Kuna baadhi ya Wanawake sijui huwa wanatakaga nini

knows

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,403
2,006
Habari wakuu.

Naimani wote ni wazima niende moja kwa moja kwenye Mada.

Kuna manzi mmoja hapa nashindwa kumuelewa kabsa anataka nini. Iko hivi huyu manzi kuna kipindi mwezi wa 3 mwaka huu nilipata safari ya kikazi ofisini kwetu nilipelekwa mkoaX sasa baada ya kuwasili huko kumbe kuna wafanya kazi wengine tena ambao na wao walipangiwa sehemu hiyo hiyo kutokea kwenye ofisi zao tofauti tofauti.

Basi siku ya kuwasili sehemu tuliopangiwa tukajikuta tupo as a Teamwork. Basi siku iliofuata tukaanza ku interact pamoja na kuanza kufahamia ili kila mtu amjue Workmate wake.

Basi ndo hapo tulipo Juana na huyo manzi na alikuwa my work mate basi siku zikasonga kazi ikiendelea ofisin kwa kushirikiana wote.

Mi nimtu ambae sio muongeaji Sana muda mwingi huwa niko busy na kazi lakini huyu manzi alitokea kunizoea ghafra kuliko watu wote mbaka nikashangaa lakini nikasema Fresh mambo yakawa yanaendelea.

Siku moja huyu manz alinifata nilikuwa nimekaa alone nafanya kazi zangu aliamua kujitosa na kuanzisha story za utani mwisho kipindi anataka kuondoka akaniomba namba zangu nikampatia fresh bas baadae night akanicheki na maongezi yakaanza nimcheshi Sana huyu Dada.

Basi siku zikasogea tukajikua tumekuwa karibu zaidi mi na yeye mungu mkubwa kazi yetu ikaisha tukamaliza na tukafanikiwa kurudi na kumbe huyo manzi nae anakaa jijini daah ilikua powa Sana tukarudi sote.

Sasa siku zikasonga kiukweli huyu manzi alikuwa anani treat powa Sana hali ikanifanya kuwa na hisia nae na kumpenda basi ikafika kipindi nikaona ni bola nimueleze ukweli kuwa namuhtaji na ninampenda kweli nilimwambia ukweli lakini hakunijibu amekubali au amekataa bas in short akawa haeleweki kila nikimueleza nampenda hajibu ile straight.

Basi siku zikaenda hali ikawa ileile lakini hakuacha kuni treat aliendelea kuni treat like a king sasa mimi huwa nimtu ambae sipendi kuzungushwa napenda mtu anapo ongea na mimi na kumueleza kitu awe straight kunijibu.

Sasa nikaona huu upuuzi nikaamua kukausha na ku deal namambo yangu kimya Sasa huyu manzi baada ya kuona nime cool akaanza kulalamika Sana kuwa hanielew nina tatizogani mbona nime change skuiz simtake care Kabsa inaweza pita siku bila hata kumtafuta.

Kiukweli analalamika Sana kuna time akinipigia simu asipo nipata analalamika kuwa mbona nime m block sasa ujue mi nashindwa kumuelewa huyu manz anataka nini kama ukweli nilishamwambia na anajua lakini yeye anaanza habari za kuzungushana sasa mi izo kato simind kabsa minapenda mtu awe straight.

Sasa wakuu ivi huyu manzi minashindwa kumuelewa anataka nini.
 
Ila wanaume mnajua kudondoka upesi mtu hata hujamchunguza unalalamika kuzungushwa je kama ni mke wa mtu aliyekosa attention ya mumewe au mchumba wa mtu au mchepuko wa mtu anayetafuta caring tu pembeni. Siku ukija fanyiwa tukio baya utaanza lalama na kuwachukia wanawake wote kumbe pupa zako zimekuponza
 
Ila wanaume mnajua kudondoka upesi mtu hata hujamchunguza hnalalamika kuzungushwa je kama ni mke wa mtu aliyekosa attention ya mumewe au mchumba wa mtu au mchepuko wa mtu anayetafuta caring tu pembeni. Siku ukija fanyiwa tukio baya utaanza lalama na kuwachukia wanawake wote kumbe pupa zako zimekuponza
Mkuu kama we nimke wa mtu au nani wa mtu nivyema aongee nandomana mimi nahtaji aende straight mbona simple.
Bas nimeona anajizungusha nimeamua kuchukua time zangu anaanza tena kulala mika sasa mseme huwa mnataka nini?
 
Wewe ulishamueleza unachotaka yeye kama hatoinjibu la moja kwa moja achana nae tafuta mbususu nyingine. Mademu kama hao wakifala sana. Wanasema hakunaga urafiki wa mwanaume na mwanamke lakini wakiombwa mbususu wanajizunbusha.
Yaan sjui wanatakaga nini mkuu
 
Back
Top Bottom