wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA Kubadili Taswira Ya Usafi Buguruni, Wananchi 180,000 Kunufaika

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa uondoshaji majitaka wa Buguruni unaolenga kuboresha hali ya usafi wa mazingira kwa wakazi wa Kata ya Buguruni, mtaa wa mivinjeni. ‎‎Mamlaka ilisanifu mradi huu kwa lengo la...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Badala ya watawala kukomalia kusema hakuna maandamano 7/7, wangejiuliza kama kuna wananchi wana sababu za msingi za kutaka kuandamana siku hiyo

    Busara katika kukabiliana na jambo lolote unalotaka lisitokee, ni kujiuliza kama kuna sabau za msingi zinazofanya litokeee. Hapo utakuwa unaangalia chanzo, source. Sasa japo ni jambo la kuaibisha (embarrassing) kwa utawala wowote raia wake kuandamana. Inafedhehesha na inatia aibu. Hata...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Peter Msigwa atajitetea mwenyewe kwa wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema mwanasiasa Peter Msigwa, ambaye amerejea hivi karibuni ndani ya chama hicho atajitetea mwenyewe kwa wananchi kuhusu sababu na mazingira ya maamuzi yake ya kisiasa ya kuhama na kurejea CHADEMA. Akizungumza leo Juni 13, 2026, katika kipindi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Nikiona hoja za Wananchi najibu, nilijibu moja kwa moja kwenye JamiiForums

    https://www.youtube.com/watch?v=AnVvgfeCJ4M Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala Hii ni Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala na Uchunguzi wa Magonjwa ya Moyo na Kitabu cha safari ya Upandikizaji wa Moyo, leo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mazungumzo ya kuhamisha Wananchi wa Sinza yasifanyike kwa mafungu hotelini, tushirikishwe na uwazi uwepo

    Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya uwekezaji. Kikao kilichopita kati ya wawakilishi wa Serikali na Wananchi kwa asilimia kubwa hakikuwa na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anatumia matatizo ya wananchi kujijenga kibinafsi ingawa mbinu hii ni zilipendwa! Anatamani matatizo ya watu yawe mengi!

    Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye. Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Kremlin ina kawaida ya kuwasaidia na kuwapa hifadhi marais fedhuli waliokataliwa na wananchi wake

    Viktor Yanukovych aliyekuwa rais wa Ukraine mwaka 2014 alikimbilia Urusi kufuatia maandamano makubwa ya wananchi yaliyopinga sera zake za upande wa Russia. Bashar al-Assad aliyekuwa rais wa Syria mwaka 2024 alikimbilia na kupewa hifadhi ya kisiasa Moscow baada ya utawala wake kuanguka. Nicolas...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Huduma kwa Wananchi Heshima na Ufanisi

    Kuwa kwenye nafasi ni huduma, Wananchi wanapofika katika ofisi za umma wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima, haraka na kwa ufanisi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026 ——————————— Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wakazi wa Isimani, Mkoani...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali Haitavumilia Kupuuzwa Haki za Wananchi

    Haki si hisani. Tunataka anayestahili haki apewe haki yake. Serikali haitavumilia vitendo vya kupora au kuchelewesha haki za wananchi kwa sababu yoyote ile-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026 ——————————— Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kundo Mathew: Mkurugenzi wa DAWASA fanyia kazi suala la Maji Segerea, Tusizowee changamoto za Wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ametoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA kuhakikisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo la Segerea inapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa kudumu. Akijibu swali la Mbunge wa Segerea (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, bungeni Juni 3, 2026, Mhandisi...
  12. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Jaji John Ruhangisa: Wabunge wanapoongea bungeni, wanayoyaongea ni kweli wametumwa na wananchi?

    Yaani kwa alichokisema huyu baba kwenye hii video na kinachoendelea ni kwamba TANZANIA HATUNA BUNGE ----------------------------------- Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, amesisitiza kuwa ni wajibu wa kisheria na kikatiba kwa wabunge kurudi kwa wananchi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?

    ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria? Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "America inalinda wananchi wake, lakini Kenya ndiyo ibebe risk?"

    Wakenya wengi wamekasirishwa na taarifa za mpango wa kuweka Ebola quarantine na treatment facilities nchini Kenya. Kwa mujibu wa mjadala unaoendelea online, Marekani inasema priority yao ni kulinda raia wao dhidi ya Ebola kwa kuzuia ugonjwa huo kufika nchini humo. Lakini wananchi wengi...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Rose Migiro: Polisi hailindi CCM, inawalinda wananchi

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro katika Mahojiano maalumu na Salim Kikeke anaeleza kuwa Jeshi la Polisi lina Wajibu wakulinda Raia wote wa Tanzania na sio CCM kama baadhi ya Watu wanavyodai.
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtwara: MTUWASA wanahujumu Maisha na Afya za watu wa Shangani

    Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili. Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa. Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
  17. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya CCM tuache kuuzia wananchi matumaini huyu mtu hatoshi hata sisi tuliokua tunamtetea tunaonekana hamnazo

    Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwendana na kizazi cha sasa namshauri akasome public speaking Edition six ajue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clips za rushwa kweli...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kombo: Rais Samia amesemwa na kuchorwa sana baada ya uchaguzi, wakati amefanya kazi kubwa kutulinda kuwa na uhai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa sana la chuki kutoka kwa wananchi kwenda kwa viongozi wao

    Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi. Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Hofu Yatumiwa Kunyamazisha Wananchi

    Ripoti ya Tume ilifichua kwamba wanaharakati waliunda mfumo wa kutoa hofu kwa Watanzania wa kawaida waliotaka kupinga ghasia. Kuzuia wananchi wa kawaida wasimame kupinga uchochezi ni kuharibu nguvu ya msingi ya kidemokrasia ya taifa, ni kuua sauti ya wengi ili kutawala kwa nguvu za wachache...
Back
Top Bottom