wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna uume mdogo kwenye maumbile ya mwanamke aliejitunza lakini kwa mabinti wa sasa huo msemo umepitwa, wenye uume mdogo wanadhihakiwa sana

    Ni kweli hakunaga uume mdogo kwenye maumbile ya mwanamke anaejiheshimu, Ishu ni kwamba katika Tanzania hii ya sasa kuendekeza huu msemo ni tofauti na uhalisia wa sasa. Kuna wanaume wanadanganyana kwamba uchi ni elastic”.. Ndugu zangu k*ma inapotumika sana na mishedede dizaini ya tango...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe na wanaume wafupi wanataniwa, nilidhani Ni wanawake tu!

    Na wao hutaniwa kwa majina ya unyanyapaa, mfano kiswaswadu, rungu, nyundo nk. Leo ndiyo nimefahamu😅 Afadhali yangu Mimi siyo Mfupi. Ni hela tu ndiyo bado sina 😅
  3. JamiiForums Tanzania Aina za wanawake na tabia zao

    1. Mommy Types Ni aina ya wasichana au wanawake ambao huonyesha tabia ya umama. Hupenda kujali kupita kiasi. Mfano katika mahusiano usipomtumia ujumbe wa kufika sehemu uliyomwambia unaenda tarajia kupokea simu zisizopungua 10. 2. The Listener Ni aina ya wasichana au wanawake inayopendwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Singapore: Daktari feki wa wanawake Facebook, jela miaka 4

    Mtuhumiwa huyo Ooi Chuen Wei, 37, ni Mwanaume ambaye alikuwa na utambulisho wa bandia katika mtandao huo amekutwa na hatia ya kuwadanganya wanawake na kuwashawishi wamtumie taarifa zao ikiwemo picha za sehemu zao za siri. Ooi Chuen alikuwa akiwasiliana na Wanawake na kuwatumia fomu ya ujaza...
  5. JamiiForums Tanzania Iran: Aliyeishi miaka 54 bila kuoga afariki dunia

    Mwanaume wa Iran ambaye ameishi zaidi ya miaka 50 bila kuoga, hatimaye ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94, ila huko huko Iran, mwanamke aliuawa kisa kipande cha nywele kilijichomoza kwenye ushungi.... An Iranian man nicknamed the "dirtiest man in the world" for not taking a shower for...
  6. JamiiForums Tanzania Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana. Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi wasaidie ambao wanahitaji msaada wenu. === Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni Kutunza uke na...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatuzuga tu ila wanaume ni watu muhimu sana

    Haikuwa makosa vitabu vya dini kumtambua mwanaume kama kichwa cha familia, hii ni kweli na ushahidi wa hilo upo. Nimekaa mahali hapa nakunywa maji kama rejeta nikisindikizia na chipsi mayai alizozikandia Rais wetu, wanawake wawili waliyokua wamekaa meza mbili mbele yangu kwa muda kama wa nusu...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake acheni uchafu kwenye vyumba vyenu mnatia aibu

    Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana. Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu? Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Urusi wanavaa mavazi ya wanawake na kukimbia nchi

    Wengi wanaona bora aibu kuliko kwenda kufa. ======== When Moscow announced its military mobilization drive on September 21, Liliya Vezhevatova almost stopped sleeping. She was asked by several friends and acquaintances to help men to leave Russia. Vezhevatova herself lives in the Armenian...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Africa - WiLDAF

    Haya ni baadhi ya mambo yaliyogusiwa kwenye Maadhimisho haya ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF); Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi WiLDAF - Monica Mhoja Sheria ni nyenzo muhimu katika kuleta mabadiliko hasa ikitumiwa vizuri. Maombi ya Monica...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia aanza kutoa Fedha bilioni 75.98 kwa Vijana na Wanawake kupitia Halmashauri za Wilaya. Hii ni Fursa, tuchangamkie

    Tatizo la ajira kwa Vijana ni tatizo la dunia nzima kwa sasa, tatizo hili linachangiwa pia na hali ya uchumi wa dunia kwa sasa, licha ya jitihada za Serikali inayoongozwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhakikisha uchumi unaimarika bado tatizo la ajira ni...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuache ubinafsi!

    Hii ndiyo dunia niliyoambiwa kuwa uyaone! Wakati wengine wakikesha kwenye ibada na kwenye vilinge vya waganga kutafuta ndoa, wengine ndoa zimewashinda wanatamani kuachika. Lakini wanawake tuache ubinafsi! Wakati unafikilia kuachana na mumeo unajifikilia mwenyewe tu, "Nikitoka hapa nikapange...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Ashikiliwa kwa kujirekodi akiwatolea Lugha ya Maudhi Wazanzibari

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa Tiktok na kutoa Lugha ya Maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake pisi kali wana tofauti gani na hawa wengine kwenye mapenzi?

    Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya Clomiphene inayotumika kutibu uzazi kwa wanawake / Clomifene citrate

    DAWA YA CLOMIPHIENE Dawa hii hufahamika kama ‘Clomiphene Citrate’ Katika fani ya Tiba ya dawa, Clomiphene huwekwa katika kundi la dawa liitwalo ''ANTIESTROGENS AND SELECTIVE ESTROGEN RECEPTOR MODULATORS (SERMs)'' Kwanza kuelewa maana ya ‘ANTIESTROGENS ’ ni nini? Hii ni dawa inayoleta...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Hizi Ndizo Sababu za Wanaume Kufa Mapema kuliko Wanawake

    Nisikuchoshe.....
  18. JamiiForums Tanzania Hapa nilipofika nimechoka, nisije pata ugonjwa unaokosa dawa. Wanawake mnataka nini?

    Unampata mwanaume mchekeshaji ana pesa. Unaenda kutoka tena na mwanaume mkimya hana pesa. Ukimpata mwanaume MKIMYA unaenda kutoka na mwanaume MCHEKESHAJI. Ukimpata mwanaume hana PESA unaenda kutoka na ASIYE NA PESA. Ukimpata ASIYE NA PESA unaenda kutoka na MWENYE PESA. DADA ZANGU MNATAKA NINI...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi hiki cha joto sifa ziende kwa wanawake wanaoshinda na kanga

    Wanawake wote mnaoshinda na kanga kipindi hichi cha joto popote ulipo nchini Tanzania amini kwamba you do right thing for the right time.
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saudi Arabia Miseries: Video inayoonyesha wanawake wanaonyonyesha mbwa nchini Saudi Arabia yawakasirisha Wakenya

    Kufuatia kadhia mbalimbali zinazoendelea kwa wakazi wa ukanda wa Afrika mashariki kutoka nchi za kiarabu. Bunge la kenya linategenea kupitisha azimia ka kupiga marufuku raia wao kwenda nchi za kiarabu kufanya kazi za ndani. Majuzi hapo kuna video ilitapakaa kwenye mitandao ya kijamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…