wanajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanajua nini kinaendelea kwenye elimu yetu

    Kusitishwa kwa utekelezaji wa sera mpya kwa kidato cha tano, je athari zake ni zipi ilihali tayari tulishawapeleka watoto mashuleni? Je watanzania hasa wazazi na wanafunzi wanajua vigezo vya kujiunga vyuo vikuu na vya kati ni sawa? Nini athari zake kwa vyuo vikuu na kwa vyuo vya kati, nini...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wanajua Sana, wametoa remix

    Hiili Jimbo huaga Kali Sana Wana wamelikubali Wameona watoe remix
  3. JamiiForums Tanzania By George Ambangile:Yanga wanajua kuvumilia Shida uwanjani,Simba inatakiwa ku improve beki iwe Sharp.

    Soma Uchambuzi Mfupi na Madini ya Chambuzi lenye Ufahamu na Mpira kwa Mapana yake. Achana na hao kila siku wao hawachambui kazi kuuliza Ali kamwe yupo wapi? Mara Ubaya Ubwela imeliwa. Mara Simba Mchumba. Nini Maoni yako Somaji?
  4. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanajua kutumia fursa

    Habari za jioni wakuu, Straight to the point, mimi ni mmoja ya watu wanaopenda kutunza vitu kama coins, picha, etc. as souvenirs. Sasa mwaka 2016, BoT ilipotimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake walitoa sarafu ya shilingi elfu hamsini. Hii sarafu nilijaribu kuitafuta bila mafanikio kwani...
  5. H

    JamiiForums Tanzania TANAPA wanajua moto unaowaka Serengeti unafukuza watalii?

    Kunachangamoto ya moto imekuwepo Serengeti mwezi wote wa sita na sasa hivi inaendelea hasa maeneo ya North(Kogatende) wakati huu ambapo ndio msimu wa utalii upo juu (peak) Tunajua huwa TANAPA wanachoma kila mwaka mwezi wa tatu hadi wa tano ila baada ya mvua kuendelea hadi msimu wa utalii...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini binadamu wanapenda sana dunia na mambo yake, ingawa wanajua kwamba mwisho wa yote watakufa na kuacha kila kitu

    Asili ya Kibinadamu: Binadamu wana asili ya kupenda maisha na kutafuta furaha na raha. Kutafuta mali, hadhi, na mafanikio ni sehemu ya asili hii. Kwa njia hii, wanajenga maisha yenye maana na kuridhika. Hofu ya Kifo: Kwa kuwa kifo ni kitu kisichojulikana na chenye kutia hofu, watu wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Wabongo kwa kujiita C.E.O mitandaoni utafikiri hata wanajua maana na kirefu cha herufi hizi. Sio mbaya kujiinua ila huu ni ulimbukeni.

    Mara utasoma " The cute baby mama" C.E.O wa Ze Cute Outfits za warembo Mara "Juma aka Simba mkali" C.E.O wa simba fanicha kunduchi" Maana halisi na ya kawaida ya C.EO ni mtu mkuu mwenye jukumu la kusimamia kampuni, ambaye wakati mwingine pia ni rais wa kampuni au mwenyekiti wa bodi. Tena hapo...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanajua kucheza na hisia za wanaume

    Yani ana act as if amejaa kwako na waeza dhani kua ukimwambia tutoke out itakua rahisi, ila chaa jabu uki make move tu, anabadilika kama si yeye. Wadada muache kucheza na hisia za watu, mambo ya ku jaribiana jaribiana hayafai
  9. JamiiForums Tanzania Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe katoa Meseji kwa wana Simba SC kuwa Yanga SC wanajua ni wapo wanapoiwezea na Kuifunga kila mara na watakavyo

    "Kiukweli kama kuna Kitu ambacho nawapongeza wana Simba SC ni kuwa na Viongozi wazuri na Mimi nawaomba chonde chonde wala Wasiwabadilishe kwani hawa hawa Viongozi wao wataifikisha Simba SC katika nchi ya Ahadi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe. Chanzo: East Africa Radio Ukiwa Mpumbavu...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanajua mapenzi utadhani ni majini mahaba

    Aisee nimekutana na mwanamke anajua kupita kiasi nimepiga mayowe nyumba nzima wameshtuka, na mimi huwa nikiwa napiga shoo siwezi kujibana sauti. Bora lawana kuliko kujibana sauti naongea nasifia, natukana, najiapiza mwenzenu nina mapenzi mlipuko, Kila style nimezidiwa mimi, alivoikalia mbao...
  12. JamiiForums Tanzania Kitu kama hiki unaweza ukachukulia rahisi ila wahusika wanajua maana yake na majibizano yao

    Picha inasomeka na inaelezea Diamond alikuwa ameshatoja kimaisha. Dogo alikuwa akiishi getting kwa namna walivyovaa tu. Lkn baadae wakagombana kwamba afya ya kinaisha ilistahili ichukue nafasi yake. Ni sawa konde alivyosepa. Kuna inhuman ilifanyika, yalikuwa makosa ya mond na crew yake. Monde...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

    WANAWAKE WANAJUA NI MUDA GANI SAHIHI WA KUMSHINDA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwanamke yeyote anayejifanya mjuaji kikawaida huwa na akili ndogo. Ni wengi huishia kwenye kushindwa vita nyingi kwa sababu ya upeo mdogo. Kwa sisi Watibeli, tunajua moja ya mbinu za Watu Smart hasa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu ambao hawajui chochote ndo hujiona wanajua. Au mtu mdhaifu siku zote haoni udhaifu wake?

    Natoa mfano Magufuli ambaye kiukweli kabisa alikuwa mweupe kiungozi, kiakili na kimaadili. Lakini Cha ajabu ndo alikuwa anajisema sema eti watu wengine hawafai wakati yeye ndo hafai. Nakumbuka Kuna wakati alikuwa natolea ufafanuzi wa CAG, akasema eti kama huwezi kumfukuza uliyemteua basi hufai...
  15. JamiiForums Tanzania Usiombe ukachukiwa na mwanamke, utajuta, wanawake wanajua kuchukia

    Ikitokea mwanake akawa hakukubali na akaamua kukuchukia eeeh hatari sana. Bora ugombane na mwanaume ila sio mwanake, wanakuchukia hadi kwelikweli hawabakishi
  16. JamiiForums Tanzania Master Jay: Wasanii wa Kenya wanajua kuimba kuliko wasanii wa Tanzania

    Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Kitu ninachojivunia ni kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Momba anyeshewa na mvua akimtaka mhandisi kumaliza ujenzi wa shule mpya ya Naming'ongo

    Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya momba, Mathew Chikoti, akinyeshewa na mvua wakati wa ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Naming'ongo, na kuagiza mhandisi kuhakikisha ujenzi wa shule hiyo unakamilika haraka. Ziara hiyo ilikuwa chini ya kamati ya fedha, uongozi, na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

    Mhhh
  19. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

    Kongole kwa wanawake wote mnaotupikia waume zenu vizuri, nyie ndio mnaotufanya tunawiri. Sasa kwa msosi kama huu nakupigaje goli moja kwamfano 😋😋😋
  20. JamiiForums Tanzania Wakenya wanajua kuitumia ardhi kwa manufaa zaidi kuwazidi Watanzania?

    Siku chache zilizopita, nilimtembelea mkulima mmoja wa matunda nchini Kenya. Taswira ya shambani kwake ilinipa ujumbe kuwa ni mkulima mwenye mafanikio mazuri. Japo hana na eneo kubwa sana, analitumia kikamilifu eneo lililopo. Sidhani kama shamba lake lote linazidi ekari tano! Aliniambia kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…