Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,733
218,316
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.

Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)

Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais kutumiwa na kila Gang ni hatari sana. Ni vema tukawafahamu watu hawa ili tupime uadilifu wao, tuone kama kweli wanastahili kutumia jina la Rais.

Screenshot_2024-03-07-19-45-26-1.png
 
Ingekuwa vyema ufuatilie na kuhoji Ruzuku za CHADEMA zinakwenda wapi mpaka chama kinakosa ofisi zenye hadhi ya chama chenye umri wa miaka zaidi ya 32.

Ungehoji ni kwanini Mbowe ameng'ang'ania uwenyekiti kwa miaka 20 sasa kana kwamba wanachama wengine ni manyumbu na mazuzu wasio na akili ambao hawawezi kuongoza chama isipokuwa yeye tu.
 
Si umewaona wako wazi Mkuu, bongo movies na some bongo fleva.

Ni wale wale tulio wazoea miaka yote ikikatiria chaguzi na fursa mbalimbali.

Acha watekeleze jukumu lao la "usanii".
Nimesikitika kumwona jide naye kwenye huo mkumbo🤔
Kumbe joketiii kupewa cheo uwt ilikuwa kuja kuwaorganaizi wasanii wanawake kwa ajili ya kampeni???

Praise and worship team imekuwa kubwa....
Kiti kimepwaya..nothing to showcase
Mambo ya debe tupu.....
 
Back
Top Bottom