Wanaume tuwatengeneze warembo wetu

Rog chimera

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
341
542
Salaam kwenu wajomba na ma shangazi,

Ujumbe huu uwafikie wanaume wote wawe ni wa Dar au ni wa wapi uko. Wanaume tuache kupenda mteremko, tuache tamaa za kutaka wanawake warembo kirahisi rahisi tu.

Wanawake wote ni wazuri, wanatofautina matunzo tu. Sasa wewe hutoi hela kwa mke/mpenzi wako halafu unataka awe hot! huo u hot atuoe wapi? Mwishowe unaanza kumangamanga kutafuta wake na mademu za watu amabao waume zao wamewagharimikia. Aise acha huo ujinga.

Mtengeneze mke/mpenzi wako uone manyang'au yatakovyomtolea macho. Vizuri Vimegharamiwa. I repeat beauty is expensive!
 
Tunataka beauty by nature sio hii artificial
 
natural beauty inahitaji matunzo iendelee kuvutia , .ngozi nzuri inahitaji mafuta mazuri na chakula kizuri n maji safi vyote vyenye gharama, tako zuri linahitaji kulishwa chakula kilichopikwa na mafuta safi ya alizeti na kupakwa mafuta mazuri linase kwenye chupi likuvutie,manyonyo ya kuvutia yanatunzwa kwenye sidiria quality ya cotton ,papa linaitaji chupi nzuri zenye neti neti zikuvutie,sasa mkuu niambie bila kutoa ela iyo natural beauty utai maintain vp?

Enhee mkuu nimekumbuka ,ivi sio ww umeandika uzi juz juz apa ukijutia pesa ulizopoteza kwenye mambo ya wanawake katka miaka 10 ya utumishi na ukaahidi kujirekebisha ? kwaiyo ulikua una tuchora tu sio.
 
Nyuzi zingine ni mkusanyiko wa matukio ktk jamii, mengine yananihusu mimi mtoa thread na mengine ni ya marafiki zetu wa karibu. So ni namna ya kufikisha tu ujumbe.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom