wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi. Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia...
  2. winnerian

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa 2020 umeweka wazi SIRI nzito iliyokuwa imejificha kati ya upinzani na wananchi

    Tukiachana na kukumbwa kwa demokrasia pamoja na unyama uliotokea katika uchaguzi wa 2020 hapa nchini Tanzania jingine la kujifunza ni SIRI nzito iliyokuwepo katika ya wananchi na upinzani. Kwa ufupi mno ni kwamba tukilinganisha uchaguzi wa mwaka 2015 (ambao ndio uliowapatia upinzani ushindi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

    Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Liwale hali si shwari, Wananchi wapigana, waharibu mali mbalimbali

    Mimi mkazi wa Dar es Salaam nimekuja Liwale (nyumbani) kuwacheki wazazi . Nilichokikuta huku ni hatari. Kuna kata hapa mjini inaitwa Likongowele hali si shwari, mawakala wamepigwa na umma, nyumba ya diwani mteule Mussa Mkoyage imechomwa moto. Kuna kata ya Lilombe huko wananchi mpaka wanafikia...
  5. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri. Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo. Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe. Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Upinzani mkubali ukweli, Wananchi wamewachapa bakora kwa kutokukaa bungeni na kupinga kila kitu

    Ni kama nilivyowahi kusema na ntaendelea kusema kwamba upinzani nchini Tanzania ni kiinimacho na upo kwa ajili ya kula ruzuku. Mimi ni mmoja wa watu ambao bila kutetereka nimemuunga mkono raisi John Magufuli na serikali yake kwa miaka mitano ilopita na ntaendelea kumuunga mkono kwa yale yote...
  7. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi CHADEMA walikuwa wanawaambia nini Wananchi wakati wa kampeni?

    Wadau, amani iwe kwenu. Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili tuendeshe chama kisayansi na kuendesha kampeni kisasa na bila jasho. Kwenye kampeni zetu wagombea wetu...
  8. Mtini

    JamiiForums Tanzania GE2020 ITV washambuliwa mtandaoni baada ya kuwataka wananchi wawatumie matukio yanayojiri kwa WhatsApp

  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Musoma: Wananchi walalamika majina yao kuhamishiwa vituo vingine bila kupewa taarifa

    Musoma. Baadhi ya wakazi wa kata ya Bweri manispaa ya Musoma wamelalamika majina yao kupelekwa katika vituo ambavyo hawakujiandikisha kupiga kura na kusababisha watembee umbali mrefu kwenda vituo vingine. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano Oktoba 28, 2020 kwenye kituo cha Bweri FDC...
  10. B

    JamiiForums Tanzania TBC kumhoji Mtumishi wa Tume bila kuruhusu Wananchi kupiga simu kumuuliza maswali ni ushamba

    Muda huu huyu Mtumishi yuko live, TBC hawataki kuruhusu simu kupigwa studio ili ajibu maswali waliyonayo Wananchi, ina maana gani kupiga porojo tu, nadhani kuna haja ya kuleta mabadiliko makubwa sana
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kanisa Katoliki linawaalika Wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi ili washindi wapatikane kihalali!

    Baba askofu Ruwaich wa Kanisa Katoliki jimbo la DSM anawaalika wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani tukizingatia ukomavu wetu, Upendo wetu na nidhamu ya hali ya juu. Naye Katibu wa baraza la maaskofu Dr Kitima amewaomba wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mjadala mzuri wa uchaguzi 2020 unaendelea sasa hivi DW/ BBC inaonekana miundombinu haina mashiko kwa Wananchi wengi, kilio ugumu wa maisha chatawala

    Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa. Inaonekana watu wamechoka na sera zilezile za miundombinu.
  14. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Wananchi wa hapa Somanga nasikia mnachomewa moto nyavu zenu na mnanyanyaswa sana, sasa nichagueni Oktoba 28 nimalize huu unyanyasaji

    WANANCHI WA HAPA SOMANGA NASIKIA MNACHOMEWA MOTO NYAVU ZENU NA MNANYANYASWA SANA SASA NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NISIMAMIE HAKI ZA BINADAMU"PROF.LIPUMBA" KILWA- SOMANGA Uvunjifu na ukiukwaji wa Haki za binadamu ni tatizo kubwa nchini Tanzania. Hakuna chombo huru chenye nguvu cha kusimamia...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sudan kutangaza uhusiano na Israel, Wananchi wapinga

    Kwa majigambo makubwa juzi raisi Donald Trump wa Marekani alitangaza kutoka ikulu ya Marekani juu ya kurudishwa kwa uhusiano baina ya Israel na taifa la Sudan. Hata hivyo tangazo hilo limepingwa vikali na wananchi kupitia vyama vikuu vya kisiasa.Anayeongoza kupinga uhusiano huo ni Sadik El...
  16. paul sylvester

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM huwa mnaumizana ninyi Kwa ninyi, Mnatoa faida Kwa...

    Nianze Kwa kusema hivi!! Mimi si mwana CCM Ila ni mshabiki wa kutupwa Kwa JPM na Baadhi ya viongozi katika Chama Siasa zangu si za kuwa mwanachama wa Chama Fulani, Ila ni mshabiki wa mtu yeyote makini kutoka Chama chochote cha siasa, sifungwi na Chama chochote kile. Sasa basi, kuna mambo huwa...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yashindwa kuzitolea majibu Rufaa 16 za Wagombea udiwani wa CHADEMA Mbeya Mjini, Wananchi watinga kwa DED kuulizia

    Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua maana ya maswali kama haya tunayouliza humu mitandaoni. Sasa ni dhahiri kwamba Wilson Mahera hana...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Afrika na China hauna maslahi kwa Wananchi. Una maslahi kwa watawala Madikteta

    Popote pale China ilipo inaweka mazingira mazuri kwa ajili ya watu wake. Hivyo hujitahidi sana kukamata Serikali iliyopo Madarakani kwa kui support kwa hali na mali ili Serikali hiyo iendelee kuwanyonya wananchi na China ifaidike kwa maslahi ya nchi yake. China ya sasa siyo China ya Ujamaa. Hii...
  19. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Tandahimba: korosho ndio maisha ha yao, wanasomesha watoto kupitia korosho, nichagueni Oktoba 28 niboreshe bei ya korosho

    TANDAHIMBA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anaboresha bei ya korosho na wananchi wa Tandahimba na Mtwara wananufaika na kilimo cha korosho Pia, Prof. Lipumba amesema kwamba...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima. Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali. Kutokana na suala hilo...
Back
Top Bottom