wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Iran wanaposimama imara, lakini si Watanzania

    Wa Iran wanawake kwa wanaume wamesimama imara kupigania haki zao. Hijab haziwahusu wanaume ila haki za wanawake ni jukumu la wote. Kwetu haki zina macho. Ubinafsi umetamalaki. "Kwetu polisi na wauwe watakavyo alimradi watasema wameuwa panya road hiyo ni sawa." Mbaya zaidi ubinafsi huo...
  2. JamiiForums Tanzania Chanjo ya tetanus (Pepopunda) kwa wanawake

    Tetanus (Pepopunda) ni ugonjwa unaosababishwa na sumu inayotokana na maambukizi ya bakteria wanaoitwa Clostridium tetani ambao hupatikana kwa wingi kwenye ardhi, vumbi na vinyesi vya wanyama. Vimelea hivi huingia mwilini kupitia sehemu za ngozi ya mwili iliyo wazi, kitendo chochote kinacho...
  3. JamiiForums Tanzania Feminism imewaongezea Wanawake mzigo mzito zaidi kuliko walivyotarajia

    Anaandika, Robert Heriel Angalizo; lugha itakayotumika inaweza isiwe nzuri. Hivyo Kama ni mwepesi WA mihemko basi unashauriwa kuishia hapahapa. Endapo utaendelea kusoma, na ukapata madhara yoyote ya kihisia au kisaikolojia basi sitakuwa sehemu ya lawama. Nafahamu ili familia ianguke basi Mama...
  4. JamiiForums Tanzania Iran: Wanawake wavua hijab kulalamika mauaji ya mwenzao kisa sheria ya dini

    Wanawake wanaendelea kujitoa mhanga kama wafe basi wafe wote, mwenzao aliuawa kisa hakua amesitiri kichwa kama inavyotakiwa kwa dini ya waislamu, wameamua kuvua hijab na kuacha vichwa wazi liwalo na liwe. ============ A massive anti-hijab revolution has broken out in Iran after women came out...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dini zinasema nini kuhusu wanawake?

    Ukiangalia mtazamo wa watu kwenye vitu vingi umechangiwa na vitu vikubwa viwili, tamaduni na dini. Leo nataka tutazame dini maarufu hizi mbili, Uislamu na ukristo zinazungumza nini kuhusu wanawake na mchango wao katika malezi na mtazamo wa waumini wao kwa wanawake. Tuanze na uislamu. 1...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake nimenyosha mikono juu! 😅😅😅

    😅😅😅😅😅kwanza nchekeee!! Mshikaji wangu Homeboy alikuwa na Demu hapo Mwanza Town so alikuwa amepata demu mkali wa Kisukuma bomba sana. Waliishi mida mida hivi kama miaka miwili hivi. Wakisaidiana maisha yanaenda kimtindo. Ofcourse mwanamke alikuwa na vikazi vyake vya hapa na pale anapata kipato...
  7. JamiiForums Tanzania Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    KAMA UPO CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE PESA KUYAPATA MAPENZI YA WANAWAKE Anaandika, Robert Heriel Andiko hili ni Kwa utambuzi vijana, kuwafanya wajiamini na kujielewa. Wakati wanawake wakihamishana Kupenda wanaume wenye pesa na kuwabagua wanaume wachanga ambao wapo kwenye umri wa utafutaji...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mwongozo wa kitaifa wa uanzishaji na uendeshaji majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi

    Na Mwandishi Wetu, WMJJWM, Pwani Serikali imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wenye lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wa majukwaa haya ikiwa ni pamoja na kuyafanya yajulikane ngazi zote hapa nchini. Akizungumza katika uzinduzi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa eneo huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), 12-9-2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika ( AfCFTA) katika Ukumbi wa JNICC - Dares Salaam, tarehe 12 Septemba, 2022
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuwawezesha wanawake kupitia TEHAMA

    Kutatua mapengo ya kijinsia katika TEHAMA ni muhimu kwa mustakabali endelevu "Kuwawezesha wasichana kuchagua taaluma za TEHAMA sio tu nzuri kwa wasichana na familia zao, inaweza kuwa kichocheo kikuu cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika ngazi ya kitaifa." - Brahima Sanou, Mkurugenzi...
  11. JamiiForums Tanzania Ushawahi kujiuliza kwanini wanawake matajiri ni wachache sana duniani?

    Sasa acha nikusanue leo hii ukitazama orodha ya watu matajiri zaidi duniani basi kwenye top 20 yao. Utakutana na wanawake watatu na wanaume 17. ✓ Wanawake ao ni Bi Francoise Bettencourt ambae yupo nafasi ya 14. Ni mfaransa mrithi wa kampuni ya vipodozi ya L'Oréal ambaye anamiliki 33% ya...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali ibadili 10% ya mikopo kwa Vijana na wanawake kwenye Haimashauri, badala yake itumike kuendeshea masoko na minada kwenye Halmashauri husika

    Naandika kwa kujiamini kwasababu ni mzima wa afya, na natumai hata msomaji wangu u mzima. Pamoja na changamoto nyingi za maisha, lakini yatupasa kumshukuru M /Mungu maana yeye ndiye atupaye akili za kufikiri. Baada ya UTANGULIZI huo, ngoja nijikite kwenye mada. Bila shaka, Kama wewe no...
  13. JamiiForums Tanzania Morogoro: Wawili mbaroni kwa Uhalifu wa Kutumia vilevi kwa Wanawake

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Fortunatus Musilimu, alikiri jana kukamatwa kwa watu hao kwa nyakati tofauti kwa madai ya kujihushisha na vitendo hivyo kwenye mikoa mbalimbali nchini ikiwamo Morogoro, Dodoma, Mwanza na Dar es Salaam. Baada ya kuwafanyia...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake ni viongozi na wasimamizi bora wa jamii na nchi

    Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
  15. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanawake na mitandao, leo kwake kesho kwa dada yako au mpenzi wako

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara zinazofanya vizuri katika matumizi ya mitandao ya kijamii. Ripoti ya takwimu za robo ya pili ya mwaka 2020 za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilionesha watumiaji wa intaneti wameongezeka hadi kufikia milioni 27.1 mwezi Juni...
  16. JamiiForums Tanzania Natoa hoja: Ifike wakati soka la wanawake kitaifa lipewe kipaumbele kuliko la wanaume

    Pamoja na kwamba soka ni ajira, soka pia ni kielelezo cha taifa. Soka huitangaza nchi yoyote iwayo; kuiheshimisha na kuiaibisha. Kwa muda mrefu sasa, timu zetu za taifa za soka za wanaume zimekuwa hazifanyi vyema ukilinganisha na zile za wanawake. Timu zetu za soka za wanawake zimekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya wanawake, Mwanamke auwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali huko Mkoani mwanza

    Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna wanawake watamu na wanaojua mapenzi kama sugar mumy

    Katika umri wangu sikuwahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliye nizidi umri. Mpaka mwaka huu nilipo pata mwanamke wa miaka 39, hakika naenjoy mana wapo tofauti na vi slayqueen. 1. Kwanza wanajua mapenzi na wasafi wa kiwango cha SGR, unakula tunda lile lenye viwango vya ubora toka  TBS yani ile...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

    Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa? Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume tunaongoza kutengeneza wanawake ambao ni tegemezi (malaya)

    Kwa ufupi, nipo kikazi mkoa fulani kwa bahati mbaya/nzuri nimekutana na binti nilibahatika kuwa nae kimapenzi na nikamhudumia kwa miaka kadhaa nyuma kabla ya kwenda nje ya nchi kujiendeleza kimasomo. Leo cha kustaajabu nimekuja mkoa X kikazi nimekutana nae akiwa anakata mauno hadharani kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…