Nimetafakari sana na kugundua wanaume hapa Tanzania tupo kwenye mgomo dhidi ya wanawake

kidole cha simba

JF-Expert Member
Jun 3, 2022
1,290
1,655
Habari za asubuhi wote mlio hai humu!!!

Jana nikiwa natoka kazini nikawa natembea kwa mguu kutoka maeneo ya Posta kwenda kupanda treni kulekea Pugu kwa kutumia treni ya TAZARA (ndio zangu daily) ghafla ubongo wangu ukanasa aina mpya ya wazo, akili ikaniambia hebu angalia wapita njia na walio kwenye gari ndogo na daladala zilipo kwenye foleni.

Sikuamini aisee! Si kama zamani unakuta aidha kwenye gari ndogo utakuta wengi wapo na wapendwa wao, aidha ni vichenchedi, wana ndoa waliopitiana makazini na kurudi pamoja jioni au wachumba au ata michepuko.

Kwa wanandoa utawagundua kwa kununiana, na hao wengine utawagundua kwa furaha zao na kwa mchepuko utagundua kwani mwanamke utakuta kajiachia mpaka miguu ameegesha kwenye dash-board, da!!!

Kwenye daladala utagundua kwa kumuona mwanadada kamwekea jirani yake kichwa mabegani n.k, na watembea kwa miguu wenzangu utawaona wameshikana mikono wakitembea kwa furaha, ama wamekaa kwenye vivuli wakifurahi.

Sasa jana bhana nimeona tofauti aisee! Kuanzia pale J.M nilipotokea, pale penyewe kwenye eneo la vyakula na vinywaji kila jinsia ilikua ki-vyake, hamna wa kumjali mwenzake wala kumkonyeza na wala kukaa pamoja kwa jinsia tofautiwahida Wahindi na Waarabu (wachina na ndo kabisaa, kila munu kinyake)

Basi bhana, safari ikaanzia hapo nikatoka nje ya mjengo nakuanza kutembea taratibu, huku miti ikirudi nyumalakini magari yakinipita. Wakati mwingine magari nayapita{foleni}, basi kazi yangu ikawa kupiga chabo ndani ya magari, da!!! midume tupu au mijike tupu, au mixer lakini kila m2 yupo kwenye simu anadukua na wengi wao wanapeana lift, wengine wanalipia buku 2 hadi GOMS, Huyoooo!! kufika pale kwenye super market ya manji{sijui inaitwa PUGU COMPLEX!!!}

Ah! Nikaona kwa vile bado saa limoja treni lisepe,nikaona bado nina muda, ngoja nako niakaone nilichokiona huko nilkotoka kama ni kweli aithee!! ni yaleyale jamaa!!! sijui wa2 wamezoea ule mtindo wa keep distance wakati wa CORONA au vipi.

Basi nikatoka hapo nikaendelea kuchapa raba hadi ndani ya behewa namba 2015, haya kwenye behewa langu nako mambo ni yaleyale, utakuta midume mitatu demu mmoja wamekaa pamoja au midume miwili nademu wawili {viti vya kuangalia} hapo ndo kabisaaaa!!! Midume utasikia yakibishana kwa sauti mpaka kero,"oooh!!mayele noma babu, mwingine chama balaa, mwakani lazima tuchukue kombe la shirikisho AFRIKA!

Wale madem nao wamesinzia au wanachati...da!!!!nikajiuliza hawa hawana GENYE au?..,nikashukia MAJOHE,nikaona nipitie bar moja inaitwa 4WAY PUB kwa mzee URIO nipate kongoro na bia mbili nikalale. Looooh! Midume imekaa pamoja inazungusiana raundi mingine ipo kaunta kivyao, wanawake nao kivyao{wachache mpaka wanatia huruma}

Nikaamua niwaeleze wenzangu walichonieleza nipigwa butwaaa,mmoja alisema"ah, nani anataka presha, m2 unam2nza m2 alaf unakuja gundua hauko peke yako"..mwingine akasema"sitaki stretena"

Mwingine tena"aisee massawe,usiniondolee mood au nahama meza!!"Da!! na pale mezani nii mmoja tu mwenye wengine wote watano tuliobaki 2po singo a.k.a 2METENGANA na sisi ambao 2po singo ndo 2menawiri na ndio 2liowai kwenda kupumzika na kumwacha mwenye mke pale akiendelea KUMWAGILIA MOYO na asubui leo nimempigia simu na kumuuliza"athee jana umeondoka saa ngapi?"...akanijibu " athee mathawe, ilibidi nichukue chumba nilale palepale, manake shemeji yako alinipigia simu ya vitisho kwa kusema kwamba lala hukohuko na malaya zako, ukitubutu kurudi naanzisha timbwili la ASHA NGEDERE, si unkumbuka mara ya mwisho nilivyovunjavunja vya icho kigari cha ko namba B?

Basi mdogo wangu mathawe,niliogopa kurudi manake ata 2kipigana huwa ananizidi kutokana na mimi unakuta nimeshalewa"GAME OVER wanaume wenzangu, sijui ninyi mnaonaje huko makwenu?
 
Ni kweli kbs walitaka wenyewe haki sawa wakati hawawezi kutafuta pesa bahati mbaya idadi ya wanaume marijali inapungua Huku wao wakizidi kuwa wengi dakika ya mwisho unadhani Nini kitatokea..no love no money poa poa chaputa wamelipokea vzr

Halafu Sasa hivi wanawake wanahangaika Sana ingia tiktok na Instagram uone ulimbukeni wao wanashindana Sana kutingisha makalio watuvutie dakika ya mwisho wengi wanaishia kutunguliwa jicho
 
Ni kweli kbs walitaka wenyewe haki sawa wakati hawawezi kutafuta pesa bahati mbaya idadi ya wanaume marijali inapungua Huku wao wakizidi kuwa wengi dakika ya mwisho unadhani Nini kitatokea..no love no money poa poa chaputa wamelipokea vzr
Halafu Sasa hivi wanawake wanahangaika Sana ingia tiktok na Instagram uone ulimbukeni wao wanashindana Sana kutingisha makalio watuvutie dakika ya mwisho wengi wanaishia kutunguliwa jicho
Ahahaaaa!!!!!mzee hali ni hatari,unakuta nywele bandia,kope bandia,kucha bandia,makalio feki mbaya zaidi ata mawazo yao feki,,,sas mzee jon utthubuti vipi kutongoza wakati kabla ata haujamaliza kutongoza unapigwa mzinga kama mizinga ya russia,yaani kama mmekaa sehem unamweka sawa kabla haujamtafuna,,,akipita chinga tu utasikia:hiki kia2 kizuri jamaniii,ninunulie basi bebbie !!!,inabidi ukachomolee pesa chooni manake akiziona umekwisha
 
we
Mtihani huu jmn, huu nao ni uzi? Halafu unaweza ukakuta huyu ni graduate wa SAUT l.
Unafikiri kwenye vipidi vya radio kuna wakati wa "mchezo wa radio" au vibweka kama pwagu napwaguzi?"....vinachekesha lakini ukitafakari vina fundisha,au unafikiri kwa nini kuna vikatuni kwenye magazeti kama kipanya pale mwananchi?????

Kipanya anachora na kila m2 anaelwa kwa upeo wake,utacheka lakini una mafundisho mazito...ndo manake kuna wakti nchi za wenzetu wachora katuni wanauwawa kwa kuizonga serikali.....ukiwa flexible kila ki2 utaelewa,ukiwa rigid{m2 wa prisible] utajudge kila ki2..........the wise man will understand and vise-versa
 
"Usawa wa kijinsia" nao umechangia.
Zamani wanawake waliwaganda wanaume sababu ya shida.
Mwanamke mwenye kipato kizuri hahitaji mume, sababu anao uwezo wa kujihudumia na ni wabinafsi sana.
Kwa upande mwingine mwanaume akipata hela anahisi kuwa na jukumu la kumuhudumia mwanamke, iwe kwa kuoa ama kuwa na michepuko.
 
"Usawa wa kijinsia" nao umechangia.
Zamani wanawake waliwaganda wanaume sababu ya shida.
Mwanamke mwenye kipato kizuri hahitaji mume, sababu anao uwezo wa kujihudumia na ni wabinafsi sana.
Kwa upande mwingine mwanaume akipata hela anahisi kuwa na jukumu la kumuhudumia mwanamke, iwe kwa kuoa ama kuwa na michepuko.
Hiyo paragraph ya pili labda awe hajawahi kuonja asali, ila kama kaonja ataitafuta tena hata kwa kugharamia.
 
Na ndicho kinachofanyika, mwanamke akishajitosheleza kunachofuata ni kuwinda Dudu.
Lakini kuna tofauti kubwa mno mwanamke anapomganda mwanaume kwa ajili ya pesa na kwa ajili ya Dudu.
Utofauti upo wapi?

Tena hao wanaotumia pesa ili wapate dudu, wana wivu sana na stress za kuachwa mda wowote sababu anajua kapendewa pesa.
 
Kuna ukweli ndani yake, wanawake badala ya kuwa sehemu ya furaha ndani wamegeuka kuwa kero na karaha! Kutokuwa waaminifu,gubu,jeuri,kutaka usawa,simu za mikononi n.k ni majanga makubwa katika mahusiano mengi siku hizi.

Matokeo yake wanaume tunapenda short time sex! Unaita,mnapanga bei,mnastarehe Kisha kila mtu ananenda kivyake!
 
Back
Top Bottom