wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Chagua kuishi maisha ya kifahari watoto wasiende shule. Kula bata sana watoto wasipate madarasa, wananchi wakusaidie

    Haya ndio maisha watu wanajiamulia, kabla ya mwaka kuanza tunajua tuna watoto wangapi wanahitaji kwenda shule ila vyumba vya madarasa havitoshi na vinahitajika vingapi ili vitoshe. Tunasakwa mtaani raia tunachangishwa ili tujenge madarasa. Wapo barabarani wanakula maisha, wanatembelea magari ya...
  2. J

    Sijashangaa RC Chalamila na DC Kihongosi kuwachapa bakora wananchi, Wahehe hawatakagi ujinga!

    Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM. Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM. Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa...
  3. Analogia Malenga

    Wananchi kulipia kuwapa faru majina yao

    Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) limesema hivi karibuni litaruhusu mtu yeyote anayetaka jina lake litumike kupewa mnyama faru kufanya hivyo, lakini baada ya kulipia kiwango fulani cha fedha. Kwa sasa TANAPA inakamilisha boma la kuwahifadhi faru katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi mkoani...
  4. Pdidy

    Mwizi maarufu wa Kawe/Mbezi Beach 'Minyembe' auawa na Wananchi

    Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema Kama...
  5. E

    Uchimbaji mchanga Mto Msimbazi: Watendaji saidieni Mamlaka husika na Wananchi wenu

    Kuanzi tar 27/11/2020 kumezuka shughuli za uchimbaji mchanga na uchukuaji mchanga wa Mto Msimbazi katika JIMBO LA SEGEREA - KATA YA KIPAWA - MTAA WA MOGO ENEO LA DARAJA LA SEMIMARI, wachimbaji mchanga wamesema wamepewa kibali cha kusafisha mto kitu ambacho raia wanao kaa eneo hilo na wa mitaa...
  6. Miss Zomboko

    Liberia: Wananchi wapiga kura ya maoni kupunguza mihula ya Urais na Ubunge

    Waliberia wanashiriki leo katika zoezi la kura ya maoni kuhusu mpango wa Rais George Weah wa kupunguza mihula ya urais, huku wakosoaji wakihofia kuwa anaweza akayatumia mabadiliko hayo kubakia madarakani. Nguli huyo wa zamani wa kandanda Weah amewaambia wafuasi wake kwamba kubaki na kiongozi...
  7. S

    Nchi wafadhili sasa muamue kusimama na wanasiasa au wananchi

    Nadhani mpaka sasa mmeshajionea maajabu na undumilikuwili wa wanasiasa wetu, hivyo ni jukumu lenu kuamua kama demokrasia mnayoipigania ndio imewewaka wanasiasa wetu madarakani au laa, na kisha muamue kutoa fedha zenu au vinginevyo. Chagueni kusimama na wananchi au kusimama na wanasiasa. Kazi...
  8. Faana

    Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

    Ndugu wanajamvi, Nimefika mjini Morogoro kwenye hekaheka zangu nikashangazwa na kitendo cha kuhamishia stand ya daladala kutoka katikati ya mji na kuipeleka karibu na Chuo Kikuu cha Sokoine umbali wa kama Km 2+. Ni jambo jema kuboresha huduma kwa jamii kutokana na kukua kwa mji, lakini...
  9. mwanamwana

    Maelfu ya nzige yavamia mazao Tabata Sukita

    Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani. Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo...
  10. msela wa mbagala

    Wananchi (Yanga SC) njooni huku tufurahi

    Burdaaan murua kabisa,
  11. Intelligence Justice

    Chama tawala na Wapinzani Tanzania siasa zenu zinayumbisha Wananchi

    Wakuu, Haya ni maoni binafsi kuhusiana na mienendo ya siasa za Tanzania. 1. Chama tawala-mmepewa dhamana ya kuongoza watu wa imani, itikadi, rangi, kabila zote bila kujali nafasi ya kiuchumi, kiuongozi, kiusalama, kiafya na kijinsia ili wajikwamue kutokana na lindi la umasikini ambaye ni adui...
  12. S

    Kati ya wanasiasa 10 wa kizazi cha leo, ni wangapi wanaoweza kuweka mbele maslahi ya wananchi na ya Taifa kwa ujumla kuliko yao binafsi?

    Naomba tufanye tathimini isiyo rasimi kupitia mtandao huu wa JamiiForums juu ya namna gani wananchi wanawachukulia wanasiasa wa kizazi cha leo kuwalinganisha na wale wa kiza cha Mwalimu Nyerere, mtu alieacha kazi ya ualimu na kwenda kupigania uhuru wa Taifa hili kazi ambayo kama sikosei, haikuwa...
  13. S

    GE2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

    Ameandika hivi kupitia twitter: Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
  14. Intelligence Justice

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina maadui wengi miongoni mwa Wananchi wake

    Jukwaa la msuguano wa akili na mawazo mbadala kwa kutoa sulushi kwa faida ya wote; Kwa sasa Tanzania ina maadui wengi sana kutoka miongoni mwa Wananchi wake na viongozi wa kisiasa. Maadui wa kimkakati ni watatu kama wanarivyorithishwa kila awamu ya uongozi ni Ujinga, Maradhi na Umaskini...
  15. M

    Hivi kwanini Wabunge wa Vyama vya Upinzani wasiwe na kinga ya kubaki Bungeni kama sisi watu wa Kanisa kwani tunafanana sana kwa mambo mengi?

    Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya miaka 5 kuna sehemu ya kusemea hivi kwanini na hawa wanasiasa wa upinzani nao wapewe kinga kama ya...
  16. Evody kamgisha

    Bei za ving'amuzi vya AZAM. Je, ni kukomoa Wananchi au?

    Nimekuwa nikifatilia bei za vingamuzi mbalimbali hapa nchini nimegundua Azam ni moja ya vingamuzi vinavyouzwa kwa bei ya juu kabisa ukilinanisha na watoa huduma wengine nchini. Nimejiuliza maswali mengi kwa nini bei zao ziko juu zaidi mpaka hadi sasa sijapata jibu la uhakikia. Wananchi...
  17. Miss Zomboko

    Wamiliki wa Maduka ya Dawa wamekumbushwa kuacha kuuza dawa kwa Wananchi pasipo kuona cheti cha Daktari

    SERIKALI imewakumbusha wamiliki wa maduka ya dawa za binadamu kuacha kutoa dawa kwa mgonjwa ambaye ana cheti cha daktari/tabibu kwani kufanya hivyo ni kukiuka sheria zilizowekwa. Pia imewaomba wananchi kuhakikisha watumia dawa kwa uangalifu na umakini zaidi ili kuweza kuepuka usugu wa vimelea...
  18. YEHODAYA

    Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio

    Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio. Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi. Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu. Mfano CCM...
  19. Miss Zomboko

    Sweden yapiga marufuku mikusanyiko yenye watu zaidi ya 8. Wananchi watakiwa kuacha kufanya sherehe na kwenda Gym

    The Swedish government on Monday moved to cut the size of public gatherings sharply as it sought to come to grips with a second wave of the pandemic that has seen record daily numbers of new cases and growing pressure on hospitals. Swedes are not sticking to coronavirus recommendations as well...
  20. S

    Barabara ya Mbagala hadi Kongowe inatesa wananchi Serikali itupie jicho

    Kwa wakazi wa Toangoma Kongowe Mkuranga Vikindu na hata abiria wanaotokea Dar kwenda Lindi, Mtwara, Songea na masasi watakuwa wameshakutana na kero ya kipande cha barabara kutoka Mbagala hadi Kongowe ambapo Barabara ni nyembamba sana. Kero ya barabara hii hutokea pale mlima wa Kokoto ambapo...
Back
Top Bottom