SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,176
- 9,789
Si ulinikataa😀😀😀MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Kila mtu ni mbinafsi jipende kwanza wewe kama unavyotaka wakupende waache binafsi zao,wa kwanza mbinafsi ni wewe unayetaka mtu binafsi akupende wewe binafsi haipo iyooo trust meMSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Moyo ♥️ wangu wote nimekukabidhi wewe, na bado unaniona mbinafsi!MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Sister toa ushauri kwanza maswali baadaeSo Tate mkuu nae kapita?
Bado nani?
Tafuta mganga uwarogeMSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Ushauri gani dadangu mi mwenyewe nimedandia juu sielewi kituSister toa ushauri kwanza maswali baadae
hataki moyo anataka sasampa😅😅Moyo ♥️ wangu wote nimekukabidhi wewe, na bado unaniona mbinafsi!
Utajuaje kama wanataniana?Nichangie japo kidogo.
Maisha ni mapenzi na mapenzi na wapenzi ni two way traffic.
Jaribu kumsoma sana mwanaume ulinae yaani jitahidi umjue huyo mpenzi wako ili asikusumbue.
Hapa namaanisha kuna watu wamezaliwa ni watoaji, wengine si watoaji kabisa, Wachoyo, wabinafsi na wala wa changu changu.
Ukimjua mwanaume uliye nae hapo sasa ni uhuru wako kukaa ukatulia au ukaendelea na safari ya kusaka unayemuhitaji wa vigezo vyako kitu ambacho si kibaya.
Wanaume wengine kuanza kutoa mpaka umchangamshe etiiiiii!!!!!!
kuchangamsha kupo aina nyingi
1. Mpe mambo mpe mahaba ya dhati mpe mapenzi ya dhati...... si kitandani tu bali kuanzia tabia jinsi unavyoishi nae na kadhalika
2. Tengeneza class yako
levels babe levels,, kuhongwa kunatokana na class hakikisha level yako unaifahamu na unaitendea haki ili kusudi ukipewa elfu kumi au 50 usimchukie au kushangaa mpenzi wako kwani pesa inatoka kulingana na hadhi ya mtu.
3. Ushirikiano
Hapo unaweza kuwa na mpenzi ambae ni mnapeana nipe nikupe. lakini hii mpaka uwe na akili na mjanja sanala sivyo utaliwa mchana kweupe.
Kiuhalisia wanaume wanaotoa pesa wapo wachache sana kwa sasa hivi hasa ukiwa huna kitu. wanaume wengi siku hizi wako kwenye target japo sio wote.......
kwa nini anapata wanaume wabinafsi etiUshauri gani dadangu mi mwenyewe nimedandia juu sielewi kitu
Hatuna uhakika hapoUtajuaje kama wanataniana?
Sijakukataa bhana ulikuwa tayari umeshaoa jamaniSi ulinikataa😀😀😀