Mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana na mimi ninaposema kwa CHADEMA ilipofikia kwa sasa ni pema peponi. Manifesito imeishia hapa. Watu wanataka waone kabisa anguo na kuteketea kwao.
Cinema zote hizi zinazoendelea ni kutokana na anguko hili. CHADEMA ilikuwa imesimika mizizi na ilikuwa na...
Wenzetu huko wanahangaika na kutoa heshima kwa ajili ya kijana wetu mmoja tu tena mwili wake umekaa huko zaidi ya miaka miwili na bado hawajapotezea.
Njoo kwetu wenyewe sasa.
Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua?
Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
Kuna imani iliyoota mizizi kuwa dunia iliumbwa na Mungu. Nani alioina ikiumbwa? Kwani kila kitu lazima kiumbwe.
Mbona vitu vingine vinaweza kuzuka? Kinachowasumbua ni ule ujinga kuwa kila kitu lazima kiumbwe kwa vile mnaamini katika ujinga huu.
Kuna vitu hatujui na hatutaki kukiri kuwa...
Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election
Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms hazina msaada wowote kwa raia wa kawaida zaidi zaidi ni janja janja ya Tundu Lissu kujipatia urais...
Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa .
Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya.
SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!
Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!
-anataka simu ya tachi,
-vocha...
Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
Mabinti wenye changamoto ya usikivu hafifu huwa ni watamu sana.
Awali ya yote naomba niweke wazi kuwa changamoto ya usikivu hafifu haimaanishi kuwa mhanga ni kiziwi asiyesikia kabisa.
Sasa basi nimewajaribu wawili tu nikatoka nao kwa nyakati tofauti yaaniiii nilijilaumu kwa kutoijua hii siri...
Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi hakitaki kufanya mabadiliko/reforms zinazoombwa ni kwa sababu wanajua uchaguzi ukiwa huru na haki hawawezi kushinda.
Mchungaji Kimondo amerejelea maneno aliyowahi kuyasema Balozi Humphrey Polepole kuwa CCM ikifanya...
Mimi nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 70. Hadi miaka ya 1980 naanza kupata uelewa, nagundua kuwa watu wachache sana kwenye ukoo wetu walijua kusoma na kuandika kiswahili. Waliojua Kiingereza walikuepo watu wawili tu waliomaliza form 4. Na familia yetu ndiyo ilionekana imeinuka kielimu na...
Mji mtamu huuuu
Nasema kama sio pacomw of
Basi mhusika congs nimependa sana kuina hilii
Ukifika afrikana shuka ukienda juliana club
Unakuta kushoto duka la vinywaji la Pacome
Na mambo ya design....
B blsd mmiliki
Surat Yunus (10:94)
"Basi ikiwa uko katika shaka juu ya yale tuliyokuteremshia, waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako..."
(Qur’an 10:94)
Allah anasema kwa Mtume Muhammad, ikiwa unayo shaka juu ya yale yaliyoteremshwa kwako, basi waulize wale waliokuwa wakisoma vitabu vya kabla yako (yaani...
Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.
Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama...
Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!.
Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa.
Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati...
Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe...
Utangulizi: Je, Unatamani Kwenda Dubai Kufanya Kazi? Fikiri Tena!
Kila siku kwenye mitandao ya kijamii kuna video na picha za maisha ya kifahari Dubai — magari ya kifahari, majengo marefu, maduka ya thamani, na warembo waliopendeza kwenye fukwe. Ndiyo maana maelfu ya vijana kutoka Tanzania...
Yaani kwenye huu huu ulimwengu ambao social media zinawaharibu wazazi ,. Na wazazi nao wanawaharibu watoto lakini kuna ambao hawajashindwa kabisa suala la malezi,.
Huwa nafatiliaga videos za shuhuda za huyu mama anajiita Minister mocky. Almost watoto wote wanaotoaga ushuhuda wako very smart and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.