Anasa ni zimwi linalokunong'oneza kwa sauti ya upole kuwa "gusa tu kwa leo alafu basi"
Masikini kumbe unaisha. Mishe ya kukupa mtonyo kumbe ni kama maua.
Sio wanawake wenye MAKEBO makubwa, sio clubbing na pubbing, sio kutafuna jagina zile za telegram, nakumbuka kupita na zungu kama hajawa...
Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa !
Kwa sasa kupata mwanamke
1. Kuwa na Pesa
2. Cheo
3. Kipaji
4. Muongo muongo kwa ahadi
Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa
Sasa ni nipe nikupe
Nimegundua...
Wengi wamezoea kuamini wanaume ndiyo wanaotawaliwa zaidi na mawazo ya kingono. Mimi sioni hivyo. Ukiangalia baadhi ya majukwaa ya watu wazima mtandaoni hasa yale ya live sex streaming km Chaturbate ,Stripchat, LiveJasmin ,BongaCams ,CamSoda ,MyFreeCams utaona kiwango kikubwa cha ubunifu, mitindo...
Wanawake tunapovaa Suruali, hapa mbele hujichora alama ya “V”.
Je, wanaume huwaza kitu gani?
Iwapo sisi tukiona zipu zao za suruali ni ndefu tunapata mawazo na msisimko je wao wakiona mchoro wacha tu zile pajama huwaza nini?
Tuwaache na shida zao tusijali au turudi kuvaa sketi na undersketi...
Unakuta uko na Dem wako halafu kumbe haujazijua code.. unakuta mwanamke mkigombana kidogo anakwambia Jaribu unipige uone... Kumbe mwanamke huyo ni zile type zile za "chock me daddy" mara "spit to my face Daddy" mara oh slap me 😩 😩.. yaani vurugu mechi dadeki....huwa tunajifanyaga tunawajua...
Fresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke...
Ngoja nipumzike siasa kidogo jioni hii:
Unaishi na mwanamke ambaye mpo sawa almost Kila kitu usitegemee atakuheshimu kwenye ndoa, utabaki unalalamika ana kucheat na huna cha kumfanya.
Kwa mfano: Salary advance mnaomba wote, kikundi/kikoba mnacheza wote, kwanye gari nauli mnabisha wote🤣, jero...
Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume.
Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake.
Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone.
Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni...
Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini? zaidi naona kama wengine wananionea wivu namna ninavyoshombokewa na watu. kwanini?
Hivi huwa najiuliza what do men live for?
Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame?
Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment.
Nothing beats a better family, a better wife, with children.
No money, no accolades, no fame can ever buy it.
Chekini real men wa...
Ndio maana hata sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa ya mume mwenye wanawake wengi lakini sio ndoa ya mwanamke mwenye waume wengi.
Hii ni kwa sababu wao wameumbwa kukubali kushea mwanaume. Tofauti na wanaume.
Habari za Sabato!
Saikolojia iko hivyo.
Kihisia na kiakili mwanaume na mwanamke hawana tofauti yoyote ile.
Wanawake wana wivu kama tulivyo wanaume.
Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume.
Jinsi mwanaume ukikutana na mwanamke mwenye mvuto unamtamani licha ya kuwa una mke na watoto...
Hili suala la baadhi ya wanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja nafikiri ni tatizo kwenye jamii.
Uwiano (ratio) wa wanaume kwa wanawake duniani ni wanaume 101 kwa wanawake 100 au takribani 1:1. Hii ina maana baadhi ya wanaume wakiwa na wapenzi au wake wawili au zaidi inaharibu mzani na...
CODE 30 ZA AFYA AMBAZO KILA MWANAUME ALIPASWA KUJUA KABLA YA MIAKA 35.
HAYA NDIO MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HUYAGUNDUA WAKIWA WAMECHELEWA.
1. Kiwango chako cha homoni ya kiume Testosterone kitaanza kushuka ukifikisha miaka 30. Nyanyua vyuma, pata usingizi wa kutosha na kula lishe bora ili...
Alikuja kwa kigezo kumwona mke wake na mtoto maana huyu dada yangu baada ya kujifungua ikampasa aje hom ajitazamie kutokana na ukaribu na urahisi wa huduma za hospitar
Uzuri mzee amejijenga kwahiyo dada pia alikuwa n vyumba vyake ndani ya hiyo nyumba ya mzee
Cha kushangaza haka kajamaa...
siku hizi kila ukiingia mtandaoni unakutana na maudhui yanayowagawa wanaume na wanawake. Huku wanaambiwa wasioe, kule wanaambiwa wasiolewe. Huku wanaume wanatajwa kuwa shida, kule wanawake wanatajwa kuwa shida.
Kila siku ni vita. Ukienda kwenye comments ni matusi na lawama tu. Wengine...
Hakika slim girls wapo moyoni mwangu
Kwanza tu unaweza kumbeba wakati wa tendo na kumkunja kisawa sawa maana body inaruhusu
Lakini pia kwa sisi wwnye vibamia kadude hakadzuiwi na kuishia kwenye MAKEBO makubwa , kanazama angalau.
Big up kwa wadada wembaba JF.
Watu wafupi hua wabishi kutokana na kuhisi wanadharauliwa, pia hua vinakua na mbembwe na vituko. (Japo sio wote)
Watu wembamba hua wanakua na anger issues, wana hasira yma karibu. (Japo sio wote) Ulishakamatwa na traffic kimbau mbau. Au ulishakua na kesi na kamwalimu ka hesabu kembamba ?
Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.