wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maeneo ya Magereza na Majeshi yanaongoza kwa migogoro na Wananchi

    Serikali imesema ni ukweli usiopingika kuwa maeneo mengi yenye magereza pamoja na majeshi yamekuwa na migogoro na wananchi wanaoishi jirani kuhusiana na umiliki wa ardhi. Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma wakati akijibu maswali yaliyoelekezwa...
  2. JamiiForums Tanzania Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

  3. JamiiForums Tanzania Kuna siku Tanzania atatokea Rais ambaye hakushiriki uchaguzi mkuu wala kupigiwa kura

    Kwa mara ya kwanza baada ya Kifo cha mwendazake tumejionea vile VP anakwenda kuwa Namba moja directly bile votting hata ya kuthibitishwa na walau bunge. Huu ni upungufu mkubwa katika katiba yetu na unapaswa kuzibwa haraka sana. Kwa mfano Wananchi walimchagua Hayati awaongoze na SSH kama makamu...
  4. JamiiForums Tanzania Brazil: Wananchi waandamana kupinga namna Serikali inashughulikia janga la Corona. Washinikiza chanjo zaidi zitolewe

    Maandamano yanaendelea Nchini Brazil kuhusu namna janga la COVID-19 linavyoshughulikiwa na Serikali ya Rais Jair Bolsonaro. Katika Mji Mkuu wa Brasilia, maelfu ya watu wamekusanyika mbele ya Jengo la Bunge wakitaka Rais kufunguliwa mashtaka na kushinikiza upatikanaji wa Chanjo zaidi. Pia...
  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Dar unayafahamu vizuri maisha ya wananchi wako? Ushauri uliotoa ni pumba tupu

    Kwa kuwa ndugu Amos Makalla wewe ni pedeshee ndio unajifanya hujui maisha ya Dar yalivyo? Hijui kuwa alismia 90 ya wakazi wa Dar wanaishi kwa kubanana na wengi wanaishi mitaa ya madongo poromoka. Hujui kuwa wengi wa wakazi wa Dar wanaishi nyumba moja familia zaidi ya mbili? Huku wengi wakikaa...
  6. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha hali halisi ya nchi na wananchi

  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

    Tunavutia wawekezaji lakini njia za kuwekeza na Sheria za uwekezaji haziko Ikulu. Tunazo Wizara na ofisi zinazohusika. Kwa kuwa marais wetu wameamua kuwa ni waalikaji wa wawekezaji, nawaona Mawaziri na wahusika wengine wakikaa pembeni na kufanya kazi za sekretari, kukopi kumbukumbu za mikutano...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Ufulaga Kaliua wanafunzi wanasomea madarasa ya nyasi, wananchi waililia CCM

    Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi. Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa. My take; Jaffo alikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  10. JamiiForums Tanzania Tovuti ya Serikali ya 'Wananchi' hivi inafanya kazi kweli?

    Hii tovuti wananchi.go.tz inaendeshwa na iko chini ya Wizara ya habari, utamaduni na michezo. Lengo lake kubwa ni kwa kila mwananchi mwenye kero, malalamiko, maoni, ushauri, kutoa ripoti za uhalifu, rushwa nk kuandika kero au taarifa yake kwa maandishi na wao wizara wanaipokea na kisha...
  11. JamiiForums Tanzania Wananchi Landanai wapinga hukumu ya kesi ya mfanyabiashara kupewa ardhi kwa madai ni mali ya kijiji, wadai kuna harufu ya rushwa

    Mwandishi wetu, Simanjiro Wananchi wa kijiji cha Landanai wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamepinga vikali hukumu ya kesi iliyompatia ushindi mkazi mmoja wilayani humo, Klembu Laizer huku wakiziomba mamlaka za juu kuingilia kati. Wananchi hao wamepinga hukumu ya kesi hiyo ya ardhi nambari...
  12. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO yakalia fidia ya wananchi miaka mitano

    Fedha za fidia ya wananchi wanaopisha ujenzi wa njia ya mradi wa umeme kutoka bwawa la Mwl Nyerere za kwama Tanesco fedha hizi zilidhinishwa na bunge la bajeti la 2015/2016 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa kusimamiwa na Tanesco mpaka leo 2021hakuna taarifa yoyote rasimi kwamba fedha hizi...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi washangilia kuondolewa RC Chalamila , ofa za vinywaji zamwagwa kama mchanga

  14. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zinaonesha hapendi wananchi kuonewa

    Mama ana msimamo tofauti kabisa na mtangulizi wake. Hapendi kabisa wananchi kuonewa. Pamoja na kuongea hadharani, lakini hata teuzi zake zimeongea hivyo. Vyombo vilivyotumika na Mwendazake kuminya uhuru wa wananchi katika utekelezaji wa maisha ya kawaida, vimepigwa dhoruba ya kisawasawa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

    Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku. Ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana. Kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri...
  16. JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM

    Watu unaweza kuwadanganya leo lakini kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na wachache hatutakubali hata siku moja CCM wakitaka tuendelee kuwaunga mkono tunawataka wafuate mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kim Jong-Un mwenye umri wa miaka 13 ni Luten wa jeshi la wananchi Korea Kaskazini

    Unaambiwa Mtoto wa Kim Jong-Un, Kim Lau Jong-Un ambae kwa Sasa ana Umri wa Miaka 13 Ndie Luteni wa Jeshi la Nchi ya Korea Kaskazini. Aliapishwa Kuwa Luteni Mwaka 2017 akiwa na Umri wa Miaka 9,Mtoto huyo anaandaliwa Kuwa Mkuu wa Majeshi na Kiongozi wa Nchi hiyo Siku Baba yake Kim Jong-Un atakapo...
  18. JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa Vijiji wanusurika kushambuliwa na wananchi Mtwara

    Jeshi la polisi wilaya ya Mtwara limeombwa kuongeza ushirikiano na viongozi wa vijiji katika kuimarisha ulinzi kufuatia wenyeviti wa vijiji viwili kunusurika kushambuliwa na wananchi likiwemo tukio la mwenyekiti wa kijiji cha Mtemba kubomolewa nyumba yake wakati akimwokoa mtuhumiwa anayedaiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa CCM kuandaa Chama kingine cha Upinzani maana waliopo sasa Wananchi walishaona hawajitambui

    Nadeclare interest kuwa mimi mpaka sasa sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila nafuatilia masuala ya siasa zinazoendelea hapa nchini kwa ukaribu. Ni wazi kuwa CHADEMA, CUF, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa vilivyopo hapa nchini japokuwa ni opposition parties lakini ni kambi ndogo za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wamachinga waondolewe kando ya barabara kuepusha magonjwa ya milipuko na ajali za barabarani

    Labda itakua vigumu kueleweka lakini nimeonelea ni bora nikatoa ushauri kwa manispaa na halmashauri zetu kuwaondoa mama lishe, Wamachinga na vibanda vya kuuza kadi na kusajili simu vilivyoko mabarabarani. Sababu kuu ni kuwa utakuta wanauza chakula, matunda n.k kwenye vumbi na zinaponyesha mvua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…