This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya WanaCCM kupinga katiba mpya wakiamini ni CHADEMA ndio wanataka katiba mpya kuwa na dhana hiyo ni upungufu mkubwa sana wa fikra. Swali la msingi.
Je, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wakati anaanzisha mchakato wa katiba mpya alisema katiba ni kwa ajili ya CHADEMA...
Ni aibu kubwa kwa mawanasheria nguli tena Profesa kukomaa bila hata aibu eti hii katiba ni madhubuti kisa tu baada ya msiba wa Hayati JPM hakukutokea rabsha.
Hivi kama tungekuwa na katiba inayohitaji uchaguzi ufanyike baada ya Rais kufariki kungetokea maasi? Watu wasingefuata katiba...
Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa Matatizo ya nchi hii.
Kwa muda wote ninajaribu kuwasikiliza mmoja baada ya Mwingine na bado sioni ni...
Natamani niwe na mzuka na katiba mpya ila ari haipo kabisa na ninaona wanaotaka katiba mpya wengi ni wapinzani. Je, hitaji hili ni la kisiasa na si haki kama inavyotangazwa?
Kwanini wanaCCM hawana mzuka na katiba mpya? Kwanini wananchi tusio na vyama hatuna maoni juu ya katiba mpya?
Katiba...
"Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba
Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe.
Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka au watawaelewa. Hakuna haja yakutumia nguvu bila sababu, hata hiyo mikutano itakuwa ya Amani zaidi...
Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021.
Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days
Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid.
Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale.
Japan wametangaza WIMBI LA TANO...
Habari Wakuu,
Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya.
Siku hiyo ikifika kila...
Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi.
Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari.
Serikali imeshatenga usd 470 milioni kukabiliana na covid 19.
Nawasalimu kwa jina la...
Mambo ni zaidi ya moto, Mama anaupiga mwingi sana. Nilijua na najua kuwa Mama Samia ana akili nyingi sana Ila sikujua kwa kiwango hiki. Ana IQ kubwa sana.
Kitendo cha kukataa mabaradhuli kuzunguka mtaani kupiga porojo za siasa ikiwa wananchi wake hawana Pesa ni kitendo cha kishujaa na kinapaswa...
Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira baada ya serikali ya Magufuli kuvunja nyumba za wananchi kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara to...
SIKU 100 ZA RAIS SAMIA, UMEME VIJIJI 400
Na. Georgina Misama - MAELEZO
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema katika siku 100 za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi wa maeneno mbalimbali huku akitaja kuwa...
Haiingii akilini kutangazwa MTU kapita bila kupingwa.
Kila uchaguzi iwepo kanuni ya uwepo wa mgombea zaidi ya mmoja hata kama ni chama kimoja endapo vyama vingine havisimamishi kwasababu mbalimbali.
Uvinza. Wakazi wa kijiji cha Chakulu, kata ya Uvinza wilayanii Uvinza wamelalamika kukosa huduma za afya baada ya zahanati wanayoitegemea kufungwa kwa zaidi wiki moja, hali inayosababisha usumbufu kwa wananchi.
Hatua hiyo imekuja baada ya zahanati hiyo kuwa na wahudumu wa afya wawili, huku...
Wazee.
Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida.
Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi kwa Wananchi wa kawaida ni upi?
Wana Mtwara vipi wanafaidika na gesi? Tujifunze kwenye gesi
Tokea afariki Magufuli huko TANESCO hakujatulia na mambo yamekuwa ya hovyo sana!
Umeme kukatikakatika kwa sasa ni jambo la kudumu. Mfumo wa kununua umeme kwa njia ya simu nao pia chali. Hii si hali njema sana kwa Wananchi na imesababisha usumbufu usiokuwa na lazima.
Kipindi cha Utawala wa...
Hapa nina mawazo/maoni juu ya fedha iliyochangwa na wapenda haki na demokrasia ya kweli ili ninyi muwe huru kupigania demokrasia.
PESA HIYO IWE KWENYE MOJA YA;
1. Kujenga ofisi ya kisasa makao Makuu(CHADEMA HQ)
2. Uwepo mpango wa kujenga Chuo kukuza taaluma ya demokrasia ya chama ikiwa...
Katika Jiji la Mwanza Tanesco Nyakato imeshindwa kutatua kero za wananchi. Wananchi wamelalamika kutofungiwa umeme kwa muda mrefu huku wakidai kupeleka form zao katika kituo hicho kwa mda mrefu wakiahidiwa surveyor kupigiwa simu bila Mafanikio
Manager wa Tanesco amedai wanagali mbili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.