wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

    Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

    Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala. Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena nitakuwa Sina mume mwenzenu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nyakati za sikukuu ni wakati ambao wanaume wawe makini

    Kwenye hizi nyakati za sikuu kuu watu huwa wanachakatiwa mbususu mno,walahi ukiomba mbususu ya mke wa mtu wakati huu na ukinyimwa nenda ukaoge baharini, kwenye kipindi Kama hiki mwanamume Kama huna fungu la kutosha jiandae kisaikolojia. Kuna Mambo Kama manne hivi huwa yanashughulisha sana...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaopigwa na wake zao watakiwa kusema

    Wanaume Wilayani Mbulu mkoani Manyara wametakiwa kufunguka na kutumia dawati la Jinsia na Watoto kutoa taarifa pale wanapofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kupigwa na wake zao. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Maria Nzuki wakati wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wanaoshindwa kuheshimu wanawake

    Mnajifanya mnaanakili nyingi mnoo kumbe mabichwa yamejaa uwongo na umpumbavu tu! Hamuna ustarabu na adabu hata chembe kazi ujuaji/ujuba,vurugu/vituko na uhuni tu! Mimi ni malaya, malaya ni nyinyi mnashindwa kukaa bila ngono kutwa kutafuta wanawake. Masikini mnajifanya vidume kumbe ni viumbe...
  6. JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume cha kufunga mwaka

    Hiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi ya mmoja na kila mtoto na mama yake, wanaolaumiwa kuwaacha wapenzi wao na kuibuka na vifaa vipya na...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

    Leo niko hovyo sana akili haijatulia kabisa, nimekutana na pisa moja chuo fulani, sura, ipo, shepu ipo, kagawika vizuri, trackoo very standard hana mtrakoo ila trackoo ipo. Katikati ya tracko mstari uko mzuri umegawika, nundu ipo, imevaa blauzi kijani na suruali nyeusi ya kitambaa mrefu 1.68...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu huu sio mwezi wa kuhonga ni mwezi wa kujiandaa na ada za watoto

    Naihusia nafsi yangu na ya wanaume wenzangu mwezi huu na January sio ya kuhonga kwà vimada na madanga yasiyo na shukrani ni mwezi wa kuandaa ada ya watoto. Kwà mlio wabishi mtakuja kunikumbuka!! Nimekaa pale kama umbwa!
  9. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume ni wanyama sana na haipendezi

    Habari za jioni Mimi pia ni mwanaume lakini kuna matukio ambayo wanaume wenzangu wana yatenda yanaumiza sana moyo. Nilibahatika kumuhudumia client mmoja leo kati maongezi yetu ndipo alipo nihadithia history yake kwa urefu sana kiasi kwamba siwezi kumaliza kusimulia yote ila nitaipunguza yasiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Huu mvutano wa wanaume na wanawake tuumalize

    Aaa jamani hii nishida nyingine tuitizame katika pita pita zangu huko na huko hili nalo tulitizame WANAWAKE: Jamani hawa viumbe(wanaume) hawatulii kabisa wanajielewa wenyewe WANAUME: Mademu wanazungua majukumu ya baba zao wanatupa sisi hata umpende vipi hawapendeki Kuna thread moja bidada...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume ni watu wa ajabu kweli

    Na kucheka kote huko mpaka kuwekwa duara unaweza kukuta hawajuani majina wala wanapoishi. Kongole wanaume. Using tayari😆😆
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Kwanini Wanaume Madaktari, Mapolisi, Wanasheria, Wajeshi wanaogopeka Kwa wake wa Majirani Zao. Umwamba wao ni nini?

    Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya. Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake. Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

    Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini. Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana. Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume tuwahurumie wanawake ndivyo walivyo

    Ndugu zangu wana jamii forum hasa wanaume ni vema tuwahurumie wanawake...mwanamke hata awe ni masikini wa kutupwa yaani hana kila kitu asili yake ni maringo na dharau...popote pale mwanamke atakapokuwa hujihisi special....tuwahurumie tu ndio asili yao
  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 nachagua Rais wa wanaume

    Iko siku wanaume wataonekana hawana jema hata moja walilotenda jana, leo na hata kesho kama tutachagua wanaharakati wa jenda. Mimi mwalimu wangu mkuu katika somo la uumbaji ni viumbe wengine ambao siyo binadamu. Kwakuwa Mungu ndiye aliyetuumba sisi na viumbe wote bila shaka kuna vitu na tabia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

    Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke. Description: ~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty. ~ Ana mke na watoto. Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi walipotea Kiakili na Kuchanganyikiwa Kitaaluma hasa katika Awamu yako 2005-2015

    "ASILIMIA 53 ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo ni wanawake. Sijui wanaume wamekwenda wapi? Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo amehoji wakati wa Duru ya tano ya Mahafali ya 52 na kuongeza “itabidi tufanye utafiti.” Chanzo: HabariLeo Acha kutupotezea muda wenye...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaojipodoa mnaupiga mwingi!

    Members wote nawasalimu katika jina la JF, Kuna mdau humu yeye hujisemea kwamba "Wanaume orignal tumebaki wachache" hii ina ka ukweli. Huko mtaani vijana wa kiume wanashangaza sana, yaani kwa sasa nao pia wanataka kuwa "Warembo" Baada ya dada zetu kusema wanapenda wanaume ma handsome, (achana...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wazuri (handsome) wahuni sana hawajatulia

    Wanaume ma HB hamjatulia hata kidogo yaani na sasa hivi ndio mmejaa sana Mnaringa then mnataka kila mtu mulale nae pu Bora nitafute mwenye sura personal sura ngumu hanogi kwa chumvi wala sukari Ninyi nimewaachia watoto
  20. JamiiForums Tanzania Kutana na Rais wa wanaume wanaopigwa na wake zao, Ndg Komba

    Wanaume tumeumbwa kuzitawala nyumba zetu. Na hili ni pamoja na mke na watoto na wote wanaolala nyumbani mwako. Na hii ndio maana ya kichwa cha familia. Kuna huyu Ndg Komba, yeye si kichwa bali mkia wa familia. Anaeleza kuwa , huwa anasokomezwa makonde mazito mazito na mkewe! Mimi bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…