Fact: Wanawake wanene ndiyo wife materials. Japo siyo sweet on bed

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,564
50,400
Kwa kazi zangu za ukungwi nimechunguza na kujiridhisha kwamba 95% ya wanawake wanene ndiyo wenye tabia na mwenendo mzuri ktk ndoa zao.

Hii imewekwa makusudi na mwenyezi Mungu kama njia ya kuziba mapungufu yao. Kwasabb wanawake wanene asilimia kubwa ni:-
*wavivu wa kunyanduana,
*hawana ashki majinun kama wenzao wembamba,
*hawana mvuto sana kwa wakware.

Ni kwasabb hizi waume zao hawapitii kashikashi za kufumania, kudharauliuriwa na wala hawana wahaka wa wivu wa kimapenzi.

Ewe kijana ambaye hujaoa ukitaka kuishi bila stress oa mwanamke mnene.

Hawa wembamba pia wana mioyo miembamba ya uvumilivu.
UTANISHUKURU.
 
Ila wapo wengine visirani!!! Mnhhh.,
 
Kweli.sisi ni wavivu wa kunyanduana
Naweza kuwa na hamuuu resources zote za kunyanduana zikawa ziko on ila uvivu tu wa kukipeleka eneo la tukio ukaniponza
K inabaki tu kunenepeana
 
Back
Top Bottom