Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
 
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.


Shehe nae anafafanua hapa

 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera...
Hiyo dini ni ya kumlinda mwanaume ni mfumo dume angalia tu kule uislam ulikoanzia wanawake wanavyotendewa, hawaruhusiwa kusoma, kuwa viongozi, kumiliki mali, hata kuendesha gari.

Uislam unamkandamiza mwanamke mpaka mwisho ingawa wanawake nao ni tatizo kubwa wakiachiwa wafanye wanavyotaka mfano angalia nchi za wazungu
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera...
Hicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni.

Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna mabikra 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupu
 
Back
Top Bottom