Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
15,962
35,577
Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani.

Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba.

Wewe unayelilia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu jiangalie kwenye kioo unamvuto? Unaombaje kazi inayokutaka udeal na watu huku ukiwa na sura au muonekano usiovutia?si ukasomee ufundi mchundo kama mimi.Dk Remmy hakuwa mjinga kuzaa na mzungu

Hitimisho, unataka wanao wasikose ajira?zaa na pisi kali uwasaidie watoto wako wasihangaike kutoswa kwenye interview.

Nimeongelea kuzaa sio kuoa,tusioe jamani.
 
Yaani umendika vibaya na harakaharaka sana. Anyway Ujumbe wameupata.

Kwa Taarifa Yako: Uzuri wa Mtoto hautokani na Uzuri wa Mama wala Baba yake. Ishi humo.

Genetics ni Somo zito na tamu sana.

Kuhusu Ajira mbeleni... Mungu ndiye mpaji wa vyote; Utake usitake huo ndiyo ukweli.
 
Ngumu sana makauzu kuzaa cute,uhusiano upo sana na familia za kifalme huko ulaya wanalizingatia sana hili,wanaoa familoa fulani zenye wajihi mzuri na princess lazima awe mrembo sana,wanaogopa kuharibu haiba yao
 
Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli.
Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani.
Kuna watu wengi nawajua wapo kwen6e vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba .
Wewe unayelia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu jiangalie kwenye kioo unamvuto? Unaombaje kazi inayokutaka udeal na watu huku ukiwa na sura au muonekano usiovutia?si ukasomee ufundi mchundo kama mimi,
Hitimisho,unataka wanao wadikose ajira?zaa na pisi kali uwasaidie watoto wako wasihangaike kutoswa kwenye interview ,
Nimeongelea kuzaa sio kuoa,tusioe jamani.
Si bure umeshaumalizq mwendo
 
Ngumu sana makauzu kuzaa cute,uhusiano upo sana na familia za kifalme huko ulaya wanalizingatia sana hili,wanaoa familoa fulani zenye wajihi mzuri na princess lazima awe mrembo sana,wanaogopa kuharibu haiba yao
Unajua Princess Diana alikufa akiwa na Ujauzito wa nani?
 
Kwanini usifikirie kuzaa na watu wenye status fulani, katika majukumu yangu hapa na pale awamu ya JK, nilijikuta nikiangukia kwa mwanamke fulani mwenye status yake awamu hiyo ya JK nilimpelekea moto hasa na tulibahatika kupata mtoto mmoja wa kike kwa sasa yupo zake nchi fulani anachukua master's yake.

Yale mapenzi yalikuwa valuvalu hakika wakati unakimbia sana.
 
Sisi watandale tutakutana wapi na watoto wa masaki?ila huku tinde kuna mabinti wazuri tu ukizaa nao mtoto ukamleta mjini ukamsomesha vizuri ana shine
 
Ngumu sana makauzu kuzaa cute,uhusiano upo sana na familia za kifalme huko ulaya wanalizingatia sana hili,wanaoa familoa fulani zenye wajihi mzuri na princess lazima awe mrembo sana,wanaogopa kuharibu haiba yao
Then badili Uzi uwe tuzae na Familia za Kifalme na sio wanawake wazuri.

Nimekufiria hata huo Udukuzi sijui unaujua au unaupenda tu au ndiyo Username? Anyway; Enjoy! It's your thread.
 
Sisi watandale tutakutana wapi na watoto wa masaki?ila huku tinde kuna mabinti wazuri tu ukizaa nao mtoto ukamleta mjini ukamsomesha vizuri ana shine
Wa kiume je? Naye unataka auzike
 
Then badili Uzi uwe tuzae na Familia za Kifalme na sio wanawake wazuri.

Nimekufiria hata huo Udukuzi sijui unaujua au unaupenda tu au ndiyo Username? Anyway; Enjoy! It's your thread.
Haiwezekani wote kuzaa na royal family,ila huku mitaani kuna pisi kali zizalisheni achaneni na manungayembe hayo
 
Back
Top Bottom