Swali kwenu mnaotetea wanawake kuchepuka kwa kisingizio Cha wanaume kutotulia

sepema

JF-Expert Member
Jun 13, 2019
591
1,000
Habari zenu

Kumekuwa na mijadala mingi kwenye jamii kuhusu 50 kwa50 kwenye swala la kuchepuka Kati ya mume na mke.

Wengi wanaotetea hoja hii Wanadai ikiwa mwanaume hajatulia kwenye ndoa haina faida kwa mwanamke kutulia, eti bora nayeye akajipatie lijamaa nje. Binafsi naamini kucheat ukiwa na ndoa ama mpenzi sio jambo zuri kwa pande zote(me &ke).

Sasa nije kwenye swali; Ikiwa wewe ni mwanamke,utasijikiaje siku ukigundua wifi yako anamcheat Kaka yako? Hapa haijalishi Kaka yako katulia au naye anachepuka.

Ikiwa wewe ni mwanaume, utajisikiaje utakapo hisi shemeji yako (mke wa bro)anatoka na jamaa/majamaa wengine?
Hapa pia haijalishi Kaka yako katulia au anamichepuko.

Maoni yangu;Pamoja nakwamba nimekiri wazi kuwa vitendo vya kucheat sio vizuri Ila nina mtazamo wangu hapa.
Ni bora zaidi mwanaume kuchepuka kuliko mwanamke. Ninaamini hata Kama wewe ni mwanamke hutajisikia vizuri ukigundua wifi yako anamichepuko.Wala huwezi kumshauri wifi yako eti awe makini na michepuko yake ili kaka asijue.

Ukija upande wa wanaume,nirahisi Sana mwanaume kuwa best wa shemeji yake (mume wa dada)hata Kama anajua jamaa ana mcheat dada yake.Atakachoweza kushauri nikwamba jamaa awe makini kwenye michepuko yake ili dada asijue na kumuumiza.

Mwisho; Kwenye jamii zetu mwanamke anayechepuka anaonekana mama mbaya kwa watoto na mtovu mkubwa wa maadili kuliko mwanaume anavyochukuliwa.

Wasalaam!
 
Mimi nasema mwanamke ana haki ya kuchepuka kama vile mwanaume ana haki ya kuchepuka.

Viungo hivi tumepewa bure basi tusiwekeane mipaka ya nani nimpe na nani nisimpe.

Alafu wewe kama mwanaume mwanamke asipo chepuka wee utachepukia kwa mwanaume mwenzio ama? Wacha wachepuke ili tuendelee kula burudani
 
Kuchepuka sio jambo jema hata kidogo haijalishi kwa mke ama mume, maana mke akipata kirusi dume na mume ataleta kirusi jike. Mwisho wa siku 💥💥💥nyumba imegawanyika.

Nawasihi wanaume wenzangu, tuamue kutulia kuchepuka sio jambo jema.
 
Mimi nasema mwanamke ana haki ya kuchepuka kama vile mwanaume ana haki ya kuchepuka.

Viungo hivi tumepewa bure basi tusiwekeane mipaka ya nani nimpe na nani nisimpe.

Alafu wewe kama mwanaume mwanamke asipo chepuka wee utachepukia kwa mwanaume mwenzio ama? Wacha wachepuke ili tuendelee kula burudani
Weekend nikukute wapi? Nina zawadi yako🤸
 
Imeisha hiyo, jiandae na derby....matokeo tutawasimulia Sisi

Hawa watakatifu wa humu wasiotaka kuchepuka waache wapishane na Raha!

mkuu ulilamba asali sasa umechonga mzinga kabisa unaendeleza libeneke
 
Mimi nasema mwanamke ana haki ya kuchepuka kama vile mwanaume ana haki ya kuchepuka.

Viungo hivi tumepewa bure basi tusiwekeane mipaka ya nani nimpe na nani nisimpe.

Alafu wewe kama mwanaume mwanamke asipo chepuka wee utachepukia kwa mwanaume mwenzio ama? Wacha wachepuke ili tuendelee kula burudani
Tangu ujiunge na jf leo umetoa madini ya maana.
 
Mwanaume akichepuka, ni tamaa tu ila ana upendo na mke wake. Ila mwanamke akichepuka anahamishia upendo wote kwa mchepuko wake, kuna siku atatamani ufutike katika USO wa dunia ili aendelee na jamaa anaemfikisha kileleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo. Mwanamke akichepuka nae ni tamaa tu.Unamsemeaje mwanamke wakati wewe ni mwanaume ?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom