wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Leo tumekuwa mabomu

    Muda wowote tunalipuka. Ushahidi upo humuhumu, nyuzi nyingi ni kulalamika tu wanawake hivi wanawake vile na mengine mengi lakini wanawake wenyewe hawalalamiki. Mzani umehama wanaume kwa sasa ni dhaifu mno kwenye afya ya akili, vitu vidogo tu tunatoka relini. Ni nini hiki?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

    Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda. Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
  3. JamiiForums Tanzania Tangazo kwa wanaume wote Tanzania

    Huyu binti wa katikati mkae nae mbali, nimeshamchagua
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume waliofanyiwa Tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa ya kuwaridhisha wenza wao tofauti na wale waliofanyiwa hospitalini

    Ikumbukwe kuwa wanawake hufurahia tendo pale g sport yake inaposuguliwa na uume ipasavyo. Wanaume waliofanyiwa tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa sana ya kuifikia g sport ya mwanamke kwa sababu ziguatazo. Wakati wanapofanyiwa tohara ile ngozi ya mbele inapokatwa huwa aikatwi yote...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Njia bora ya kurudisha weusi kwenye nywele zilizobadilika rangi

    Habari za mida hii wadau, natumaini tunaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku. Naomba kujua njia gani nzuri/ mafuta ya kufanya nywele ziwe na weusi mzuri bila kutumia material kama "super black". Hata kama zipo njia za asili, naomba msaada wadau. Nywele zimekuwa za brown sana. Niliambiwa...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wanaume wanaotafuta vipimo vya DNA waongezeka nchini Uganda

    Idadi ya wanaume wanaotafuta vipimo vya vinasaba (DNA) kwa watoto wao imeongezeka, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani amesema. Simon Mundeyi amesema asilimia ya wanaume wanaodai huduma ya DNA kwa watoto wao imeongezeka kwa asilimia 70. "Hivi majuzi, idadi ya watu wanaoomba huduma za DNA...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye wake 15 asema Wanaume wenye Mke Mmoja wana Akili Ndogo Sana: "Wanaweza Kuongelea jambo moja kwa saa 3”

    Mwanamume mmoja ambaye ni mume wa wanawake wengi amewachamba wanaume ambao wameoa mke mmoja tu. Kaluhana mwenye umri wa miaka 63 anasema wanaume wenye mke mmoja wana akili ndogo sana na hawezi kuelewana nao kwa sasa Kaluhana ana wanawake 15 nchini Kenya na Uganda na anasisitiza kuwa hatachoka...
  8. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume

    Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa 𝗣𝗨𝗡𝗬𝗘𝗧𝗢; Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama kwa uume, Hivyo baada ya muda fulani mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na kushindwa kuruhusu...
  9. JamiiForums Tanzania Warembo jitahidini sana mvunjapo Mahusiano na wanaume Msiachane kwa Ugomvi

    Nimeona niilete hii mada, kwa sababu wengi huwa tunahisi ya kuwa maisha ni sasa, bila kukumbuka kuna ya kesho. Kumekuwa na kawaida ya mahusiano mengi kuvunjika, ingawa kwa asilimia kubwa usababishwa na hawa wadada wanaojiita /wanaojiona ni warembo kweli kweli. Huwa wanawacha wapenzi wao kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

    Habarini za asubuhi wapendwa natumai mpo poa. Leo naomba niseme hivi kuna baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yaani ni mshikaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke ananza kukuomba pesa na virungu vya hapa na pale. Thamani yetu wanaume ni kubwa sana tubadilike...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo yanayotufanya wanaume tusikie Utamu uliopitiliza Wakati wa Sex

    Kwema Wakuu! Andiko hili ni mahususi Kwa MTU mwenye umri wa miaka 18 kuendelea. Chini ya hapo asome Chini ya uangalizi wa Wazazi. Kutembea na Wanawake wengi kunakufanya uchukulie Sex kama mchezo wa kawaida Sana. Hii ni tofauti na Mwanaume aliyetembea na Mwanamke mmoja. Mwanaume ambaye hana...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kugongwa mayai hayaelezeki Kwa Wanaume

    Utotoni kuna matukio yaliyosababisha nitoe machozi ila nalolikumbuka zaidi ni lile Jamaa alinipiga teke la pumbu wakati tunacheza boli. Kwa kweli hadi leo yale maumivu siwezi sahau. Lililofanya nikumbuke na kuandika huu masala ni hii Leo wakati nasombelea mchanga somewhere nimekodi punda, huku...
  13. JamiiForums Tanzania CAF: Yanga imekufa kiume lakini Simba imeuawa na wanaume.

    Wakati Simba ikiwa imeuawa na wanaume Yanga imeonyesha maana halisi ya kufa kiume. Simba wamefia uvunguni mwa kitanda wakati Yanga imefia juu ya kitanda.
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane katika suala hili

    Bro, Kikao cha hiki kijiwe sio kama kile cha wanaume wa UWABATA, Hachana na wanaume wasiojielewa, hatuna haja ya kuunda 'hashtag' hizo pigo waachie wanawake.! Hachana na wanaume wasiojielewa, wao na wake zao wanalumbana kila siku, Unajua kwa nini.!? Kwa sababu hawajielewi.! Hawavai kilemba cha...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume kuna wakati tunakubali kununiwa na wake zetu pale tunapo warudisha watoto ndani ya mstari

    Mimi kama Mimi yaani kuna wakati nafanya maamuzi ya kumchapa mtoto wangu wa mwaka na nusu lakini ni lazima nigombane na mama yake, lakini ninacho jivunia kwa mwanangu ananipenda na ana nitii vizuri tu nikimwambia kitu anatekeleza, mfano lala, kaa , nisubirie hapo hapo,usichukue, acha...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

    Habari wanajamii, Nimeona nielekee kwenye mlengo wa madaa husika, Nimejaribu kufanya uchunguzi sana kwenye baadhi ya mazungumzo ya hawa wanawake tulionao humu ndani ya hii forum na kubaini kuwa wengi wa mabinti waliojiunga na hii forum ni sehemu ya wanawake waliopitia shida na mateso mengi sana...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume tupambane kwa nguvu zote tuwafungulie wake zetu biashara wajiajiri

    Wanaume tupambane kwa nguvu zote tufungue biashara ili wake zetu waweze kuzisimamia. Hii hali ya kuoa mwanamke aliye ajiriwa kuna changamoto zake kama ifuatavyo:- Kazi ndio mme wake Mumewe ni chaguo la pili baada ya kazi Anaiheshimu ile kazi na anaitii kuliko anavyomtii mme wake Kazi inamfanya...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume inabidi tufanye utafiti kidogo

    Siku za karibuni kumekuwa na nyuzi za sisi wanaume kuwafungukia hawa warembo wetu wa humu jamvini. Wengi tunajiuliza kwa nini hizi nyuzi zinafuatana sana, kulikoni kuna nini? Au hawa warembo wameshatuendea kwa babu na kutupika kwenye vyungu nini? :D :D Mabaharia wenzangu, njooni kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha wanawake wengi siku hizi hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume

    Peace be to you all, Usiniulize utafiti nimefanya wapi, kwani wewe huna macho ?! Ebo !! Jambo hili liko bayana kabisa. Tofauti na zamani siku hizi wanawake hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, zilizokunjamana pia wengi ni shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo. Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu. Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya penzi kukolea. Thread hii hapa: Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa? Miaka mingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…