Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 441
- 1,075
Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua gumzo kubwa leo tarehe 2 Septemba, 2026 baada ya kuandika ujumbe huo tata kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter).
Katika chapisho hilo, Jenerali Muhoozi alitangaza kuwa wanaume wanaoshindwa kuvuka dakika moja (sekunde 60) kwenye tendo la ndoa na kumpa mwanamke ujauzito wanapaswa kukamatwa na kupelekwa jela mara moja. Aliongeza kuwa ametoa siku 60 kwa wanaume wenye changamoto hiyo kujisalimisha wenyewe polisi, akitumia lugha kali kuwa watu wa namna hiyo "hawana faida" na ni "bure kabisa".