Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume

Jun 5, 2023
12
28
Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa


π—£π—¨π—‘π—¬π—˜π—§π—’;
Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama kwa uume, Hivyo baada ya muda fulani mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na kushindwa kuruhusu kiwango cha damu kuflow vizuri na hivyo linapokuja swala la kusimamisha uume mwanaume huyu anakuwa hana uwezo wa kusimamisha uume wake vizuri.

π— π—”π—§π—¨π— π—œπ—­π—œ 𝗬𝗔 𝗠𝗔π—₯𝗔 π—žπ—ͺ𝗔 𝗠𝗔π—₯𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗗𝗔π—ͺ𝗔 π— π—”π—žπ—”π—Ÿπ—œ 𝗬𝗔 π—žπ—¨π—•π—’π—’π—¦π—§
Madawa kama vile mkongo, Viagra na putururu husababisha mishipa ya uume kulegea kwa sababu uki overdose mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake, Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu sana humfanya mhusika kuwa tegemezi wa madawa na hufanya mishipa ya uume kulegea na kukosa nguvu

π—©π—¬π—”π—žπ—¨π—Ÿπ—” 𝗩𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔;
Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi huathiri moyo na mzunguko wa damu mwilini na hivyo uume kukosa msukumo wa damu wa kutosha Katika mishipa yake ya damu na usimamaji mzuri wa uume unategemea mzunguko mzuri wa damu

π— π—”π—šπ—’π—‘π—π—ͺ𝗔: (𝗣π—₯π—˜π—¦π—›π—”,π—žπ—œπ—¦π—¨π—žπ—”π—₯π—œ,π—‘π—šπ—œπ—₯π—œ, π—§π—˜π—­π—œπ——π—¨π— π—˜,)
unapokuwa na magonjwa haya ni rahisi sana kupata matatizo ya nguvu za kiume Na wakati mwingine kushindwa kabisa kuhimili tendo la ndoa


π— π—¦π—’π—‘π—šπ—’ π—ͺ𝗔 𝗠𝗔π—ͺ𝗔𝗭𝗒;
Hii husababisha mwanaume kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa katika sita kwa sita na mke wake, msongo wa mawazo unaufanya mwili kushindwa kuzalisha vichocheo vya kufanya tendo la ndoa Kumbuka kwamba akili yako inahitaji kuwa tulivu kwasababu tendo la ndoa huanzia kichwani

π—¨π—Ÿπ—˜π—©π—œ 𝗑𝗔 π—¨π—©π—¨π—§π—”π—π—œ π—¦π—œπ—šπ—”π—₯𝗔;
Mfano ulevi kupita kiasi wa pombe, madawa ya kulevya n.k husababisha mwanaume kukosa nguvu za kiume

π—¨π—­π—œπ—§π—’ 𝗔𝗨 π—¨π—‘π—˜π—‘π—˜ π—¨π—Ÿπ—œπ—’π—£π—œπ—§π—œπ—Ÿπ—œπ—­π—”
Uzito huwa ukipanda huwa unakuja na mabadiliko mengi ya mwili ikiwemo suala la kushindwa kuhimili tendo la ndoa. Kumbuka tendo la ndoa huhitaji stamina na pumzi ya kutosha kitu ambacho maranyingi huwa ni tatizo kama uzito ni mkubwa lakini pia uzito mkubwa hupelekea hormone kuvurugika!


Kipi kiliondoka na Furaha Yako?

IMG_20230322_082325.jpg
 
Title yako inatia matumaini sana kwamba pengine mtu anakwenda kusoma mada fikirishi na yenye mafunzo na masuluhisho ya matatizo sugu lukuki yanayomkabili mwanaume maana kusema kweli kiumbe huyu shujaa, kwa kiasi kikubwa, hajawahi kuwa na furaha ya maana tangu bustani ya Eden!
 
Hapo kwenye pombe utanisamehe , bora nikose hivyo vyote lakini sio Castle lager ya baridi na kama n nyama ya mafuta wacha kitimoto iniue
 
Point zipo kuanzia namba mbili. Hiyo ya kwanza umetudiba. Tena usirudie kuipakazia uovu nyeto
 
Back
Top Bottom