RAKI BIG
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 394
- 459
NAOMBA NIANZE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA.BAADHI YAO WANA TABIA KAMA ZIFUATAZO😂😂😂
1.Baadhi yao wanapenda lifi sanaa
2.Baadhi yao wanapenda hela ndogo ndogo sana ukimpa buku utamckia aah hii kubwa sana unakula kabisa hii😀
3.Baadhi yao wanapenda kutoa wosia sana na maneno mengi na hawamalizi maneno mdomoni
4.hawanaga kazi maalumu wazee wa mishentown yan ukimuuliza sehem flan tu kama dar hakuna asipopajua kama dude
5.waongo waongoooooo
6.Wanapenda kulelewa na majimama
7.wanapenda wanawake wenyewe maziwa makubwaaa
8.alafu wajuaji wa kila kitu kwenye siasa yumo biashara yumo balaa yan
9.alafu stori zake nyingi zakale miaka 70 huko 80 utamckia enzi zetu balaa ili kukuchanganya zvr
10.yeye kila siku anamchongo anafatilia
11.wanapenda kuvaa mashati ya blue bahari nakuchonga o
12.ndio wanaongoza kwa kuitwa wajomba mtaani wao hawana watoto
13.utamckia uncle haujambo nimekumiss
😂😂😂 ni utani tu kama unazo zingine weka