wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati nendeni UAE kama team ya wataalamu kuomba mabadiliko ya mkataba

    Nashauri wadau badala ya kusubiri serikali kurekebisha mkataba nendeni moja kwa moja UAE na mapendekezo ya marekebisho. Na nina rudia UAE sio Dubai pekee maana tuna uhusiano na UAE kama nchi na sio Dubai. Lakini twende na mapendekezo kabisa ya marekebisho ya mkataba naamini kabisa wataaikiliza...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Milembe huko Geita ni mauaji kama mengine, wanaharakati acheni uchochezi

    Makosa ya jinai huwa hayabagui dini, rangi, cheo,kazi wala kabila. Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana huko Geita ni mauaji kama mauaji ya mengine. Wakulima wangapi wanauwawa huko wanaharakati hamsemi chanzo ni ushoga? Watoto wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga? Wafanyabiashara...
  3. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM wanatengeneza safu ngumu ya uongozi, Wengine wanaendelea kufanya mikutano na Wanaharakati Twitter. 2025 watarudi kusema wameibiwa kura

    Mtaji wa chama chochote kinacho taka kushika dola ni Imani ya Wananchi juu ya chama hicho inayojengwa na uwepo wa viongozi bora na wenye utashi. Chama cha Mapinduzi kwa namna kinavyoendesha siasa zake kwa sasa bila shaka wana nia ya dhati kuendelea kushika dola na hili linathibitishwakwa na...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uzio wa nyumba usiathiri ukuaji wa mtoto

    Wanaharakati wa haki za watoto kisiwani Pemba, wamewataka wazazi na walezi, wanaomiliki nyumba zilizozungushwa kuta ‘fens’ kuwapa muda watoto wao kuchangamana na wenzao, ili kucheza pamoja, ikiwa ni sehemu moja wapo ya kukuza ubongo wao. Wamesema, njia moja na rahisi ambayo haihitaji gharama...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wanaharakati wafungua kesi kupinga Mahakama Kuu kumtangaza Rais

    Wanaharakati Koome Mbogo, Michael Asola, na Eric Githinji wamehamishia Pingamizi lao katika Mahakama ya Rufaa ili kuzuia Mahakama Kuu kumtangaza Rais kutokana na kesi za kupinga ushindi wa Naibu Rais William Ruto. Walalamikaji hao hawakuridhika na uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali ombi lao...
  6. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu wa Kenya. Wakidai kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki. Kwa ufuatiliaji nilioufanya katika...
  7. rammbiro

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ongezeko la single mothers na athari zake katika jamii

    ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NA ATHARI ZAKE BY : RASHID ABUNAYA Email : rashidabunaya@gmail.com Assalaam aleykum ndugu wana jamii, Ni matumaini yangu mu buhery wa afya kwa wale mlio na shida za kiafya basi mwenyezi mungu awafanyie wepesi mpate kupona Ndugu wana jamii, bila shaka ninyi nyote...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Myanmar: Jeshi lawanyonga Wanaharakati 4 wa Demokrasia

    Wanaharakati wanne wa demokrasia akiwemo Mbunge wa zamani Phyo Zeya Thaw wamenyongwa na jeshi la Myanmar wakituhumiwa kwa mipango na kufanya njama za vitendo vya ugaidi Wanaharakati hao walihukumiwa kifo katika kesi za siri mwezi Januari na Aprili, kwa kituhumiwa kwa kusaidia waasi kupigana na...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Nchini Ivory Coast walaani Mswada wa Kuruhusu Wanaume kuoa wake wengi

    Wanaharakati wa Haki za Wanawake wamesema Mswada unaopendekezwa wa kuhalalisha na kurejesha tena ndoa ya wake wengi kwa Wanaume, ni kurudisha nyuma jitihada za vita vya usawa wa kijinsia Nchini humo. Ndoa za wake wengi zilipigwa marufuku nchini humo mnamo 1964 huku Tume ya Umoja wa Mataifa ya...
  10. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa jinsia ya kike mpo wapi hapa? Au hili ndilo mnalolitaka?

    Mpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...? https://www.jamiiforums.com/attachments/screenshot_20220717-142338-png.2294154/?hash=9d3296f54684a35f03edc143af85da70 Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa...
  11. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Haikubaliki, Diaspora wanatumika kisiasa na wanaharakati

    Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati Na; Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA) Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wanadhani Ku pinga kila kitu ndo uanaharakati hasa huko twitter, Au wanatafta pa kula?

    Kuna watu wamejijengea heshima Kwa Miaka mingi ila Kwa sasa wamekuwa wa kupuuzwa! Mara tatu Samia anataka kujiuzulu mwaka 2017 tarehe 6 June aliandika barua kwenye Suala linahusu kukaripiwa Kama mtoto Mdogo ndani ya korido za ikulu akatishwa kwamba yatakayo mtokea yanaweza kuwa mabaya zaidi...
  13. DustBin

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa viongozi ndio Ajira ya Wanaharakati

    Viongozi na watawala wakijitahidi kufanya haki, uadilifu na usawa, wanaharakati watakosa kazi ya kufanya. Wanaharakati ajira yao kubwa inayowakalisha mjini ni udhalimu unaofanywa na viongozi au watawala. Ukiona hali ya hewa ipo kimya na wanaharakati hawana cha kusema, basi ujue viongozi...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Lissu, na Wanaharakati kuweni makini mtapeleka Mbowe jela hamna mnachomsaidia kwenye kesi yake

    Wanaukumbi. Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu. Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike...
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, TLS na Wanaharakati ingilieni kesi ya Mbowe na wenzake ili haki itendeke

    Mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomhusu mhe. Mbowe na wenzake watatu unatia mashaka, tangu mwanzo wa kesi upande wa mashitaka umekua na visingizio vingi vya ugonjwa vinavyowahusu mashahidi, hawa mashahidi 24 wenye maradhi dhidi ya washitakiwa 4 wenye afya imekua kama mchezo wa kuigiza. Nia hasa...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa hivi wanashikiwa akili na Lissu, Lema na Wanaharakati

    Wanaukumbi, Tatizo kubwa la vijana wa Chadema na wafuasi wao karibia wote sasa hivi wanameshikiwa akili na Lissu, Lema na wanaharakati huko Team Space kila siku mnajikuaanya na kulishwa pumba mnameza tu. Hakuna taifa duniani ukigusa mambo yanayohatarisha ‘National Security’ serikali...
  17. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wanaharakati kuhusu tukio la Ligonya

    Wakuu wanaharakati ambao ni wachambuzi wa mpira naona wanashindana kila mtu kujua maana ya tukio la Kigonya jana Sent using Jamii Forums mobile app
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Hii dhana ya mihimili ati inajitegemea ni dhana isiyokuwepo na inayoaminiwa na wanaharakati waliokwenye ndoto na si uhalisia

    Sayansi ya utawala inabainisha kuwepo kwa serikali ambayo ni mfumo wenye mihimili mitatu- watawala na watumishi wa dola, bunge na mahakama. kati ya hii mihimili mitatu hakuna unaojitegemea wala ulio huru kutoka kwa mwenzake. Na hii ndiyo maana ya mfumo. Si sawa kudhani kuwa ipo sehemu ya mfumo...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Sudan waitisha maandamano zaidi

    Wanaharakati Nchini humo wametangaza maandamano mapya, wakati hali ya Siasa Nchini humo ikiendelea kudorora baada ya Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok kujiuzulu. Waongozaji wa Kampeni dhidi ya Utawala wa Kijeshi wamesema Waaandamanaji watakuwa wakielekea Ikulu ya Rais hadi ushindi utakapopatikana...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mnachangia mnachangia kusambaza yaliyozuiwa

    UNAPOLETA MADA KWENYE SOCIAL NETWORK UNATEGEMEA PIA WATU WAHOJI AU WATAFUTE WASIKILIZE WAONE KISHA WAJE KUJIBU KWA HOJA . NA KWA NINI KILA CONNECTION WEWE INAKUFIKIA KAMA UNAJUA WANAOSAMBAZA WHY USIWARIPOTI PANAPOHUSIKA ??
Back
Top Bottom