Papillon 1906 JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 208 Reaction score 716 Sep 4, 2026 #1 Baadhi yenu mnakandia vikoba na marejesho kadhalika,mwisho wa siku mna watuma wake zenu kukopa fedha kwenye hivyo vikundi kuendeshea shughuli zenu.
Baadhi yenu mnakandia vikoba na marejesho kadhalika,mwisho wa siku mna watuma wake zenu kukopa fedha kwenye hivyo vikundi kuendeshea shughuli zenu.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 60,345 Reaction score 174,636 Sep 4, 2026 #2 Vikoba ni mambo ya kipumbavu pumbavu tu, unashindwa kutunza hela wekeza hata ufugaji kuku.