wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mimi Ni Mtu Wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Hili gogo kwa huyu Mwanajeshi lina kazi gani?

    Hili gogo ni la kazi gani
  2. mulwanaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda na Uganda hupendelea kupeleka wanajeshi wao Congo?

    Bunge la uganda limeanza kuhoji kwanini Museveni kapeleka wana Jeshi wa Uganda UPDF Congo kwa kisingizio cha kutafuta wa asi wa ADF bila ruhsa ya Bunge. Wabunge wengi wana hofia huenda Jeshi la uganda li kapishana na la Rwanda ambao tayari liko Congo kwa miaka kadhaa, na wakapingana vita ambao...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili wa Uganda wahukumiwa kifo Somalia

    Wanajeshi watano wa Uganda wanaofanya kazi na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia wamekutwa na hatia ya kuwaua raia saba nchini humo. Wawili kati ya wanajeshi hao wamehukumiwa kifo, huku wengine watatu wamehukumiwa kifungo cha miaka 39 gerezani kila mmoja. Wanajeshi hao watatu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Umuhimu wa kuwepo kwa Wanajeshi Wanawake katika Majeshi ya Ulinzi duniani

    Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu. Hata hivyo KEROZENE nimekatishwa Tamaa na Mmoja wa Wanajeshi wa hapa Malawi nilipo baada ya Kukitahadharisha na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nashauri Kambi zote za Jeshi zifungwe Camera Maalum na zisilindwe tu physically na Wanajeshi

    Na wasiishie tu hapo bali hata Raia ambao huwa wanaingia humo iwe kwa kwenda Kusalimia Ndugu au Kuona Wagonjwa wawe wanasachiwa vilivyo. Pia kuwe na tabia ya Wanajeshi Wenyewe kwa Wenyewe nao Kuchunguzana na kamwe wasiaminiane kwa 100% kwani sasa Dunia imeshaharibika. Kama Mzalendo leo nina...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wenye Vyeo vya chini ( hasa Vijana) wanapenda sana Kuigana katika Mambo yafuatayo?

    Mmoja akinunua Gari aina ya IST basi Wote watanunua, kwa sasa wameshaacha Kununua IST wamehamia katika Gari aina ya Rumio ( Rumion ) Mmoja wao akinunua tu T-shirt au Jeans fulani basi ndani tu ya Siku 3 zijazo utaona Wwnzake wengi nao wananunua na kuanza Kufanana na Kuboa Mitaani na Machoni...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Wanajeshi 14 wauawa na waasi, 7 wajeruhiwa

    Waasi wamewaua Wanajeshi 14 Kaskazini katika shambulio lililotokea karibu na mji wa Yirgou huku wengine 7 wakijeruhiwa. Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi, shambulio la kukabiliana nao lilifanyika na baadhi ya waasi walipoteza maisha. Ghasia zimepelekea zaidi ya watu Milioni 1 kukimbia makazi yao...
  8. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

    Kwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi, maana mpaka sasa kwenye ushindi wa pande zote mbili hakuna hisia za ugaidi hapa...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Guinea conacry yametufundisha kwamba wenye nchi ni wanajeshi

    Nimetafakari Sana mapinduzi mengi duniani na hasa haya ya hivi karibuni ya Guinea conacry kumbe kimsingi kabisa wenye nchi ni wanajeshi na sio hawa wanasiasa wanaotusumbua kwa vimidomo vyao. Dombouya alipompindua rais wake aisee rais alikuwa mpole Sana alikaa kwenye Kochi kwa utulivu Kama...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania ECOWAS yatangaza vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Guinea

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeweka vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Nchini Guinea wakitaka Uchaguzi Mkuu kufanyika ndani ya miezi 6. Wameweka marufuku ya kusafiri kwa Wanajeshi hao pamoja na ndugu zao, wakisisitiza Rais Alpha Conde kuachiwa mara...
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Video: Wataliban wakisherekea baada ya Wanajeshi wa Marekani kuondoka Afghanistan

    Ndege ya mwisho iliyowabeba wanajeshi wa Marekani imeondoka jana nchini Afghanistan na kuashiria kumalizika kwa vita vya miaka 20, vinayotajwa kuwa virefu zaidi katika historia ya Marekani. Kuondoka kwa Wanajeshi wa Marekani kunakuja wakati dunia ikishuhudia kushindwa kwa wanajeshi hao...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Algeria: Wanajeshi 25 wauawa na moto wa msituni

    Takriban Wanajeshi 25 na Raia 17 wameuawa katika moto wa msituni uliotokea Mkoa wa Kabylie. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema pamoja na vifo, Wanajeshi kadhaa wamejeruhiwa wakikabiliana na moto huo Katika siku za hivi karibuni Nchi kadhaa zikiwemo Uturuki, Ugiriki, Lebanon na Cyprus zimekumbwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo. Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu tunaweza kupoteza taifa. Askofu Gwajima amesema haya Kanisani kwake leo. Askofu Gwajima amewataka wafuasi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kusini wapata maambukizi ya #COVID19 wakiwa Pwani ya Afrika Mashariki

    Waziri Mkuu, Kim Boo-kyum ameomba radhi mbele ya Umma kwa Serikali ya Korea Kusini kushindwa kuzingatia #Afya za Askari wake wa Kikosi cha Maji Wanajeshi hao wa Korea Kusini wako kwenye doria maalum ya kukabiliana na Uharamia katika Pwani ya Afrika Mashariki Wizara ya Ulinzi imethibisha kuwa...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kagame kupeleka wanajeshi kuokoa Msumbiji, sasa apokea wakimbizi kutokea Libya

    Kagame anazidi kuonyesha Rwanda ndio giant wa kweli Afrika licha ya ukubwa wa nchi kuwa mithili ya mkoa, wanaopenda kujiita giants wanaendelea kukunja mikia kwa uwoga hata pamoja na kuchokozwa na magaidi mpaka kuchokonolewa kwa vidole.... =================== A new batch of 133 asylum seekers...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi walazimisha Raia kujenga Daraja

    Daraja la Mpiji Kidimu ambalo limefadhiliwa na JWTZ ni la msaada Sana kwa wakazi wa eneo Hilo. Kumekuwa na ukarabati wa Daraja Hilo kwa zaidi ya Mwezi mmoja Sasa. Ila tangu wiki iliyopita wanajeshi wanaojenga Daraja Hilo wamekuwa wakiwalazimisha wakazi wapitao darajani hapo kufanya shughuli za...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi waingia mitaani kudhibiti vurugu zinazohusiana na Rais Zuma kufungwa

    Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma Wanajeshi wame;azimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu zinazoendela ambapo hadi sasa watu 219 wamekamatwa katika vurugu hiz Katika Jimbo ambalo Zuma...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda awa mfano wa kuigwa kwa kupeleka wanajeshi 1,000 Msumbiji, huku waoga wakiendelea kusuasua

    Ni dhahiri hawa magaidi hawapaswi kuachiwa wachukue uongozi wa Msumbiji maana tumeshuhudia unyama wao, wamekua wakichinja wanavijiji kule Msumbiji na hata Tanzania tena bila huruma, wanachinja binadmu kama mbuzi, huku majirani wa Msumbiji wakiendelea kuingiza mikia katikati ya miguu kwa uwoga...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Haiti wasema Kikosi cha Wanajeshi Wastaafu wa Colombia kilimuua Rais

    Polisi Nchini Haiti wamesema Kikosi kilichoundwa na Wanajeshi wastaafu wa Colombia 26 na Wamarekani wawili wenye asili ya Haiti kilimuua Rais Jovenel Moïse. Kwa mujibu wa Mamlaka, Moïse alikutwa na majeraha 12 ya risasi na alifariki dunia eneo la tukio. Mke wake aliyejeruhiwa vibaya alipelekwa...
  20. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Wizara ya Ulinzi yatetea uamuzi wa Wanajeshi wa Kike kuvaa viatu vya mchuchumio

    Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imetetea uamuzi wake wa kuwavalisha wanajeshi wa kike viatu vya mchuchumio (vyenye visigino virefu) katika gwaride la kusherehekea miaka 30 ya kujitenga na Umoja wa Kisovieti baada ya baadhi ya wabunge kulalamikia uamuzi huo. Picha za wanajeshi hao zilisambaa katika...
Back
Top Bottom