wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sauti nne pekee ambazo sisi wanaume tunapenda kuziskia kwenye maisha yetu.

    #everything in life come and Go
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanaume unajua kuwa chakula hiki hakikupikwa na mke wako?

    Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka. Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kabla ya kumuoa binti, jitahidi umjue mama yake!

    1. Kabla ya kuoa mwanamke, mjue vizuri mama yake. Mabinti huchukua tabia za mama zao 2. Oa mwanamke atakaye kuheshimu hata kama ana hasara au umemkosea 3. Usipende kutamka neno 'nakupenda' au 'I love you' Aidha Kwa mkeo au wanao usipende kusema love you Wanaume halisi tunaonyesha upendo Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, ni aibu kwa mwanaume kuishi kwa kuombaomba kwa watu ili uhudumie familia Yako ujue unatengeza kizazi cha laana

    Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo! Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha. Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
  6. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umasikini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umasikini kupitia ndoa

    Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa. 80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage. Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko...
  7. JamiiForums Tanzania Kama wanawake wanataka kuwa sawa na wanaume kwanini wamewekwa kwenye kundi maalumu?

    Kwenye sheria nyingi za kimataifa kundi maalum linatajwa kuwa Wanawake, Watoto, Wazee na watu wenye ulemavu. wakati huohuo wanawake wa dunia ya sasa wanadai 50/50 NATURE HAIJAMUUMBA MWANAMKE KUWA SAWA NA MWANAUME. ingawa dunia ya sasa inaelekeza nguvu kubwa ili kum push mwanamke, je kwanini...
  8. JamiiForums Tanzania Linahitajika somo la mtaala wa darasani kuwaelewesha wanaume tabia za mahusiano za wanawake

    Kuna kidume kinalalamika wanawake wako tayari kutoa penzi la bure kwa wanaume tajiri au maarufu wakati kwa mafukara na wavuja jasho wanawabania wakitaka chochote kitu kwanza! Ni jambo linalotia hasira kama wewe ni mwanaume masikini lakini ni jambo linaloeleweka ukichukua muda kutafakari na...
  9. JamiiForums Tanzania Je wanaume wengi wanateseka kimya kimya kwenye ndoa zao?

    Leo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii. Ghafla nikamsikia anamwambia muhudumu: Usinione hivi, mimi nina mke na watoto watano. Nina gari nimepack...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kuna madanguro ya wanaume kujiuza na wanawake wanawanunua?

    Ushawahi kufikiria kama kuna sehemu wanaume wanakaa kisha wanawake wanakuja kuwanunua? sio lazima iwe tz, nauliza hata globaly, hili suala lipo kweli?
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua. Hujiulizi ni kwanini Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume weupe hatupendi uchafu

    Hapo vip! Najivunia sana kuzaliwa mweupe kwasababu uweupe ni ishara ya utakatifu,nguvu,utawala,utajiri,mamlaka n.k MFano nuru utawala giza. Kiukweli sisi wanaume weupe hatupendi vitu vichafu vichafu mfano ngono inachafua nyoto,kiasili na ukweli ni kwamba rangi nyeupe haipendi uchafu. Wanaume...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume ni viumbe adimu tuliobakia na tupo njiani kutoweka katika hii Dunia

    Warembo wote wa humu na wa huko duniani, mtutumie vizuri; tunakaribia kutoweka duniani. Yangu ni hayo tu.
  14. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia, wanaume ndio walitakiwa watongozwe.

    Mtazamo wangu ni kua ingefaa wanaume ndio wawe wanatongozwa na kuombwa kuingia kwenye mahusiano na wanawake, regardless kama mwanaume ni handsome au la. Kwa maana -wanaume ni wachache -wanaume ndio wanachakalika na kuhudumia familia - wanaume hutoa jibu haraka kama ni hivyo, kwanini sasa wao...
  15. JamiiForums Tanzania POTOSHI Ni kweli kuwa Wanaume wanatakiwa kutofanya mazoezi ili kulinda afya

    Kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, kumekuwepo na ukurasa uliochapisha video inayowahamasisha wanaume kutofanya mazoezi, ikidai kuwa kufanya mazoezi husababisha watu kutokuwa na afya njema. Katika video hiyo, mhusika anarejelea zamani akisema kuwa watu wa kale hawakufanya mazoezi, na...
  16. JamiiForums Tanzania Tafiti zanaonyesha wanaume weupe hawapendi mapenzi

    Hapo vip! Kuna utafiti mmoja umefanywa na shirika moja la kimarekani,linasema wanaume weupe hawapendi ngono sana kama wanaume weusi. Wanasema wanaume weupe wanapenda sana kumiliki vitu vizuri kama mali,biashara kubwa,technology,utawala ,magari mzuri,majumba ya kifahari n.k Wanasema ndio maana...
  17. JamiiForums Tanzania WAMAMA PUNGUZEN HIZI KAULI KWENYE NDOA ZENU WANAUME WENGI WAMEPINDA NA MAISHA SIKUHIZI USIONE ANACHEKA NYUMBAN

    WAMAMA PUNGUZENI KAULI HIZI KWA WAUME ZENU 🙏 Kila mzazi ana haki ya kumlea mtoto wake. Malezi si jukumu la mama peke yake wala baba peke yake… ni ushirikiano 🤝 Lakini kuna kauli ambazo zinaumiza, zinadhoofisha mamlaka ya baba, na zina changanya watoto😔 Epuka kauli hizi mbele ya watoto👇...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

    Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii? Rais wa Zanzibari chukua hatua
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kigoma mna nini? Mbona sio wastaarabu nyie

    Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji. Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa kama karanga kuhalibu bajeti za watu tu, mkirudishwa kigoma mnaanza fitina zenu . Mbaya kabisa anapika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…