Kwa ambao wasio na ABCs za kundi hili... The Numbers Gang ni genge la wahalifu hatari zaidi ndani ya magereza ya South Africa. Chanzo cha kuanza kwake bado hakijafahamika ila kuna stories tofauti tofauti.
Hoja yenye mashiko zaidi ni ile ya lilianzishwa kutetea maslahi ya wafanyakazi weusi...
Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.
Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta wateja. Hii ndiyo siri ya mafanikio yao.
Fanya hivi ili kupata sales
1. Kutengeneza Authority kwenye...
Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.
Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata.
Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo.
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele...
"Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema Wasira akifananisha siasa na uchaguzi wa wapiga kura.
Wasira ametoa kauli hiyo akihutubia wananchi wa...
Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au ambao wanapinga mambo ambayo utawala ufanya upotea kwa maelezo rahisi ambayo utolewa.
Tofauti...
Hapo vip!!
Ninachokiona kwenye sarakasi yote ambayo yanga wanafanya ni sawa sawa na mwizi aliyeiba alafu yeye ndio anajidai kumtafuta mwizi.
Hili jambo lipo wazi kabisa yakwamba kisababishi cha tatizo ni yanga kwasababu yeye ameamua kufanya uhuni kwenye sheria na kanuni alafu anajiona anajua...
Nimesikiliza radio One leo, (huwa sisikulizi radio) Sasa jamaa wao ni makelele ya MCHEZO SUPA na kupiga simu Kwa wasikilizaji. Yani jamaa anaongea hajamaliza mwingine anaongea na mwingine anaongea. Kwamba wanabishana. Sasa imefuka saa 10 jamaa kaweka UFM YA AZAM TV. Kwanza mchambuzi mkuu ni...
Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk...
Habari za wakati wakuu, nimejikuta najiuliza hili swali, kwanini nature iko katili saana kwa wanaume? Yaani watoto wanajua madhaifu ya baba ila hawajui dhaifu la mama hata Moja,
Wanaume hatujajaliwa kuongea saana, na hata ukiongea kwa watoto madhaifu ya mama yao itakusaidia ninii?
Kuish na...
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa Sarafu za sh 500, 200, 100 na 50 pasipo kupatikana mwafaka wa usumbufu huu
Ukweli ni kuwa sarafu hizi zinaibiwa na Wachina kupitia Mashine za kamari zilizotapakaa kila kona ya nchi hasa sehemu za starehe
Huwa Sarafu hizi zinaibiwa kwa lengo la kwenda kuyeyusha ili...
Baada ya jana Klabu ya Simba kutoa taarifa kuwa mlinda mlango wao, Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Haya ndio majibu ya Tanzania One
"Siumwi chochote, ila wao...
Hivi unapopima kwenye mshipa mkubwa wa damu mkononi unacheki magonjwa gani? Nimeenda na mtoto kumpima eti kila kipimo kina bei yake, maana nimeenda kumpima U.T.I, Typhoid na Malaria
Je kila kipimo hapo juu kinapimwaje ni lazima kihusishe damu tu?
Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu
Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena
Mnajazana UGALATIA sana...
Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi makenika na mama yake akiwa ni nesi.
Ndoa yake ya kwanza na Rula Lenska ilivunjika ambapo alizaa...
Yaani, katika kila tukio linalotokea, nadhani kuna watu huko Polisi ambao kazi yao ni kupindisha ukweli wa mambo kwa namna ambayo hata yule Joseph Goebbels, mkali wa propaganda wa Hitler, angewaonea wivu kwa namna ambavyo wanajua kupindua mambo!
Hebu angalia hili tukio la Mgombea wa Chadema...
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzania na ni moja ya vyama vya kisiasa vilivyodumu kwa muda mrefu barani Afrika. CCM ilianzishwa mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama viwili, Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP), ambavyo vilikuwa vikifanya...
TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO
Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu Watanzania wote na kuwaomba sisi sote tushirikiane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.