wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI Tunaomba usitishe mafunzo haya, huu ni upigaji wa fedha na mafunzo yatolewe online

    Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma. 1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka 2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya 3. Fedha Za mafunzo Haya...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi kushirikisha Wadau wa Haki Jinai kuchunguza malalamiko ya Wananchi kuonewa na Askari

    Jeshi la Polisi nchini limesema limeona taarifa katika baadhi ya Mitandao ya Kijamii zikionyesha taarifa za Wananchi ambao wanalalamika kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu na baadhi ya Askari Polisi. SACP David Misime Akitoa taarifa hiyo Disemba 21, 2023 Msemaji...
  3. JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa ajira za wanaojifanya ni World Vision Tanzania

    Habari wanajamvi wenzangu. Pasipo kupoteza muda wa mtu yeyote, nipende kushiriki nanyi juu ya huu mtindo wa utapeli wa ajira/nafasi za kazi zinazotangazwa kila uchwao. Naamini kupitia uzi huu, wanajamvi wengi watapata elimu ambayo itaweza kuwasaidia kwa namna moja au nyingine. Kumekuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Nitaachaje Kumpenda Rais mwenye Maamuzi Mema ya Kiutendaji kwa Wananchi wake kama huyu wa Nigeria?

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu kupitia Waziri wake wa Maendeleo na Madini ameamuru kuanzia Jana tarehe 20 Desemba, 2023 hadi tarehe 4 January, 2024 Treni zote za nchini Nigeria kubeba bure Wananchi wanaoenda Kutembelea Ndugu zao Kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka ( Christmas na Mwaka Mpya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Afika Hanang, Wananchi wa Halmashauri ya Hanag Wameishukuru Serikali kwa Misaada ya Kibinadamu

    Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Hanang wameishukuru Serikali kutokana na juhudi kubwa iliyozifanya katika urejeshaji wa hali na misaada ya kibinadamu iliyotolewa kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka mlima Hanang. Wananchi hao wamezungumza kwa nyakati tofauti wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kikosi changu cha kwanza cha mchezo wa maruduo kati ya wananchi Yanga dhidi ya Madeama

    Naomba nisiwachoshe. 1. Djugui Diarra 2. Kwasi Jeshi 3. Joyce Lomalisa/Farid Mussa Malick 4. Dickson Job 5. Bakary Mwamnyeto 6. Ibrahim Bacca 7. Khalid Aucho 8. Max Nzengeli 9. Stephen Aziz Kii 10. Hafiz Konkoni 11. Pacome Zouazoua. Subs: Abutwalib Mshery, Kibwana Shomary, Nickson Kibabage...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali waambieni vijana kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa na kwao kama wananchi

    Tabu laaaa tabu leeeee!!!! Bandiko langu litakuwa fupi lenye lengo na madhumuni ya kuikumbusha serikali faida na umuhimu wa kilimo katika taifa na hivyo kutilia mkazo wa nguvu kwa vijana kuacha kushinda kwenye mitandao na kwenye majumba ya kamari kama mbadala wa ajira kwao. Mwanzo nianze kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi jimboni kwa Mwigulu wapaza sauti kuomba msaada wa barabara

    Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua. Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mita za kusoma maji, DAWASA toeni ufafanuzi wa kueleweka, mnawanyonya na kuwaibia wananchi

    Wakuu kwema? Suala la mita za DAWASA limekuwa ni changamoto na kero kubwa kwetu watuamiaji, na si kwamba ni watu wachache, malalamiko ni mengi ikiwemo na kwangu mdau lakini DAWASA wanakaza shingo. Nilishangazwa na mhudumu wa DAWASA kuona ni jambo la kawaida kwa familia ya watu watatu kuletewa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi kutokuelewa mambo kwa haraka kunachelesha maendeleo Afrika

    Naweza kusema licha ya changamoto nyingi za kiuongozi zilizopo nchi zetu za kiafrika lakini pia wananchi kutokuelewa mambo Kwa uharaka na kutekeleza kunafanya nchi zetu kuchelewa kupiga hatua za kimaendeleo. Nitatoa mifano kadhaa. 1. ujenzi wa vyoo Bora, hapa ni matrilioni...
  11. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya timu ya Wananchi na Mabwanyeye

    Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande wa pili hata simba ambayo ndio timu yake haijatoa hata mia Hapo ndio tofauti inapoanzia Azam...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ujenzi: Wananchi wengi wamejenga maeneo hatarishi kama :kando ya mito, makorongo na kwenye njia za mito ya msimu chukueni tahadhari

    Nawasalimu wote. Maeneo mengi nchini wananchi wamejenga kiholela na ni hatari kwa maisha yao na uchumi wa nchi kwani majanga yakitokea huhudumiwa na serikali. Nyumba nyingi zimejengwa kando ya mito ya msimu, makorongo, kwenye njia za maji kabisa na wengine hujaribu kuyatengenezea maji njia mpya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021. Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
  15. JamiiForums Tanzania LATRA yadai kushirikisha Wananchi kabla ya kupandisha nauli

    Mkurugenzi wa LATRA amesema kwamba kabla ya kupandisha nauli za mabasi walipokea maoni ya wananchi kwanza na kuyafanyia kazi. Amesema kwamba siku ya kikao hicho Walikuwa Mubashara dunia nzima, na kwamba kila mtu aliona na wengine walishiriki na kutoa maoni yao. === “Nauli haitolewi kwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mbona Serikali haisemi ukweli kuhusu suala la umeme?

    Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana. Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
  17. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wananchi wapinga mabadiliko ya Gharama za Kodi na Tozo

    Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha ongezeko la Gharama za 'Pasipoti' kutoka Tsh. 300,680 hadi Tsh. 501,133. Mbali na Hati za...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mali za watumishi wa wananchi zinafanywa siri?

    Wabunge kutoa taarifa ya mali Sheria ya 1995 Na.12 ib.12 70.-(1) Kila Mbunge atatakiwa kuwasilisha kwa Spika nakala mbili za taarifa rasmi ya maelezo ya mali yake na kadri itakavyokuwa, mali ya mke au mume wake. Taarifa itatolewa kwa kutumia fomu maalum itakayowekwa kwa mujibu wa Sheria...
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi wa tanzania wanampenda na kumuamini sana Rais samia, mataifa duniani yanamkubali mno

    Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya utaratibu ukomo wa uongozi. Na kwahivyo baada ya ngwe zake kwisha...
  20. JamiiForums Tanzania Licha ya Mapungufu, Sheria Mpya ya Uchaguzi Pia ina Mazuri Yake!, Imerejesha Mamlaka ya Uchaguzi kwa Wananchi, Hakuna Kupita Bila Kupingwa!.

    Wanabodi, Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1 kisha uje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…