wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama wanawake mnataka wanaume wenye pesa Sasa inakuaje mnapata Mimba badala ya pesa?

    In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Upatu/ VICOBA/ Marejesho na Afya ya wanawake

    Mwishoni mwa mwezi uliopita nilikuwa natoka maeneo ya Manzese (kufuatilia jambo) kuelekea Makumbusho. Eneo nililokuwapo lina Kituo cha Daladala kiitwacho Big Brother na ndipo nilipopandia gari. Garini palikuwa na abiria wachache waliotawanyika mithili ya punje za mtama zilizotoswa ardhini. Nami...
  3. Binti Mzalendo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ugonjwa wa Afya ya Akili upo

    Habari ndugu mwana Jamii Forums,Umewahi kusikia kuhusu Ugonjwa wa Afya ya Akili?,pengine labda ukahisi ni kitu kidogo au Cha kawaida,hapana kina madhara makubwa hasa kwa utendaji kazi kiufanisi.Kwani ugonjwa Afya ya Akili ni nini?,Ugonjwa Afya ya Akili unatafsiriwa kwa maana tofauti kulingana...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha miezi michache Iran imenyoga raia wake 251, wengine kisa migogoro ya kwenye ndoa

    Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana. Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic...
  5. The Clinical Pharmacist

    JamiiForums Tanzania Huyu kipotabo kanifanya nibadili mtizamo wangu kwa Wanawake wanene!

    Habari gani ndugu zangu wasaka tonge wenzangu na vigogo pia habari zenu. Niende kwenye maada, mwanzo naanza ku-date nilikuwa nawafagilia sana wadada wenye chura ya kutosha. Kusema ukweli nilikuwa najikuta mwenye kuweweseka sana nikishika trako au chura ya mtu wangu ambaye nilikuwa namdate...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Masasi: Mfululizo mauaji ya kikatili kwa Wanawake, Polisi wataja wivu wa kimapenzi

    Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi. Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ili waolewe, Wanawake nchini Iran watakiwa kuwa na vyeti kuthibitisha kuwa mabikira

    Nchini Iran, ubikira kabla ya ndoa ni muhimu kwa wasichana wengi na familia zao. Wakati mwingine wanaume hudai cheti cha ubikira, jambo ambalo Shirika la Afya Duniani (WHO) linaona ni kinyume na haki za binadamu. "Ulinidanganya nikuoe kwa sababu wewe si bikra. Hakuna mtu ambaye angekuoa ikiwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake washiriki katika mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba na kuanza maisha ya furaha mjini Meishan, China

    Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou. Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu pekee nimewadunga mimba wanawake watatu, sipati usingizi

    Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu...
  10. FourTwoNet

    JamiiForums Tanzania Kama huwezi kudeal na wanawake zaidi ya mmoja, pambana na huyo huyo!

    Wakuu!!! Akyanani...ata salamu haiji, naenda straight kwenye format ya leo. Kama unataka anzisha familia ya wife zaidi ya mmoja....wanaume naomba jamani kama wewe ni ule ukipewa kachumbari na mwanamke utie muhogo afu unapoteza fahamu za kiume....yani unasimp....unakuwa tena huna maamuzi na kila...
  11. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Wanawake, hata kama mmetofautiana na waume zenu msiwaseme mbele za watu

    Peace be with you all, Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
  12. kwisha

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanalalamika kuwa hawaolewi ila ukiwatongoza wanakataa

    Wanawake wa siku hizi wana lalamika kuwa eti siku hizi wanaume hawataki kuwaoa ila ukiwatongoza wanakataa Wanawake ninyi bwana mnatabia za ajabu ajabu ila kumbukeni kitabu cha nabii Eliya 4:1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tff mkitaka soka la wanawake bongo liwe juu tengenezeni wachezaji kariba ya jezi namba kumi wa Yanga Princess

    Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo. Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu nilidhani walikuwa wanaumia wakicheza. Nimekuwa mtu mzima still bado sijawahi kuupenda mchezo huu kwa...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

    Huyu Bidada niliwahifika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi. Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips makalio n.k. Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa Unajua Binafsi huwa...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania VIKOBA na Madeni vyatajwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa Afya ya Akili. Wanawake wahanga wakubwa

    Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022 Suluma amesema takwimu zilizofanywa na Hospitali ya Mirembe mwanzoni mwa mwezi Julai 2021 zimebaini Tanzania kuna wagonjwa 6,000...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Polisi yawatia mbaroni watu 40 zaidi baada ya ubakaji wa wanawake wanane

    Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia wafanyakazi wa kutengeneza video wakiwa na silaha. Kamishna wa Polisi wa Gauteng Luteni Jenerali...
  17. Willima

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuhudumu baa hasa kwa wanawake ionekane kuwa kazi ya heshima kama kazi nyingine

    Wahudumu wa baa hasa wanawake wanapitia changamoto nyingi sana, changamoto hizi hutokana na kudharauliwa kwa kazi hii kwakuwa watu wengi sana huamini Kuwa wahudumu hao hawana tofauti na wanawake wanao jiuza, jambo ambalo sio sawa kwa sababu kazi ya kuhudumu baa sio sawa na kazi ya wanawake wanao...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

    Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa. Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Toka aliponitenda nimekosa imani kabisa na wanawake

    Popote ulipo Happy uliniweza. Mwaka 2015 niliingia kwenye mahusiano na pisi moja ya kuitwa happy, aisee huyu manzi alikuwa mkali siyo mchezo. Huyu Happy nilikutana naye nilipokuwa nimepanga mimi na marafiki zangu wawili (ghetto) nyumba ambayo nilikuwa nimepanga alikuwa amepanga dada yake siyo...
  20. Willima

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa wanawake wanaohudumu katika kumbi za starehe (Baa)

    Masuala ya kijinsia yanajumuisha nyanja na masuala yote yanayohusiana na Maisha na hali ya mwanamke na mwanaume katika jamii, jinsi wanavyohusiana, na tofauti zao katika upatikanaji na matumizi ya rasilimali, shuguli zao, na jinsi wanavyo itikia mabadiliko mbalimbali katika jamii. Jinsia ni aina...
Back
Top Bottom