wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais kwa asiempenda anabadili any time, wananchi tusiempenda hatuwezi mtoa

    Narudia tena, Kwa Tanzania organization structure Iko hivi Mungu - Rais wa JMT/Rais - wengine Kiufupi kiutawala Tanzania , ukiacha Mungu alie Mbinguni, katiba yetu imetupa Mungu Binadamu ambaye ni Rais wa Tanzania. Ambaye kila mtu, raia, majengo, bahari, mahakama, bunge, jeshi, raia, ardhi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huu uchafu mtaroni hapa Sinza Africasana, wahusika hawauoni au hakuna wa kuwajibika?

    Salaam Wana JF Hapa ni Sinza Africasana, mtaro wa upande wa barabara ya kuingia Mabatini police Je, mamlaka hazioni hili? Lakini pia Wananchi tunawajibikaje kulinda mazingira yetu? Na ukizingatia tumeambiwa kuwa mvua kubwa zinakuja zikileta maafa? Pia soma ~ Rais Samia: Dar es Salaam ni...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Akwilapo atolea ufafanuzi malalamiko ya wananchi kuhusu migogoro ya ardhi

    Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ametolea ufafanuzi malalamiko yanayohusu migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini, huku akisisitiza wananchi kuzingatia sheria na taratibu za umiliki na matumizi ya ardhi ili kuepuka migogoro na hasara...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TFS: Wananchi hawatakiwi kulipishwa wakipewa maeneo ya Shamba la Miti la TFS West Kilimanjaro, wasirubuniwe

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU UTARATIBU WA UGAWAJI WA MASHAMBA KATIKA SHAMBA LA MITI WEST KILIMANJARO Agosti 27,2026 - Dodoma, Tanzania Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umefuatilia taarifa na madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii na miongoni mwa baadhi ya wananchi kuhusu...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana watu wa kumuambia ukweli kuwa Wananchi hawampendi na hawataki awe rais wao?

    Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani. Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea? Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Matongo na Nyangoto kuelimishwa kuhusu uthamini wa fidia North Mara

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia wataalamu kutoka Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali, imefanya kikao na Kampuni ya Barrick North Mara Gold Mine pamoja na viongozi wa Vijiji vya Matongo na Nyangoto, kwa lengo la kujadili maandalizi ya utoaji elimu kwa wananchi kuhusu zoezi...
  7. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Alipowaambia wananchi a.k.a CHADEMA pambaneni mpate katiba mpya nilijua tu kazi imemshinda na siku zake zinahesabika

    Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi tena kiongozi no 2 wa nchi Kama alitaka kuzungumzia katiba mpya ilitakiwa awambie wananchi wao kama...
  8. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Matendo ya viongozi ndio sura ya chama kwa wananchi

    Moja ya mistari inayonigusa sana katika biblia, nakunifanya nijitathmini mm mwenyewe ni mtu wa aina gani, ni Mathayo 7:20 "mtawatambua kwa matendo yao" Wanadamu tuna hulka ya kupenda kuonekana ni watu wema mbele za watu (reputation) wakati kwa kificho tunafanya mambo ambayo tunaona aibu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Katika nchi zinazojitambua, kumlazimisha kiongozi anaetetea haki za wananchi kama Dr. Nchimbi kujiuzulu kutasbabisha ghasia za kupindua nchi

    NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
  10. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Raisi wa uturuki ni katili, anaeminya wananchi wake na kufadhili ugaidi ME. Kuna minong'ono ya vita na israel, Ndoto yake kuu ni kuwaangamiza wayahudi

    Huyu bwana ni mauti yanayotembea Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani. Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd Sasa anataka akawaue na wa israel
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haina utaratibu mzuri wa kusikiliza Wananchi wanaohitaji huduma za Afisa Elimu

    Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haiko na utaratibu mzuri wa kusikiliza Watu wanaohitaji huduma za Afisa Elimu. Nimekuwa nikifuatilia barua ya ruhusa wiki mbili sasa lakini kila nikienda nakutana na PS naambiwa mpaka boss awepo. Akija Afisa Elimu anakaa dakika tano ofisini kisha anatoka...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshukuru Rais Samia kukamilika kwa Mradi wa JNHPP

    Wananchi mbalimbali wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kufuatia kukamilika kwa mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere Hydropower Project, mradi ni miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu ya nishati nchini ikiwa na uwezo wa MW 2,115...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wananchi 23,000 wasajiliwa Bima ya Afya kwa wote - Mara.

    Wananchi 23,000 wasajiliwa Bima ya Afya kwa wote - Mara. Video na Channel Ten
  14. The introvert

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Real Estate ,Je Madalali wa Bongo hawajui real property value na pricing au ni kukandamiza tu wananchi?

    Anaandika Malisa GJ Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kuwa real estate ya bongo ni pasua kichwa, nikacompare bei ya nyumba Atlanta GA, zikazidiwa bei na baadhi ya nyumba za Dar. Yani ni Futuhi. Nyumba ya Philadelphia inazidiwaje bei na nyumba ya Kimara Temboni? Kweli bongo nyoso. Anyway, hii...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awaasa Viongozi Serikali za Mitaa kuepuka Migogoro ili kuongeza Ufanisi wa Huduma kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mazoezi ya Wanajeshi ya kutumia silaha katika eneo la Nyamaitagi, Serengeti yanasababisha hofu kwa wananchi

    Mkazi wa Kitongoji cha Nyamaitagi, Kata ya Majimoto, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amepatwa na taharuki baada ya risasi ya bunduki iliyopigwa na wanajeshi waliokuwa wakifanya mazoezi kutoboa paa la nyumba yake na kuingia ndani. Tukio hilo lilitokea Agosti 20, 2026. Kwa bahati nzuri, hakuna...
  17. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Mabasi: Ni kwaajili ya wananchi au Serikali?

    Kama serikali inataka inufaike basi hivyo vituo ni vya serikali, kama wananchi wanatakiwa wanufaike basi hivyo vituo ni vya wananchi Napata shida sana kuelewa dhana ya biashara huria. Kama serikali inaingilia ufanyaji wa biashara basi bado hatujafikia hiyo dhana. Wanasiasa wakae mbali na biashara
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Prof.Kitila : Halmashauri Zimeacha Wajibu wao wa Kuchochea Shughuli za Uzalishaji na kujikita Kuunda Tozo ambazo ni kero wa ustawi wa Wananchi

    My Take Heko Prof.Kitila Mkumbo Kwa kuona jambo hili.Hawa watu kazi Yao kubwa ni kuanzisha tozo na Ushuru Kwa jina la kubuni vyanzo vya Mapato mwisho wa siku zinakandamiza jitihada za kukuza Uchumi na kujikwamua kwenye umaskini. Hatuwezi Kufikia Uchumi wa Dola Trilioni 1 Kwa kushadidiq sera...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro: Zebra za Mazimbu Road zimefutika, wananchi tunapata changamoto kuvuka barabara kuu

    Eneo la Mazimbu Road, Morogoro, katika barabara kuu ya Dodoma, limekuwa na changamoto ya zebra za kuvukia barabara kufutika. Eneo hilo hutumiwa na wananchi wengi, hasa wanaotokea au kuelekea kwenye njia inayounganisha na kituo cha SGR na kuingia kwenye barabara kuu. Suala hili limekuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Juma Awso njoo Chato uone wananchi tunavyotaabika na shida ya maji

    Ziwa lipo km 1 tu kutoka lilipo ziwa. Lakini watu hawapati maji. Maji hayatoki kabisa na shida ni kubwa mno. Njoo Chato ujionee mwenyewe.
Back
Top Bottom