wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jackson Kiswaga: Watanzania mkubali Serikali imeongeza bei za Mafuta kidogo. Punguzeni mambo ya Mitandao, hayana maana

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Sixtus Mapunda: Wananchi wananiambia hawataki kwenda Polisi, bora niwapeleke TAKUKURU kwa kuwa kuna haki

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesisitiza kuendelea kushiriki katika shughuli za kijamii sambamba na jukumu lake la msingi la kupambana na rushwa, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za afya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile kila kukicha sheria zaidi zinatungwa kuwabana wananchi wa Tanzania, hadi nchi inakera sasa

    Yaani nchi hii mambo ya sheria za mambo madogo madogo ya maisha ya kila siku ya watu hadi inakera sasa. Mara sheria ya hiki,mara ya kile, mara sijui nini,hadi sasa tunakuwa sheria state. NI kweli sheria ni muhimu katika kufanya watu wawajibike katika uhuru wao, lakini kwa hapanchini naona sasa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kugombea urais 2030: Wananchi tunataka tuwajue

    Hivi karibuni kumejitokeza maneno eti Kuna watu wameshaanza kampeni za chini chini kutaka kumrithi Rais aluyepo. Ombi Letu ni Moja tu, kama Kuna mtu anawajua watu hao basi tuwataje hapa tuwajue.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda aomba radhi Wananchi kwa changamoto ya Barabara ya MECCO-KANGAYE, yaanza kuboreshwa

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuelezea changamoto ya Barabara ya Mwanza Mjini hadi Kangaye kwamba ni mbovu na magari mengi hayapiti, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa Watumiaji na kuwaongezea gharama ya matumizi ya nauli, Serikali imetoa ufafanuzi. Alichoandika...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi njooni mtuondolee vibaka huku Misugusugu Kibaha, wananchi wanateseka au mmewashindwa?

    Aisee huku Misugusugu Wilayani Kibaha kuna vibaka ambao wanakaa kwenye eneo la Uwanja wa Mpira, majira ya Usiku wa jana wamempora jamaa na kumchoma kisu. Juzi, pia walimpora jamaa laki 3 na kumpiga, aisee cha ajabu hawa vijana wanalindwa kutokana na uzawa wao, kuna ndugu hawa wawili. Hawa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania KERO Ukimya wa Idara ya Uhamiaji dhidi ya maumivu makali ya Wananchi Wanaosubiri Pasipoti

    Karibu miezi mitatu sasa imepita tangu niwasilishe maombi ya pasipoti, lakini hadi leo (Machi 2026) sijapatiwa huduma hiyo kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Kila ninapofuatilia naambiwa kuwa ‘mfumo unaboreshwa.’ Swali ni: Maboresho haya yana mwisho lini, na kwa nini hakuna taarifa rasmi, ya...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani anayewadanganya wananchi?

    Kuna jambo linahitaji kutazamwa kwa jicho la tatu. Mara kwa mara tumekuwa tukisikia baadhi ya viongozi wakisisitiza kuwa Watanzania waliopo nje ya nchi au wanaokosoa mwenendo wa serikali wanatumika na “mabeberu.” Kauli hizi zimekuwa zikitumika kama njia ya kuzima hoja badala ya kujibu hoja...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Eng. Kundo, nusuru maisha ya Wananchi na Watumishi Kata ya BUNAMHALA

    Ni jambo la kusikitisha na linaloumiza moyo kuona hali ya miundombinu ya barabara na daraja katika Kata ya Bunamhala, iliyopo Wilaya ya Bariadi Mjini. Mbunge wetu, Mhe. Kundo Andrea Mathew, tunaomba utupie macho hali hii inayotishia uhai wetu. Kama unavyoona kwenye picha na video, hapa ndipo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Daraja lakatika Kigamboni wananchi wanahaha

    Wacha tuendelee kufuturisha :BBRUHH: ------- Daraja la Kibaoni Muongozo limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kukata mawasiliano Mamia ya wananchi waliokwama katika eneo hilo, wamelazimika kutumia ngazi huku wengine wakihatarisha maisha yao kwa kuruka kwenye daraja jipya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kijue kikosi cha BASIJ: Kwa nini kuuawa kwa kiongozi wao ni pigo kubwa, huku kikikabiliwa na mashambulizi makali ya droni kutoka angani na risasi mita

    Basij ni wanamgambo wa Iran wanaofanya kazi chini ya mwavuli wa jeshi kuu la IRGC, (Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran). Hata hivyo, tofauti na jeshi hilo rasmi lenye muundo wa kijeshi na majukumu ya kimkakati, wao hujikita zaidi katika kuhakikisha utii wa utawala katika ngazi za...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nimesisitiza kutolimbikiza viporo vya kero na migogoro, kwani inatishia undugu wetu

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tume mgogoro Ngorongoro: Serikali isitishe ujenzi wa Nyumba kwa ajili ya Wananchi wanaohamia Msomela, Kitwai (B) na Saunyi badala yake wapewe pesa

    Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi hata hivyo imebainika kuwa utekelezaji wake ulikuwa na dosari zinazohitaji kufanyiwa kazi. Tume...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari

    Inadaiwa hapo ni Kariakoo, Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari Amendika Twaha Mwaipaya, Hii ni Jana Kariakoo unaambiwa Polisi walikamata bodaboda wakapakia kwenye gari Raia wakawasha Moto bodaboda zikashushwa, unasikia hapo watu wanasema vibaka hao vibaka hao, watu wamechoka...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wamchukua Agent wa gari ya makuti, lakini Wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni

    Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti. Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni. Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo...
  17. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Viongozi waliojichagua wenyewe wanapata wapi nguvu za kufokea wananchi au watumishi wa Umma wananchi sio wajinga kama wanavyozani

    Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa kiongozi halafu usitake kupendwa. Uongozi nchi ni kama Ndoa. Huwezi tenganisha Mapenzi na Uongozi

    Hamjambo! 1. Ni sawa uoe/kuolewa alafu useme nikijipenda inatosha, au akinipenda Mama inatosha. Mkeo au mumeo asipokupenda tafsiri yake hakuna ndoa hapo. 2. Uongozi unatokana na mapenzi. Kupendwa. Ndio maana watu wanachagua viongozi wanaowapenda. 3. Na huwezi kuongoza watu wasiokupenda. Kwa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mashulizi Dhidi ya Iran Yalenge Watawala, Wananchi Walindwe Au Wasaidiwe Kuingia Mataifa Jirani.

    Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI. Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa: 1. Wahanga wakubwa wa kwanza wa utawala katili wa Ayatollah, ni wananchi wa kawaida wa Iran. 2. Wananchi...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini mwandishi wa CNN Larry Madowo hajatuma picha au video za wananch waliouawa kwenye vita ya Iran au Sudani mpaka sasa?

    Hakuna malipo au? Kulikoni yupo kimya kuposti video na picha za watoto na akina mama waliofumuliwa mafuvu kwenye vita inayoendelea hapo Sudani, lakini pia ile ya Iran dhidi ya Israel na Marekani? Artificial intelligence imemshinda kuungaunga na kutengeneza picha na video za mchongo za maafa ya...
Back
Top Bottom