wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yawaomba wanajeshi wa akiba waliostaafu wajitokeze maana hali ngumu

    Urusi imefikia hatua za kuomba usaidizi wa wastaafu maana hali imekua balaa, Ukraine japo kataifa kadogo lakini kamehimili na kupangua mapigo yote, na kama kawaida kwa vita vya muda mrefu huhitaji wanajeshi wapumzishwe ili wengine waje kwenye mapambano, sasa imekua vigumu kuwarejesha nyumbani...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wanane wa kulinda amani wa UN wathibitishwa kupoteza maisha DRC

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema waasi wameiangusha helikopta ya Umoja wa Mataifa mashariki mwa nchi hiyo. Takriban watu wanane walikuwa kwenye ndege hiyo iliyodunguliwa wilayani Rutshuru katika jimbo la Kivu Kaskazini. Sita kati ya waliofariki walikuwa wanajeshi kutoka...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo lawahusisha wanajeshi wa Rwanda na waasi

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema kuwa wanajeshi wa Rwanda waliwasaidia waasi wa M23 wakati wa shambulio la Jumatatu karibu na mpaka wake na Rwanda na Uganda. Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema limewakamata wanajeshi wawili wa Rwanda waliohusika na shambulizi...
  4. CPA

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Commanding post ya Jeshi la ukraine mjini kyieve yenye wanajeshi wengi maafisa yajisalimisha kwa majeshi ya urusi. Wanajeshi hao 61, wamepatiwa huduma muhimu, kama chakula na matibabu toka kwa jeshi la urussi. Inasemekana wamejisalimisha baada ya kuishiwa chakula, risasi na siraha, hii ni moja...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kijeshi ya Urusi yajikanganya na kushambulia wanajeshi Warusi

    Hali inazidi kuwa mbovu hadi Warusi wameanza kupoteana na kushambuliana wenyewe kwa wenyewe.....
  6. 5

    JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kuwaua wanajeshi 15,000 wa Urusi

    Maafisa wa kijeshi wa Ukraine wamedai kuwa takriban wanajeshi 15,000 wa Urusi wameuawa tangu Rais Vladimir Putin alipoanzisha uvamizi wake zaidi ya wiki tatu zilizopita. Katika sasisho lililotumwa kwenye ukurasa wa Facebook wa wafanyikazi wakuu wa Ukraine, maafisa walisema kuwa wanajeshi 14,700...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi waingia ndani zaidi ya mji wa Mariupol

    Wanajeshi wa Urusi wamesonga ndani zaidi katika mji wa Mariupol ulioathirika zaidi na vita vinavyoendelea nchini Ukraine ambapo inaarifiwa kuwa mapigano makali yamepelekea kufungwa kwa kampuni moja kuu ya chuma cha pua huku serikali ya eneo hilo ikitoa wito wa msaada zaidi kutoka mataifa ya...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Kenya wauawa katika shambulizi linaloshukiwa kuwa la al-shabab

    Wanajeshi wa Kenya ni sehemu ya walinda amani wa wa AU nchini SomaliaImage caption: Wanajeshi wa Kenya ni sehemu ya walinda amani wa wa AU nchini Somalia Zaidi ya wanajeshi 10 wa Kenya wameuawa katika shambulio la kilipuzi kilchotegwa kando y abarabara kusini mwa Somalia. Wengine watano...
  9. 5

    JamiiForums Tanzania Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

    Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri, ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri. Vikosi vya Urusi vinasalia...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine walioko DRC watakiwa kuondoka

    Kikosi cha wanajeshi 250 wa kulinda amani wa Ukraine wanatarajiwa kuondoka mashariki mwa DRC na kurejea Ukraine. Tangazo hilo lilitolewa Jumanne na Umoja wa Mataifa. Tarehe ya kuondoka bado haijatangazwa. Uondoaji huo pia utajumuisha vifaa na helikopta. Hatua hiyo huenda ikawa na athari kwa...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi wakamata mji muhimu wa bandari Ukraine

    Wanajeshi wa Urusi wameukamata mji mmoja muhimu wa bandari wa Ukraine na kuuzingira mwingine kama sehemu ya juhudi za kuitenganisha nchi hiyo na Pwani yake. Jeshi la Urusi limesema limechukua udhibiti wa Kherson na maafisa wa Ukraine katika eneo hilo wamethibitisha kuwa wanajeshi wamechukua...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Nchini Ukraine zasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi 70

    Mamlaka Nchini Ukraine zinasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi wapatao 70 kwenye Kitengo cha Kijeshi huko Okhtyrka, Mji ulioko kati ya Kharkiv na Kyiv. Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliokimbia Nchini Ukraine kutokana na machafuko yanayoendelea imeongezeka kufikia 520,000. Aidha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Bulgaria akiri kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wamekufa vitani

    Pamoja na jitihada kubwa za makusudi zinazofanywa na Ukraine, NATO na US kudogesha idadi ya wanajeshi wa Ukraine waliouawa na majeshi ya Russia nchini Ukraine, Waziri Mkuu wa Bulgaria kaamua kusema ukweli kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa mpaka sasa. Ufafanuzi huo wa idadi ya vifo...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ukraine itume mabalozi wake kwenda Mkoa wa Mara kuchukua wapiganaji, mkoa huu unapenda sana kazi za Jeshi

    Yani Hakuna haja ya kutafuta, wakifika huko watakuta kuna foleni tayari inawasubiri kuanzia wajita, wakurya, wajaluo, Wazanaki, Wangoreme, Wasuba, Waikizu, Waisenye, Waikoma, Wakwaya, Waluli, Washashi, Wanata na Wasweta. Hata kipindi cha vita ya Kagera, kila mkoa ulipewa nafasi elf 2 za...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

    Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani. Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN yaitaka Urusi iondoe wanajeshi wake Ukraine

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amemtaka Rais wa Urusi, Vladmir Putin kurudisha wanajeshi wake aliwapeleka Ukraine Guterres ameandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter ambapo katika ujumbe mwingine aliandika watu wengi wameshafariki kutokana na mzozo unaoendelea...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi Mali wauawa siku chache baada ya Ufaransa kutangaza kuondoa vikosi vyake

    Jeshi nchini Mali limesema wanajeshi wake wanane wameuawa na watano hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na waasi katika eneo la Kaskazini-Mashariki la Archam. Mapigano hayo yanakuja siku chache baada ya Ufaransa na washirika wake kusema kuwa wanaondoa vikosi vyao kutoka Mali. Taarifa ya...
  18. May Day

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi humuenzi Shujaa wao aliyetangulia kwa kuongeza bidii vitani, Ruvu mmetuangusha

    Nimesikia visigizio kwamba Ruvu walikuwa wanaomboleza ndio maana wameshindwa kuhimili vishindo vya Simba aliyejeruhiwa. Tumtakie Mwedazake pumziko la Amani, ila niwatake Ruvu wakubali tu walizidiwa na ubora wa Simba kwani walihitaji ushindi wa kumsindikiza Shujaa/Mpiganaji wao. Mkubali tu...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Burkina Faso washikiliwa kwa madai ya njama ya mapinduzi

    Mamlaka nchini Burkina Faso imetangaza kukamatwa kwa wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi. Miongoni mwa waliokamatwa ni Kanali Mohamed Emmanuel Zoungrana - kamanda maarufu wa zamani wa jeshi ambaye ameripotiwa kuikosoa serikali. Wizara ya haki Jumanne ilisema uchunguzi...
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Kenya wa kuruka kwa miavuli wameonyesha ugwiji wao. Mambo ya kushuka kwa kamba tumewaachia wengine.

    Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
Back
Top Bottom