This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Diwani wa Kata ya ILOLA, KISENA FRED KISENA amelazimika kuchelewa kwenda kwenye hitimisho la ziara ndani ya kata kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo ilimlazimu kuanza kuvusha watoto wa shule kwenye maji ambao walihofia kusombwa na maji ndipo akaanza jukumu la kuwavusha kwenye maji kwa...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Halmashauri ya Mlimba, Tarafa ya Mlimba. Kero yangu kubwa ni suala la Kupata Nguzo ya Umeme, ukienda Ofisi za TANESCO ili upate Huduma ya Nguzo ya Umeme unaambiwa Nguzo Moja ni zaid ya Shilingi 580,000/=.
Je, hii ni haki Mwananchi kulipia nguzo moja ya umeme...
Anonymous
Thread
haki
hii
mlimba
moja
morogoro
nguzo
umeme
wananchi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ameshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuokoa maisha yake na wananchi wa Lushoto kwa kutoa fedha zilizowezesha kupatikana kwa mtambo wa kuzalisha hewa tiba ya oksijeni katika Hospitali...
Mawaziri saba wa kisekta wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ambaye ni Mbunge wa Lushoto wamekutana wilayani hapo kujadili utatuzi wa changamoto na migogoro inayowakabili wananchi mkoani Tanga ikiwemo ya ardhi, ikiwa ni hatua ya...
Alikwenda kwenye mkutano wa AU pamoja na mambo mengi alitegemea kutambulishwa kama Rais aliyemaliza CHAGULIWA nchini TZ.
Wenzake waliomaliza kushinda uchaguzi wakatambulishwa, yeye akaondoka kwa aibu kuliko hata alivyokwenda.
Kwa M7 ni bado hajaapishwa hivyo alitambuliwa kama Raisi wa awamo...
Mimi siyo Mtabiri na Wala siyo Nabii. Ila kwa mwenendo huu wa hii kesi ya Tundu Lissu very soon tutaambiwa waandishi WA habari hawatakiwi kuitangazia kwa Umma, kwa kisingizio inaharibu mwenendo wa kesi husika na waandishi kuipotosha Umma.
Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania.
Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na...
Kwa mda mwingi wananchi walifungwa mdomo wa kuwasemea baada ya Tundu Lissu kufungwa,Chadema kusimamishwa wasifanye mikutano,Heche naye kufungwa na wapendwa wetu kuuwa kama mbwa,sasa moto unaenda kuwaka mpaka kibibi akimbie
Wakazi wa Kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kuingilia kati migogoro ya ardhi inayoendelea katika eneo hilo ili kupatikana suluhisho la kudumu.
Ombi hilo limetolewa katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, ulioandaliwa na...
Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri
Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa .
HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
Tunatambua tangu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi 2025 yamesababisha usimamizi wa usafi na mazingira kuzorota, hofu ikiwa kwa Wanasiasa kuogopa lawama za Wananchi.
Hii imesababisha mji kuwa mchafu sana, tunajenga barabara nzuri lakini mabanda kila mahali, ukienda Mbezi Mwisho...
Anonymous
Thread
baada
dar
mazingira
mpangilio
uchaguzi
uchaguzi wa 2025
viongozi
wananchi
Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza.
Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina kichwa wala miguu ni upumbavu.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
Rais ni mfanya kazi za ndani wa muda na sio mmiliki wa nchi hii, samia na genge lake wanajaribu kutaka kuiteka nchi kwa mauwaji na utekaji wa raia.
Lazima ujiulize kwanini wanateka na kuuwa watu na kukamata watu hovyo hovyo. Hatutaki kumilikiwa sisi ni watu huru.
vyama vya siasa sijui watu...
Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote.
Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi anaumwa tumbo hajafika tuhairishe kesi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka Madiwani nchini kuwa wanyenyekevu kwa wananchi katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo.
Prof. Shemdoe ametoa wito huo kwa Madiwani hao leo, wakati akimuwakilisha Waziri Mkuu...
Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta.
Kama kina waharifu na wananchi wamekikataa hakitaweza kusalia kwa muda mrefu kitafutwa sio kwamba mimi nimesema bali kitafutwa kwasababu ya rushwa, uongo, mauwaji na utekaji nyara ili kusafisha nchi upya.
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
Hali ilivyo kuhusu changamoto ya ubahaba wa maji safi na salama kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo kuna takribani Kilometa 5 tu na lilipo Ziwa Victoria lakini huduma ya maji safi bado ni mtihani kwao.
===========================
Hapo ni Kata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.