Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 128
- 431
Siku zako na huyo mwanamke ambae haumpi pesa zinahesabika chukua tahadhari. Usije kulia kilio cha mbwa mdomo wazi
Husipeleke maua tia hela
Husipeleke maua tia hela
Marioo katuwakilisha kwa song la "mombasa"...Waambie hawa wasiosikia 👌🏽
Tulieni bado tupo kwenye kikao cha wanaume. Tunajadili mambo ya msingiUzi mzuri ila umekosa wachangiaji, nyie wanaume em mkuje hapa kuna jambo lenu.
😂😂😂
Tuwatakie kila la kheri💃🏽Marioo katuwakilisha kwa song la "mombasa"...
Bora tukajaribu kule, mana bongo hamuelewek
Jamani😆😆Nasijui kwanini vibaba vyenye ukimwi vinajua kucare kwa kugawa hela na virusi.
SawaaaaaaTuwatakie kila la kheri💃🏽
Hakipo Kitu kinacho Guarantee Kumtuliza au kudumu Na Mwanamke Si Pesa Si Mapenzi Si Muda.Siku zako na huyo mwanamke ambae haumpi pesa zinahesabika chukua tahadhari. Usije kulia kilio cha mbwa mdomo wazi
Husipeleke maua tia hela
😂😂😂Nasijui kwanini vibaba vyenye ukimwi vinajua kucare kwa kugawa hela na virusi.
Wachaa Wee.Tulieni bado tupo kwenye kikao cha wanaume. Tunajadili mambo ya msingi
Sio vichoyo kabisa 😂😂 Ujue kula vidonge na kuvaa pampas tu.Jamani😆😆