa. Tunafahamu wanawake wana mambo mengi wanayo hitaji ila kwa sasa ni too much kwa miaka hii. Zamani mwanaume aliweza kumudu wanawake hata watano na wote kuwa mudu kiuchumu. Ila sasa...
  18. Wanawake wamekuwa ni jeshi dhidi ya nani?

    Wakuu Ts nonsense Kwa mtizamo wangu, hii kitu inyoendelea kwenye social media platforms inaweza kuwaletea shida mbeleni wana-CCM! Political strategist waione mapema hii. Wameanza kuwa"brand" wanawake wa nchi hii dhidi ya nani? Je, vijana wa Nchii hii nao wakija na slogan yao sijui itakuwaje...
  19. S

    Wanawake wafupi wengi wao huzaa kwa "upasuaji": Kuna ukweli gani ktk hili?

    Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito. Kuna ukweli gani ktk hili? My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
  20. Wanawake jifunzeni kuvutia waume zenu hata baada ya miaka 10 kwenye ndoa

    Chagamoto kubwa siku hizi ambayo inasababisha ndoa ziingie kwenye migogoro isio isha ni uzembe wa wanawake kwenye ndoa, unaoa mke ukiwa 30yrs yeye akiwa 23yrs, kwa umri huo anakua na sura nzuri na makeups chura sauti nzuri umbo safi, kwa kweli anakua na mvuto kila siku, unatamani kukutana nae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ