wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chai na Uji

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Takwimu zinaonesha wanawake wanapindua meza kwenye Uchumi na wanatumia 90% ya kipato chao kwaajili ya familia wakati Wanaume ni 35%

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), David Kafulila, akizungumza na wasomi wa Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, alitoa maelezo ya kuvutia kuhusu nafasi ya wanawake katika uchumi na maendeleo ya Taifa. Kafulila alikuwa akijibu swali la Chiku mmoja...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mawazo mgando ya Wanaume wengi Mabwege na wenye Akili duni.

    YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shujaa. Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
  3. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Wanaume msikandie vikoba vinawatoa sometime moja

    Baadhi yenu mnakandia vikoba na marejesho kadhalika,mwisho wa siku mna watuma wake zenu kukopa fedha kwenye hivyo vikundi kuendeshea shughuli zenu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu mnaonunua malaya mnawezaje? Mbona mimi kila nikijaribu nashindwa

    When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa.. Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe...
  5. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Dalili za mwanaume maskini ni hizi

    Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako . WEwe jua wewe ni maskini . Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanao wahi kufika kileleni wakamatwe

    Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua gumzo kubwa leo tarehe 2 Septemba, 2026 baada ya kuandika ujumbe huo tata kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter). Katika chapisho hilo, Jenerali Muhoozi alitangaza kuwa wanaume wanaoshindwa kuvuka...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke au binti, ukiona unatongozwa sana ujue wewe ni mrahisi na wanaume wanataarifa zako , sio kwamba ni mzuri sana

    Wadau habari zenu, Kuna baadhi ya wanawake ambao hudhani kuwa wao ni wazuri sana sababu TU wanatongozwa sana? Inawezekana:- Wewe ni mrahisi sana. yaani maharage ya Mbeya Jinsi unavyojiweka , yaani mavazi yako, vitendo vyako. Mfano umeolewa LAKINI unavaa kama changu doa/malaya Wanaume wengi...
  8. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Tiwa Savage; Sijui kwanini, natongozwa zaidi na wanawake kuliko wanaume

    Mwanamuziki wa Nigeria Tiwa Savage amefichua kwamba anatongozwa na wanawake mara nyingi zaidi kuliko wanaume. Akizungumza wakati wa mahojiano na kituo cha Beat 99.9 FM jijini Lagos, Tiwa aliulizwa kuhusu ufuatiliaji anaopata kutoka kwa wanawake, Alijibu "Kwa kweli sijui kwa nini, lakini...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wenye maisha duni ya kawaida wanajali sana bikira?

    Mahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara. Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke...
  10. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

    MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu . MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu. YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa . yaani mawazo yenu yatasaidia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wengi wenye vigugumizi ni wanaume tu?

    Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo. Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni wachache sana kulinganisha na wanaume?
  12. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania 2080 idadi ya wanawake itakuwa kubwa kuliko wanaume

    Hii sio habari njema, inakadiriwa 2080 idadi ya wanawake itapita idadi ya wanaume duniani. Kila uchao death rate inazidi kukua kwa sisi wanaume. Chanzo : NBS
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI UN yawataka wanawake wawe makini na wanaume kwa sababu, wanaume ni wchache sana?

    Kumekuwepo na ujumbe unaosambazwa kwenye mitandao , hususan WhatsApp, ukidai kuwa Umoja wa Mataifa (UN) ulitoa ripoti katika robo ya kwanza ya mwaka 2025 ikisema kuwa dunia ina watu bilioni 7.8, wakiwemo wanawake bilioni 5.6 na wanaume bilioni 2.2. Ujumbe huo pia unadai kuwa UN iliwashauri...
  14. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu hii hali huwa mnaichukuliaje?

    Kwa mfano kabla hamjaanza mechi, demu anakuambia kabanwa kukata gogo.akitoka kukata hilo gogo huwa bado unakua na mzuka wa kumtia kama ulokua nao mwanzo? Mimi binafsi hii kitu imenishindwa,naona kinyaa.
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania “Nimezungumza na wanaume matajiri zaidi duniani, na wote wameniambia kwamba majuto yao makubwa zaidi maishani yalikuwa ni kuoa.” — Rapper 50 Cent

  16. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Leo kanisani kwangu nimewafundisha wanaume vitu kadhaa ambavyo wanatakiwa kuzidiwa na wake zao; mahubiri yalifana sana! 🔥

    Jumapili ya Leo pale kanisani kwangu nimetoa somo zuri sana Kwa wale wote waliooa na wanaotarajia kuoa. Niliwafundisha vitu viwili ambavyo mke anaweza kumshinda mume wake. Kitu Cha kwanza ni 'sauti nyororo, kitu cha pili ni 'makebo'. Yaani mke akishakuwa na sauti nzito kuliko mume...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa Tezi Dume Ukisaidiwa na AI Unavyowasaidia Wanaume Kurudisha Hali Yao ya Kawaida ya Maisha

    Mkisukumo wa maji wa kiroboti ukisaidiwa na AI (Akili Mbandia) unawasaidia wanaume waliovimba tezi dume kurejesha ubora wa maisha yao, huku mgonjwa mmoja akisema matibabu hayo yamempa "maisha ya kawaida tena." Hospitali ya General ya Cheltenham imekuwa kituo cha umahiri katika eneo la kusini...
  18. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

    Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa, Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuomba na kutegemea pesa za mwanaume ni ishara ya umasikini au wajibu wa wanaume?

    Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
  20. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya lisu kwann mashahidi wote ni wanaume na wengi ni mapolisi??

    Wanajamvi habar kwenu? Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji? Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa...
Back
Top Bottom