wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

    Imeelezwa kuwa Urusi imekabidhi maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakati wa mapigano walipokuwa wakilinda Mji wa Mariupol dhidi ya Wanajeshi wa Urusi Asilimia kubwa walifariki wakati walipokuwa wamezuiwa katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kwa wiki kadhaa wakati...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Jeneral wa Urusi nusra auawe na wanajeshi wake alipotoa amri ya ovyo

    Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DRC yakubali kuwaachia Wanajeshi wawili wa Rwanda inaowashikilia

    Rais wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amekubali kuwaachilia wanajeshi wawili wa Rwanda ambao nchi yake inawashikilia. Maamuzi hayo yamefikiwa baada ya Rais wa Angola Joao Lourenco kufanya mazungumzo na Rais Tshisekedi, jana Mei 31, 2022, baada ya hapo Lourenco...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

    Huyu kichaa ataachiwa apigane mwenyewe.... Kuna wanajeshi wameamua liwalo na liwe hawapigani. _________________ More Russian soldiers refuse to fight in Ukraine Prepared to face consequences, many Russian troops are disobeying their officers and are not willing to go to Ukraine...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Wanajeshi 11 wafariki katika shambulio kwenye Kambi ya Jeshi

    Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati wakitoroka baada ya kufanya shambulizi hilo. Kwa miaka sita taifa hilo limekuwa likisumbuliwa na mapigano...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un ameamuru wanajeshi kupambana na Corona

    Korea Kaskazini imetangaza kuwa inatarajia kutumia madaktari wa jeshi lake katika kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona katika Mji wa Pyongyang. Agizo hilo limetangazwa na Kim Jong Un ambaye ni Kiongozi wa Korea Kaskazini ikiwa ni siku chache baada ya maambukizi kuzidi kusambaa Nchini...
  7. Jackal

    JamiiForums Tanzania Treni Iliyobeba Wanajeshi wa Urusi yalipuliwa kwa bomu la kutegwa na kuua Wanajeshi

    Putin's forces were once again scrambling as Ukrainians maintain a strong resistance in the occupied city in southern Ukraine. On Wednesday, May 18, what was described as a “powerful explosion” that “thundered the city” destroyed a train carrying Russian military personnel and ammunition. Local...
  8. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Kweli Urusi haiwajaligi wanajeshi wake

    Ukraine imeomba wabadilishane wafungwa, maana pia Ukraine imewashikilia wanajeshi wengi wa Urusi, lakini Urusi wamegomea mpango huo wakidai lazima wawamalize wanazi. Sasa ni vip hatma ya wanajeshi wake ,huku tukishuhudia wakianza kusomewa mashtaka ya uhalifu wa kivita? Russia wanawajali kweli...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 900 waliojificha Azovstal, Mariupol wajisalimisha kwa majeshi ya Russia

    Russia imesema wanajeshi wa Ukraine mia tisa na hamsini na tisa (959) waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol wamesalimu amri hadi kufikia jana (juma nne). Kati ya hao 959, wnajeshi 80 walikuwa wamejeruhiwa na kati yao 51 walipelekwa hospitali iliyo chini ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yule Sniper Bora Duniani wa Canada (Wali) aliyeenda Vitani Ukraine kupigana na majeshi ya Urusi aelezea namna alivyopambana Ukraine

    Wali ni mwanajeshi mstaafu wa kikosi maalumu cha Jeshi la Canada (The Royal 22nd Regiment). Baada ya Zelensky kuomba msaada wa wapiganaji toka Duniani kote, Wali aliamua kuitikia wito huo. Vyombo vya habari mbali mbali Ulimwenguni vilielezea wasifu wa Wali kwenye field yake kuwa ni sniper namba...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Somalia: Al Shabaab yashambulia kambi ya wanajeshi wa AU

    Kundi la Al Shabaab la Somalia limeshambulia kambi ya wanajeshi wa Umoja wa Afrika (AU) katika Mkoa wa Shabelle katikati mwa nchi hiyo, ikidaiwa raia watatu wamepoteza maisha katika mapigano hayo. Mkazi mmoja anayeishi katika kijiji kilicho karibu na eneo la tukio, alisema baadaye aliona...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kutuma wanajeshi Msumbiji, maana kero za ugaidi lazima zishughulkiwe kote

    Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa, bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mvutano kati ya wanajeshi na Polisi waongezeka Somalia

    Wabunge wa Somalia wamemchagua spika mpya leo Alhamisi Aprili 28, 2022 huku kukiwepo hali ya mivutano kati ya wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika AU dhidi ya Polisi. Mivutano hiyo inadhihirisha mpasuko uliopo katika vyombo vya usalama vya Somalia, kutokana na kucheleweshwa kwa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Boti iliyookotwa Zanzibar hii hapa, Wanajeshi waifanyia uchunguzi baada ya hofu ya mabomu

    Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo, Rashid Hadid Rashid amesema hakuna mabomu yaliyokutwa katika boti iliyookotwa kando kando mwa fukwe ya bahari ya Bwejuu kama ilivyodhaniwa na baadhi ya wavuvi walioisogeza boti hiyo ufukweni RC...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena akutana na wanajeshi wastaafu wa JWTZ

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amekutana na kuzungumza na Wanajeshi wastaafu kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kawe Jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili na kuangalia namna ya kuzitatua. Mkutano huo uliratibiwa na Mbunge...
  16. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Putin anawaomba Wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hii

    Tangu vita vimeanza hii ni week ya tatu putin amekuwa akisika mara kadhaa akiliomba jeshi la Ukraine na wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hiii lakini bado madogo wanakomaa Je, ni kwanini Putin anawataka wanajeshi wa Ukraine kusalender?
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zelenskiy: Tumeshapoteza wanajeshi wetu 3000 wa Ukraine vita dhidi ya Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amesema kati ya wanajeshi 2,500 na 3,000 wa taifa lake wamepoteza maisha hadi sasa katika vita vya taifa hilo na Urusi na kwamba wengine 10,000 wamejeruhiwa. Akizungumzia vita hiyo inayoelekea siku 50 tangu kuanza, Zelensky amesema ni vigumu kujua wanajeshi...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Uturuki yajitia kiherehere cha kuokoa baadhi ya wanajeshi wa Urusi waliokua wanaangamia baada ya meli kutwangwa

    Hili la Uturuki kuokoa wanajeshi 54 halijakaa vizuri, hao wauaji walipaswa wazame wote, humo walikua zaidi ya 500 hivyo bado kuna mamia watakua chakula cha papa baharini. Mwanajeshi Mrusi hapaswi kuonewa huruma popote, labda wale waliojisalimisha, na hata hao wachunguzwe akikutwa yeyote...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki. Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi? Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii. --------------------- Ikumbukwe:
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la wanajeshi Warusi walioasi na kujiunga Ukraine dhidi ya Putin - Freedom of Russia legion

    Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au kukosa mafuta ilhali wanaliwa shaba na kufukuziwa kwenye nchi ya watu, yote hiyo kisa kumfurahisha...
Back
Top Bottom