Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,916
Reaction score
6,526
Kuna wadada na wamama wengi wanakesha wakiomba na wengine kwa waganga ili wapate wanaume wa kuwaoa, lakini hali ni tofauti. Na utakuta na wana kila sifa.

Hivi wale mnaopata huwa mnafanyaje? Siri ni nini?
 
Wewe unakosaje? Uko na hali gani.

sema mimi pisi yoyote kali kunipata lazima itoke jasho 😆😆 wengine wanagombewa mimi napapatikiwa.

Taarifa za mimama na vibinti kunipenda nazipata, ila pisi kali huna kibunda kwangu utakula kwa macho. Ndio nimesema hivo 😅
 
Ukiona mpaka umri unaenda bado ujaolewa dada .......jua ringi umelitumia vibaya mpaka limepotea.........kwenye uchi kuna kuwaga na kingo SASA unakuta unakutana na watu tofauti tofauti unawaonea huruma wanakuchosha mpaka ringi linapotea........SASA hapo Kira rangi utaacha kuiona........watu wanataka watereze uku wanasikia hiyo ringi hipo.......kinyume na hapo utamaliza waganga wote........
 
Nazungumzia wanaume wanaojielewa, wenye akili na wanaoujua majukum yao.
Sio kama hivyo wewe😄
 
Saivi wanaume ndiyo tunatafutwa dunia imebadilika kwa mfano mimi nishajipata dodido....😆

kunipata na kuwa na mimi, mwanamke lazima ujipange kabisa yaani ujipange maana ni gentleman niliyekamilika.

Anyway sifa zangu yaani LifeStyle langu.
Everything nimecustomizes:
1. Drink: Moet
2. Ride: Range rover black.
3. Watch: Mounting Black.
4.Shoes: Versace &Gucci.....
5. Bag: Luis Vuitton.
6. Food: KFC's
7. Residential Houses: Complex Appartments located at penisula bay dsm.
8. Vaccay trips: Always Summers.
9. Ever liked Island: Maldives.
 
Ukiona mpaka umri unaenda bado ujaolewa dada .......jua ringi umelitumia vibaya mpaka limepotea.........kwenye uchi kuna kuwaga na kingo SASA unakuta unakutana na watu tofauti tofauti unawaonea huruma wanakuchosha mpaka ringi linapotea........SASA hapo Kira rangi utaacha kuiona........watu wanataka watereze uku wanasikia hiyo ringi hipo.......kinyume na hapo utamaliza waganga wote........
Uongoo , acha uongoo , ukimya unachangia mtu yupo kimya hadi mtu ajui atasaidiaje , nani bikra Sasa .

Hata wanaume so kuongea nakujielezea hisia Kwa watu sio mbaya .
 
Ukiona mpaka umri unaenda bado ujaolewa dada .......jua ringi umelitumia vibaya mpaka limepotea.........kwenye uchi kuna kuwaga na kingo SASA unakuta unakutana na watu tofauti tofauti unawaonea huruma wanakuchosha mpaka ringi linapotea........SASA hapo Kira rangi utaacha kuiona........watu wanataka watereze uku wanasikia hiyo ringi hipo.......kinyume na hapo utamaliza waganga wote........
Ringi ndo nn boss
 
Back
Top Bottom