wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanaume: Viumbe walio hatarini kutoweka

    Nimesoma shule ya sekondari kata katika kijiji kimoja huko mkoani Dodoma. Wakati huo, tulipokuwa tukijadili hatima zetu kimasomo na kimaisha kwa ujumla tulikuwa tukiwaweka kando wasichana kwa kuwa hawakuonekana kama wanaelewa chochote kuhusu hatima zao na hata mazingira hayawakuwaunga mkono...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake mlipswa kuwa wanaume tu, maana mna gundu hatari. Angalieni huyu mwanamke mwenye nyota yake

    Hivi ninyi wanawake ambao mnaishia kupewa nauli ya bajaji tu mlizaliwa kwa ulozi ama?
  3. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Zipi sababu za wanaume kubambikiziwa watoto wa wanaume wenzao?

    Ndugu zangu kila mmoja wetu achangie mada hii ili tupate kiini cha swala hili. Kuna baadhi ya wanaume wametunza watoto ambao si wao, kuanzia mimba mpaka ukubwani kwa kuwasomesha kwa gharama kubwa pasipokujua kuwa sio watoto wao. Baadhi ya familia zinaishi na watoto wasiokuwa wa baba mwenye...
  4. Jorge WIP

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaouza maduka ie...k/koo wanazidisha bei(over pricing) kwa wateja wanaume

    Habari zenu my virtual family(JF) Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka kunitajia bei za ajabu ambazo ziko juu ya kawaida, Lakini... Nikienda duka lingine labda nkamkuta...
  5. emmarki

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa karne ya 21 tunaendelea kupoteza uanaume wetu (masculinity)

    Wanaume haswa vijana wa kiume tuwe na mjadala mkubwa ni wapi jamii inapokosea kuandaa mtoto wa kiume kuchukua ile nafasi yetu tuliyopewa na God ya "mwanaume utakuwa kichwa". Kuna mambo personal nimeyaona na yanendelea kufanyika na yamekuwa kama kawaida kwenye jamii ambayo yanampa uanume...
  6. To yeye

    JamiiForums Tanzania Imani kwa wanaume imekwisha

    Ni masista duu nimewanyaka sehemu fulani wakijadili na kupondea, eti hawaolewi kwa sababu wanaume wanawanyang'anya wanaume zao, hiyvo kumekuwa na uhaba wa wanaume😳. Jambo lingine, eti hata picha zinazotupiwa sana mitandaoni, ukiona wanaume wawili picha ya pamoja afu wanajiita marafiki ujue ni...
  7. Mkanganyiko kukanganya

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuna siri sana ila siri hii, hapana

    Tukiendelea kungoja makarani wafike Wakuu kuna suala nalitafakari nakosa jibu nisaidieni! Iko hivi wengi wetu tunachangamoto za ndoa hasa kutokumwamini mwenza kwa matokeo ya mbeleni kwa ndoa kuvunjika kwa dalili unazoziona. Wanaume nafikiri tunaweka usiri ambao mwishowe ni hasara za mali...
  8. To yeye

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliangalie na hili pia!

    Maana Nyie Ndio kichwa Cha familia. Samahani naomba niwaulize. Hivi suala la mavazi ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje? Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa humo ndani, au Ndio uzungu? Au ushamba wangu wa Mbeya. Sisemi kujitenga kwamba mimi ni mtakatifu no...
  9. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Wanaume mmemsikia mwenyekiti wa wanawake? Haya kazi kwenu

    Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho? Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa. 🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃
  10. politicians

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    Habari wakuu! Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa kuoa nilipata tabu sana kwa sababu nilikuwa sijui kuwa wanawake wengi wana ugonjwa huu wa...
  11. Joao de Matos

    JamiiForums Tanzania Wanaume njooni hapa, Unapotafuta mke, Ni sahihi kumueleza binti unataka kumuoa unapomtongoza kwa Mara ya kwanza?

    Habari wanajamii forum. Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa moja kuwa unataka kumuoa? Maana kuna vitu najiuliza, kwamba wakati mwingine inaweza kuwa njia...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

    Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
  13. To yeye

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

    Hivi siku ile unamwoa huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa hakupendi ila ukamwoa hivyohiyvo? Kwa sababu zako zipi sijui? Mfano kwa mwanamke, wengi huingia hawajampenda mwanaume ila sababu zake ni Kuogopa kuchachia home, kuolewa kama mashost zake walio ndoani, kufuata Mali za mwanaume na wengine Ili...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

    Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume. Wanaume walio single ukiwauliza wanasema: 1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani. 2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto...
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

    Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto. Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

    Kwema Wakuu?! Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao...
  17. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Jumapili ya leo tuwaombee wanaume wanaoona haya ni ndoto kwao

    Jamani sio matangazo, ila tu natamani na wanaume wengine wapate meseji kama hizi ili kuimarisha afya zao za akili. Maana Kuna wanaume wenzetu wamepoteza molari na kufanya kila kitu kwao ionekane ndoto katika mapenzi. Ndio imepelekea wanaume hawa kuona kila uzi kwenye uzi wetu wa Kula tunda...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama wanawake mnataka wanaume wenye pesa Sasa inakuaje mnapata Mimba badala ya pesa?

    In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku...
  19. sepema

    JamiiForums Tanzania Swali kwenu mnaotetea wanawake kuchepuka kwa kisingizio Cha wanaume kutotulia

    Habari zenu Kumekuwa na mijadala mingi kwenye jamii kuhusu 50 kwa50 kwenye swala la kuchepuka Kati ya mume na mke. Wengi wanaotetea hoja hii Wanadai ikiwa mwanaume hajatulia kwenye ndoa haina faida kwa mwanamke kutulia, eti bora nayeye akajipatie lijamaa nje. Binafsi naamini kucheat ukiwa na...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

    Bila kupoteza Muda nijielekeze moja kwa Moja kwenye Mada. Wanawake wamekuwa wakipambania sana usawa 50/50 na serikali imekuwa ikitumia mbinu Nyingi sana ili kufanikisha jambo hilo ambalo ni kinyume kabisa na tamaduni zetu, hata kwenye vitabu vyetu vya dini ambavyo vinataka mwanamke awe msaidizi...
Back
Top Bottom