Mnaotaka wanaume wa maana, je na nyie ni wanawake wa maana?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,425
9,823
Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa na mwanaume wa maana, hatujawahi kuambiwa mwanaume wa maana ni mwenye sifa gani ila possibly hapa huwa wanamaanisha mwanaume mwenye hali nzuri sana kiuchumi na zaidi ya yote awe mhongaji mzuri.

Swali langu kwa wakina dada mnaotaka wanaume wa maana je na nyie ni wanawake wa maana? Chukua vigezo vyote ambavyo umevi-categorized kama vigezo vya mwanaume wa maana halafu viamishie kwako je ivyo vigezo na wewe unavyo? Kwa mujibu wako kama mwanaume wa maana ni mwenye uhuru wa kifedha, je na wewe una uhuru wa kifedha? Kama ni tajiri, je na wewe ni tajiri? Kama ni mwenye gari, je ilo gari na wewe unalo? Kama ni mwenye kazi nzuri je na wewe una kazi nzuri?

Tafadhari sana kwa gold diggers wote msitumie hii kauli ya "mwanaume wa maana" kuhalalisha ukahaba na udangaji wenu. Ukitaka mwanaume wa maana make sure na wewe ni mwanamke wa maana. Your private parties are not tradable commodities if you use your private parties as medium to get money or escaping route of your financial responsibilities whether directly (on roads, night clubs, social media e.t.c) or indirectly ( through your relationships) you are a prostitute.
 
Mwanaume wa maana my foot.Go to hell we don't give a Fwak.

Kwanza K imetumika imekuwa shimo sio kitobo.

Epukeni kuoa wanaotaka wanaume wa maana .Wana mdomo unanuka choo wanataka kuwapanda wanaume kichwani.

Tafuta mwanamke mpole bikra utanishukuru Hawa wa sahivi hata umuandee vipi majimaji hayatoki mpaka upake mate.
 
Elimu yako? Na ungependa kufanya kazi ya aina gani mbali na proffesionalism yako?
Nimesoma Diploma ya procurement and logistoc management pia nilijiendeleza kwa kusoma bachelor degree ya business management nina uzoefu kidogo wa kufanya temporary CRDB BANK. Mbali na nilichosomea napenda sana mpira wa miguu (sio kucheza kufatilia na kuangalia tu kwa jicho la kiufundi) kwaiyo kwenye industry ya soka popote naweza kuingia mfano kusimamia kibanda umiza, uchambuzi, skauti wa wachezaji n.k ila kiujumla kazi yoyote inayohitaji akili au nguvu naweza kuifanya
 
Mwanaume wa maana my foot.Go to hell we don't give a Fwak.

Kwanza K imetumika imekuwa shimo sio kitobo.

Epukeni kuoa wanaotaka wanaume wa maana .Wana mdomo unanuka choo wanataka kuwapanda wanaume kichwani.

Tafuta mwanamke mpole bikra utanishukuru Hawa wa sahivi hata umuandee vipi majimaji hayatoki mpaka upake mate.
Mkuu bikira kizazi hiki wapo kweli?
 
Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa na mwanaume wa maana, hatujawahi kuambiwa mwanaume wa maana ni mwenye sifa gani ila possibly hapa huwa wanamaanisha mwanaume mwenye hali nzuri sana kiuchumi na zaidi ya yote awe mhongaji mzuri.

Swali langu kwa wakina dada mnaotaka wanaume wa maana je na nyie ni wanawake wa maana? Chukua vigezo vyote ambavyo umevi-categorized kama vigezo vya mwanaume wa maana halafu viamishie kwako je ivyo vigezo na wewe unavyo? Kwa mujibu wako kama mwanaume wa maana ni mwenye uhuru wa kifedha, je na wewe una uhuru wa kifedha? Kama ni tajiri, je na wewe ni tajiri? Kama ni mwenye gari, je ilo gari na wewe unalo? Kama ni mwenye kazi nzuri je na wewe una kazi nzuri?

Tafadhari sana kwa gold diggers wote msitumie hii kauli ya "mwanaume wa maana" kuhalalisha ukahaba na udangaji wenu. Ukitaka mwanaume wa maana make sure na wewe ni mwanamke wa maana. Your private parties are not tradable commodities if you use your private parties as medium to get money or escaping route of your financial responsibilities whether directly (on roads, night clubs, social media e.t.c) or indirectly ( through your relationships) you are a prostitute.
Ni rahisi mwanaume kumbadili mwanamke na kuwa vile anavyotaka kuliko mwanamke kumbadili mwanaume.

Mke akipata mme wa maana akampenda kwa dhati, anaweza kumfanya kuwa wa maana pia! Kwa m/mke ni ngumu kidogo. Wanaume wengi wengi ni wagumu kubadilika
 
pesa mmeiabudu sana mwanangu
Ukiona mwanaume anatanguliza pesa iyo ni ishara ya ugoigoi kwenye mambo mengi sana kwaiyo pesa inatumika kuficha udhaifu. Ukitoa hicho kigezo cha pesa hana namna nyinhine ya kummudu na kumlizisha mwanamke
 
Ni rahisi mwanaume kumbadili mwanamke na kuwa vile anavyotaka kuliko mwanamke kumbadili mwanaume.

Mke akipata mme wa maana akampenda kwa dhati, anaweza kumfanya kuwa wa maana pia! Kwa m/mke ni ngumu kidogo. Wanaume wengi wengi ni wagumu kubadilika
Naomba kujua vigezo vya mume wa maana
 
Back
Top Bottom