wanatafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanatafuta bikra wanawake tunatafuta wanaume wenye marinda

    Mpambano ni mkali sana huku ground wanaume wanatafuta bikra wanawake wanatafuta wanaume wenye marinda Dunia imeenda kasi sana kumpata bikira kipengele na kumpata mwanaume Mwenye uanaume ni Mtihani Mpaka 2035 bikra hatokuwepo na wanaume wenye marinda watamulikwa na tochi Muda mchache Kama...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mmemsikia Mbunge wa Tunguu, Zanzibar Simai Saidi akitamka "Watanzania na Wazanzibari"? Hawa watu wanatafuta nini lakini?

    Nashangaa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Saidi akimwaga sumu zake kuwa kuna Yuda, ametumia kauli "wanachotaka Watanzania na Wazanzibar" na hakuna mbunge hata mmoja alieomba mwongozo toka kwa spika. Hivi hawa watu wanatafuta nini lakini? Wee haya...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania wameuwawa na samia na genge lake alafu maiti wameteka watu wanatafuta wapendwa wao hii haikubariki watalipa

  4. JamiiForums Tanzania Haya Wanajeshi mjipange Sasa, Niliwaonya , Kuna Panga linaenda kupita huko kwenu wanatafuta Wanajeshi wanaounga Mkono Wananchi

    Niliwaandikia hapa https://www.jamiiforums.com/threads/wanajeshi-mnaoungana-na-wananchi-hakikisheni-nchi-inakombolewa-duru-zimethibitisha-samia-akifanikiwa-mtafanyiwa-persecution-ambayo-haijawahi-tokea.2394820/ Hamkua Serious, Sasa na nyinyi Kilio kilekile tulicholia wakati wa Usaliti wenu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe: Wanafunzi tena waliovaa sare wanatafuta nini Ofisi za CCM – Wilaya ya Wanging'ombe Jumapili hii?

    Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe. Sijajua nini hasa ambacho kinaendelea lakini imenishangaza kidogo kuona Wanafunzi wakiwa nje ofisi hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Bongo Plus na Uchaguzi Mkuu 2025: Wanatafuta Historia ya Vijana wa Kale na Vijana wa Leo Katika Siasa

    Leo Maktaba ilitembelewa na Mtangazaji Victor Madaha wa Bongo Plus kutafuta historia ya vijana katika siasa kuanzia kudai uhuru wa Tanganyika hadi leo. Victor anasema kasukumwa kwa kuona wimbi kubwa la vijana kuingia kwenye kinyang'anyiro kuwania nafasi za uongozi katika taifa kwenye uchaguzi...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaotangaza wanatafuta wachumba mitandaoni wajaona njia ambayo sahihi kama hizi:

    kama muislamu au mkristo ukifika eneo lako la ibada ukitangaza kuwa unataka kuoa au kuolewa watajitokeza wengi na utafanya kuchagua. Kama unaangaishwa nenda kijijini kwenu huko kuna watu wapo tayari kuoa au kuolewa wakisubiri. Kwenye maharusi,misibani na sheree za ccm mnaweza kuwapata kibao...
  8. JamiiForums Tanzania MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Engineer Hersi analeta utani, kweli Kibabage na Israel Mwenda ndio wakakabe mawinga wa Esperence wakiwa wanatafuta goli? Yanga tunatapeliwa na gsm

    Habari wadau Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana. Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana Engineer amebadilika kama zuwena Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda. Nawazaa...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatafuta hela kwa lengo la kutupindua wanaume ili waishi wenyewe iwe rahisi kuongeza maasi duniani

    Salaam sana " Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani zawadi kwa wanaume, wanao tafuta hela zao wenyewe" Ndugu zangu kama tujuavyo tokea enzi na enzi...
  11. JamiiForums Tanzania Chukua si kila mwanaume mwenye mchepuko anapenda kuwa naye bali wengine wanatafuta amani wanayo ikosa kwa wake zao

    Chukua si kila mwanaume mwenye mchepuko anapenda kuwa naye bali wengine wanatafuta amani wanayo ikosa kwa wake zao
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi Simba hawajitambui. Eti Mgunda hawafai? wanatafuta kocha Takataka yoyote kutoka nje? au wanatafuta kocha wa Mshahara mkubwa.

    Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ubakaji unaongezeka kwasababu ya umasikini. Watu wanatafuta urahisi

    Wabakaji wa siku hizi siyo kwamba wanasukumwa na hamu ya mapenzi. Hapana. Sababu kubwa ni kutafuta utajiri kwa njia ya mkato. "Kutembea" na bikra ni moja ya masharti yanayotolewa na waganga wa kienyeji. Ndiyo maana wanaobakwa ni watoto wadogo wa miaka chini ya 10. Badala ya kuendelea...
  14. JamiiForums Tanzania Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta. Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho. 中文版 2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development...
  15. JamiiForums Tanzania Dr Nkwasi: CCM hawana jipya, wanatafuta kiki kwa kutumia umbumbumbu wa wananchi

    Siku hizi wanasiasa na chawa wa CCM wakipanda majukwaani wanatumia muda mwingi sana kumsifia Rais Samia hata kwa mambo yasiyokuwepo hadi wanatia kichefuchefu. Utasikia "Rais katoa pesa kujenga bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, kajenga SGR na mirai mingi sana na anawalipa wafanyakazi mishahara"...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

    Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate. Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini) Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kigoma hatuna umeme kwa saa 20 zilizopita TANESCO wanatafuta sukari

    Toka tarehe 20/02/2024 saa 9 alasiri Hadi Leo Tarehe 21 saa 5 asubui haujarudi. Masaa 20 yamekatika hamna umeme huku sio kukata huku ni kuzima. Mtaani kwako ikoje huko? TANESCO
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini Yanga wanatafuta Straika wakati Crispin Ngushi yupo?

    Straika wa Yanga Crispin Ngushi Jana katupia mbili kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Jamhuri,lakini kakosa bao tano za wazi na kumpoteza mipira mingi sana, Je Ngushi anafaa kuwa straika tegemeo la Yanga!? Je Mayele alikuwa akiyafanya kwa ufasaha mkubwa sana na bado tulimponda, ndio tulihitaji...
  19. JamiiForums Tanzania Zamani watoto walitafuta wazazi wao waliowatelekeza, zama hizi wazazi ndiyo wanatafuta watoto wao

    Kwema Wakuu! Sikuwepo zamani sana. Lakini miaka ya tisini mpaka elfu mbili hivi ilikuwa kawaida Baba kumtelekeza mtoto au watoto huku akiacha maneno ya shombo, jeuri na kiburi. Kuwa akikua atanitafuta mwenyewe. Na kweli zamani hizo niliona watoto wengi wakifanya hivyo, wakitafuta wazazi wao...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nasikia Panya Road wamerejea kwa kasi DSM wanatafuta fedha ya sikukuu; chukua taadhari

    Kuna jamaa yangu kavamiwa jana huko maeneo ya Kinyerezi na kundi la vibaka wakamsachi na kuchukua kila alichokuwa nacho. Anachoshukuru ni kwamba amefanikiwa kuondoka akiwa mzima wa afya na sasa yupo njiani kurejea Mwanza. Naongea naye ananiambia kwa idadi ya vijana waliomvamia aliona kifo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…