This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Hamjambo!
1. Kama Mtibeli jukumu langu ni kuwafundisha..
2. Kwenye Saikolojia kuna kanuni za kumaintain power na kubaki na heshima. Bila kutumia nguvu na mabavu.
3. Hapa nazungumzia Stoicism (Ustahimilivu wa kihisia), ambapo mtu anachukua msimamo wa kutokujibu uhasama au changamoto za nje...
Sisi ni Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Jimbo la Mtambile, Wilaya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba katika eneo letu tunaloishi kumepita mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mtambile hadi Nanguji inayojengwa na mkandarasi IRRIS.
Malalamiko yetu mkandarasi huyu alijenga njia kwa kujaza kifusi kingi bila...
Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha, pamoja na kuoza kwa maadili ya kijamii.
Hata hivyo, kero hizi halisi zilitumiwa vibaya na wanasiasa na...
Hicho ndicho kilichozuia machafuko zaidi! Bunduki haijawahi, haitawahi na haiwezi kumzuia mwanadamu anayetaka kujinasua kwenye uovu wa mtesi. Jeshi la wananchi lilitumia mbinu ya ulaghai kuwashawishi wananchi warudi majumbani kisha wakawafanyia ambushi kitu ambacho hata wao wanalijua.
Aibu kubwa kwa CCM kwa kuwa na Mwenezi wa taifa ambae ana hoja zisizo na masshiko kama hizi.
Hajui hata Tanu ilipokuwa chama cha ukombozi kilichangiwa na wananchi?
CCM inachangiwa na wafanyabiashara mafisadi wasiolipa kodi. Amesahau juu ya bil 200 za uchaguzi walizochangiwa CCM na bado...
Kuna mahala nimesoma unalalamika kuwa kuna watu wanawachonganisha wana usalama na raia.
Hivi ni kweli haujui yaliyotokea Oktoba 29 ni kovu ambalo halitafutika milelele?
Vipi kuhusu wanaotekwa na kupotea au kuuliwa kama alivyoukiwa Mzeee Ali Kibao?
Wewe unaona ni suala dogo?
Leo hii akifa...
1)Bila kuridhiana na wananchi wote hataponya majeraha ya wanachi
2)vyama vya siasa ikiwepo chadema wao sio wawakilishi wa wananchi ambao wengi wao sio hata wanavyama wa vyama vya siasa,chadema hawana uhalali wa kuridhiana badala ya wanachi wenye majeraha.
Japo baadhi ya wananchi waliweka...
Hali ya usalama barabarani imeendelea kuzorota huku malori ya kubeba mchanga yakihusishwa moja kwa moja na ajali nyingi zinazogharimu maisha ya wananchi wasiokuwa na hatia. Kila siku, barabara zinageuka kuwa hatari zaidi, huku madereva wa malori haya wakionekana kupuuza kabisa sheria zilizowekwa...
Kumekuwa na tabia ambayo imekuwa endelevu kwa baadhi ya mabasi mengi yanayotokea Kigoma kuelekea MWANZA, mfano GTA Express, kuuza wateja wake baada ya kukata tiketi usiku wake unapigiwa simu eti "samahani gari halitoweza kwenda limekodishwa, hivyo mtapanda basi la Kampuni ya TAKBIIR".
Wanafanya...
Wananchi wa kata ya kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara wamesisitizwa kuendelea kutoa malezi bora kwa watoto ili kupata jamii yenye hofu ya Mungu na yenye kuchukia uhalifu na vitendo vya Rushwa.
Hayo yamebainishwa na Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi wa...
Wananchi wa vitongoji vya Kikungili, Omukajiji, Rushanje na Rwandalo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera, tunakabiliwa wanalazimika kutumia maji yasiyo safi na salama kutoka kwenye madimbwi kwa matumizi ya nyumbani, kufuatia kuharibika kwa kisima walichokuwa wakikitumia takribani...
Uchaguzi wa urais nchini Peru uliofanyika Jumapili, 12 Aprili 2026, umechochea maandamano baada ya changamoto kubwa za kiutendaji kusababisha maafisa wa uchaguzi kuchelewesha kuhesabu kura na kuongeza muda wa upigaji kura hadi leo Aprili 13, 2026, hali iliyochochea mashaka makubwa kuhusu...
https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20
https://x.com/i/status/2017987125895925982
Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje.
Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo.
Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko...
Katika Mkutano wako uliwahi kuhoji kwanini takwimu zinasema utoshelevu wa dawa ni 95% kwenye vituo huku asilimia 90 ya wananchi wanalalamika hakuna dawa.
Mkutano aliofanya Mchengerwa ulikuwa ni mkutano wa kujisafisha na yeye ndio waziri mwenye dhamana, as we speak, hapaswi kuendelea kuwa...
Yaani anafanya anavyotaka.
Anateua watoto wake. Na ikibidi anakuwa anatembea nao kama alivyokuwa akifanya Idi Amin.
Anateua mashoga zake hata kama ni majambazi.
Duniani kote kiongozi kama huyu lazima aondolewe kwa nguvu za umma.
Mifano mizuri ni ule wa Misri na Tunisia 2010 na 2011...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.