Zamani nilikua najua wanawake wanapitia mfadhaiko na depression akiona umri unaenda na hajapata Mwenza sahii wa kuishi nae/kuolewa nae, tumeshuhudia makanisani wakikusanyika Kuandika Maombi 12 huku ombi la kwanza ni kupata Mwanaume (kuolewa).
Nilishuhudia kongamano moja la vijana Mchungaji...
Kama Taifa hatupo pamoja; wazee wamegawanyika; huu siyo uhuru wa kuongea ni hasira ya kuyumba kwa misingi yetu.
Mwalimu alituambia tinaweza leo tunaambiwa hatuwezi; wakati tunaamini tunaweza. Tunaamini hatuna mlo tunalazimishwa tumeshiba.
Jk amekwenda kutalii kuvuta attention ya watu kila mtu...
Kuna siku walisimika bendera usiku wakasema wameiteka Bakhmut yote, siku chache kiongozi wao akaanza kulia lia silaha, akaahidiwa silaha, juzi ghafla akasema wanajeshi wa Urusi wanakimbia mapambano na kwamba hii itasababisha Wagner kuzingirwa, huyu leo ameibuka na kusema Bakhmut yote wameichukua...
Niko katika level ya juu kabisa ya kufurahia mapenzi, kama penzi letu litapimwa kwenda chini basi litakuwa limezidi kina cha Mariana Trench, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.
Haimaanishi kuwa hatutofautiani katika baadhi...
Kwema Wakuu!
Siku hizi kila mwanamke anakuambia tafuta pesa, kama huna pesa hunipati, basi unakatazama kademu kenyewe unabaki kusema Shiiiii! Kimoyo moyo.
Badala kademu kamshukuru Mungu tusio na pesa tupo wengi ndio maana nako kanapata nafasi ya kuonekana koo! Kanajikuta ati kanakubaragaza...
Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki.
Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
Nimepata uzoefu huu, kupitia mazingira mbalimbali ya kimahusiano. Kila niliyekuwa nakutana naye, awe ameajiriwa, amejiajiri, yuko chuo, au hana ajira; wote wanaomba fedha za matumizi pamoja na gharama za kuendesha maisha yao.
Unaweza kushangaa mtu ameajiriwa au amejiajiri na ana kipato kizuri...
Habari wadau
Kama umri kuanzia Miaka 30-55 fursa hii hapa mkwanja mrefu utatolewa, wale wazee wa kujilipua kazi kwenu.
=====
The space agency is looking for paid volunteers to spend a year living in Mars Dune Alpha, a Martian habitat based in Johnson Space Centre in Houston, Texas. The...
Watu wengi wakisikia International School Ada ni million 40 wanawaza sasa hawa watoto watafanya kazi gani ili i pay back.
Hizi shule ukichunguza sana hata ufundishaji wao utagundua utofauti, hata likizo zao huwa ni ndefu sana, Summer Holday zao ni ndefu Balaaa.
Hizi Shule Watoto sana sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.