wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

    Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi. Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza...
  2. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Ni hivi wanawake wanaliwa kimasihara kwa sababu hii

    Wakuu ndugu zangu Ni kwa yale maneno ambayo mwanaume anachomekea kama masikhara, mfano ktk kazi. Unafanya kazi ya boda mwanamke kashuka kwene chombo, unafanya kama umeshika kiti pale alipo kaa alaf wajisemea akiwa anakusikia aisee nusu kiti kiunguwe inalekea nanii ako ni so hot, akicheka cheka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Akili ninazotumia kuwanasa wanawake ningezitumia kutafuta pesa Mo angesubiri

    Vyuoni wangefundisha tu hii kozi ya women affairs Jana nimechakata mwanamke boss mkubwa sana wa wizara fulani kaja hotelini na STK, dereva yuko nje anamsubiri mimi nillienda na bajaj nikaondoka na bodaboda Uongo na mbinu nilizotumia kumpata mpaka najishangaa hiki kipaji nimekitoa wapi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kupaa kwa gharama za maisha Uingereza 🇬🇧 🇬🇧 kwawasukuma wanawake wa UK 🇬🇧 🇬🇧 kufanya biashara ya ukahaba ili kupata kula yao

    Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa...
  5. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Wanaume mmemsikia mwenyekiti wa wanawake? Haya kazi kwenu

    Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho? Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa. 🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃
  6. politicians

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    Habari wakuu! Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa kuoa nilipata tabu sana kwa sababu nilikuwa sijui kuwa wanawake wengi wana ugonjwa huu wa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CCM yawaonya viongozi wanaodhalilisha Wanawake

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge mkoani Tabora. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Shaka Hamdu Shaka, wilayani Sikonge mkoani...
  8. Poker

    JamiiForums Tanzania Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

    1- bella hadid 2- Adriana Lima 3- Beyonce 4-deepika Padukone 5- tuerny TZ 6- angelbaby 7- Aishwarya Rai 8- huddah Monroe 9- Priyanka Chopra 10- Margot Robbie Hao ndio wametajwa kuwa wanawake warembo, wenye mvuto, na maendeleo katika nyanja mbalimbali. Majarida mengi ulimwenguni yamewaorodhesha...
  9. Jesusie

    JamiiForums Tanzania KALIUA: Shaka awanyooshea vidole Maboss wanaonyanyasa wanawake Kingono asema akibainika tu hana Kazi

    SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI. === Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge. Akizungumza leo...
  10. Willima

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana haki ya kubaki na majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa

    Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
  11. Lee Swagger

    JamiiForums Tanzania Je, pesa huwavutia Wanawake?

    Ndio Inawavutia wanawake, lakini kwa kawaida ni aina mbaya ya wanawake, wale ambao kimsingi wanapendezwa na pesa (Slay Queens). Wanaume wengi wenye akili, wacheshi, watanashati na wenye haiba nzuri wana mengi zaidi ya kutoa kuliko pesa tu...... Pesa iwepo Tu kama kilainishi mfano Sabuni au KY...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma, wanawake waliteseka sana

    TWENDE MBELE TURUDI NYUMA, WANAWAKE WALITESEKA SANA Anaandika, Robert Heriel Licha ya kuwa Mimi ni mfuasi mzuri wa mfumo dume lakini nachukizwa na tabia ya utesaji, unyanyasaji na uzalilishaji wa Wanawake. Mfumo Dume ni Amani, haki, upendo na heshima Kwa dunia yetu. Acha Wanawake wafanye...
  13. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuache roho mbaya kwa wenza wetu

    Niliwahi kuandika humu kusiana na rafiki yangu mmoja ambaye ni mtendaji wa mlandege & mumewe alikuwa mwalimu wa Tagamenda sekondari. Kwa kweli rafiki yangu alikuwa anamnyanyasa sana mmewe na kila aliemshauri alimjengea chuki. Rafiki yangu huyu hakutosheka kumuweka mumewe ndani tu mara kadhaa...
  14. Willima

    JamiiForums Tanzania Ndoa kama chaguo bora zaidi kwa vijana wa kike

    Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake). Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
  15. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi yanavunjika kwa sababu wanawake wanahisi wao peke yao ndo wanahitaji furaha

    KIBIOLOJIA Mahusiano Mengi Yanavunjika Kwa Sababu Wanawake Wanahisi Wao Peke Yao Ndo Wanahitaji Furaha. Lakini wanawake wengi wana amni wao ndo wanasitahili furah kuliko mwanaume na akiikosa furaha mwanamke mwanaume unaonekana hufai kabisa na mwanaume anaonekana haumjali. Kiasili wanawake ni...
  16. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojishugulisha na biashara ngumu ni wale walioachwa, sura ngumu au waliozaa wakatelekezwa

    Ukweli usemwe, hawa wanaosema mimi ni mwanamke natafuta kwa jasho langu ni wale yaliyowakuta magumu kwenye mapenzi, sura haina mvuto hapa unakuta mwanaume wa kumshobokea amuhonge hayupo, walio zaa hawana wanaume wa kutunza watoto wao hapa inakuwa hamna namna inabidi aingie barabarani kuuza...
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

    Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto. Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za taulo za kike kutolewa bure kwa Wanawake wote Scotland

    Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taliban warusha risasi kutawanya Wanawake waliokuwa wakiandamana

    Wanawake waliokuwa wakiandamana kudai haki ya kuwa na huru Nchini Afghanistan wametawanywa na Wanamgambo wa Taliban ambao pia walitumia nguvu kuwashambulia kwa kuwapiga na kufyatua risasi hewani Jijini Kabul. Mbali na kuwapiga baadhi yao, pia Wanamgambo hao walichukua simu za waandamanaji hao...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

    Kwema Wakuu?! Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao...
Back
Top Bottom