Habari saa wanachama wenza wa website hii ya jamii forums katika jukwaa la siasa.
Nilikuwa na machache ambayo ningeli penda kuzungumza na wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa vya hapa nchini.
Katika hayo machache ambayo nita zungumza na wanachama na wafuasi hawa, yata jikita zaidi katika...
Sasa hata Kipanya na wananchi wameanza kuielewa Force Account na madudu yake. Serikali ifanye Technical Audit kwa hii miradi kabla haijabomoka yenyewe.
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa Tiktok na kutoa Lugha ya Maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka...
Watu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki.
Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya...
Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba!
Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
Walengwa:
1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto
2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha familia , mavazi, elimu, n.k bila watoto kujua.
aliotengana na ambao wanakuwa nje ya nyumba kikazi kwa...
Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa.
Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
Salaam Wakuu,
Natamani kuona kila mtu akihesabiwa kwa maendeleo sawa ya nchi yetu.
Ila bado nailaumu Serikali na NBS kwa kulifanya lionekane swala la Kisiasa.
Wameshindwa kutumia Teknolojia kufanikisha hili swala kwa 50% siku ya kwanza badala yake siku ya kwanza wanaenda kufanyiwa Sensa watu...
Naomba kueleweshwa, binafsi huwa naona Quran ni maandishi ya kiarabu.
Sasa kuna maustadhi kama wanne hivi kwa nyakati tofauti nimewahi kuwapa gazeti lenye maandishi ya Kiarabu wanisomee na kunitafsiria ila cha ajabu wameshindwa.
Je, kuna tofauti ya lugha iliyotumika kuandika Quran na lugha ya...
Kuna mambo yako wazi sana wala hayahitaji rocket science kujua kwamba hawa wanasiasa wamejifavor wao, ukitumia hesabu za kawaida kabisa unaona lengo lilikuwa kujilipa vizuri wao na sio watumishi wa umma.
Watumishi ambao wanalipwa kima cha chini nchi hii ni wachache sana, hata wale wa daraja la...
Wanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza.
Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya.
Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.
Mabeberu hawana kabisa mshipa wa aibu hata kidogo!! Wakati ikraine inaambulia kipigo kikali toka kwa urusi na watu wengi wanauawa, mawazo ya mabeberu sasa hivi ni kupigania fursa ya kuijenga upya ukraine baada ya vita. Hao ndio mabeberu!! Poland iliyokuwa inajitia kimbelembele imeanza kulalamika...
Jana nilishinda nyumbani siku nzima, sikuwa kazi nilijipea off, Sasa kabla siku haijaisha alikuja beshte yangu katika story nikamuelezea Biashara ambazo nataka kufanya ili anishauri.
Alinipa Ushauri wa kutosha lakini ushauri mkubwa aliyoniambia ni huu[emoji1484] nanukuu "Unajua kuna Baraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.