Kuna msemo maarufu miongoni mwa wanaume wapumbavu kuwa eti "WANAWAKE HAWAELEWEKI",huku ni kujazana ujinga na kuwajaza ujinga watoto wetu wa kiume kwa maana kabla hata ya kuja kwa maandiko matakatifu, asili pekee ilionyesha na kumfanya mwanaume kuwa kiongozi na msimamizi, ndio maana bila mwanaume...